Sababu kubwa kwanini watu wengi hawafuti namba za ma-EX wao

Ni sahihi usemecho Mkuu, ndiyo maana inakuwa vigumu wakati fulani kumtuliza Mwanamke.

Ndiyo maana tumewahi kuona Mwanamke aliyepewa kila kitu kuanzia gari nzuri, nyumba, hela ya saluni n.k lakini bado alichepuka.

Na kwa Dunia tuliyopo sasa Wanawake wetu wamekuwa kwenye vishawishi kila mahali, na wengi hujikuta wametumbukia kwenye usaliti.

Kwa kweli wakati mwingine ni kuomba neema ya Mungu iwatembelee.

Suala la Kuchapiwa linauma sana Kwa kweli 🙌
 
Sio kweli, itakuwa zilikuwa hadithi za kutunga tu kama zilivyo za Shigongo.

Umri huu siwezi kufanya hayo Mjukuu.

Njoo tulime kunisaidia Babu yako 🤗
 
Kuachana siyo uadui, na hata ukifuta namba haimaanishi umefuta kumbukumbu ya sehemu ya maisha yako kuwa uliwahi kuwa nae. Atakufaa mbeleni kwa namna moja ama nyingine. Hakuna uadui wa kudumu. Sisi ni pipo tutakutana.
Sawa.
 
Sawasawa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…