Sababu kubwa kwanini watu wengi hawafuti namba za ma-EX wao

Nimeanza mgomo baridi babu, kibuyu kitaisha asali [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hapo kwenye kuzidiwa sasa……..?! [emoji2222][emoji2222][emoji2222]
Hahahaha............ukizidiwa utajikuta unamkabidhi kibuyu chote afanye kazi ya kukulambisha asali tu πŸ€—
 
Utafanya Wazee wako tununue mashuka meupe kukupima bure [emoji125][emoji125][emoji125]

Babu bado ipo wala usiharibu pesa kununua shuka jeupe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Babu bado ipo wala usiharibu pesa kununua shuka jeupe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimefurahi kusikia hivyo, maana kama hautakuwa nayo Babu yako nitakosa zawadi ya Koti la Babu πŸ€ͺ
 
Babu ko huamini?? [emoji23][emoji23][emoji23]
Hadi kufikia Uzee huu nimesikia mengi ya kweli na uongo ila katika hili nahitaji uthibitisho πŸ€ͺπŸƒπŸƒπŸƒ
 
Hadi kufikia Uzee huu nimesikia mengi ya kweli na uongo ila katika hili nahitaji uthibitisho [emoji2957][emoji125][emoji125][emoji125]

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Uthibitisho utaupata siku ya honeymoon na mjukuu wako [emoji85]
 
Sijawahi futa namba ya x maana huwa siachani na mtu kwa ubaya
Kuna kesho...shida Ina tabia ya kuturudisha kwa watu tuliokorofishana nao

Ma ex zangu huwa tunawasiliana na kusaidiana kwa nyakati tofauti....japo hakuna mapenzi tena baina yetu
Labda kama upo single.

Ila kwa mwanaume anaejielewa hawezi kuruhusu mwanamke wake awe na mawasiliano na ma ex.

Sis you are wrong!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…