Sababu kubwa ya wanaume kukosa nguvu za kiume hii hapa

Sababu kubwa ya wanaume kukosa nguvu za kiume hii hapa

Sexless

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2017
Posts
23,683
Reaction score
55,898
Anagalia vizuri hii picha, kisha useme kama inawezekana kwa mwanaume kuvumilia hiyo hali. Kama rangi ndiyo hiyo, harufu je? Kama kwa nje Pako hivo kwa ndani je?

Hakuna haja ya kula ulojo, supu ya pweza, kutafuna karanga ama mihogo, tafuteni pisi safi na zilizojitunza utanishukuru.

1722889080053.jpg
 
Na mengi yako hivo. Kuna jama mmoja ana asili ya kiarabu,alikuwaga Mwanza. Alionekana kuwa na upungufu wa akili kiaina( mchicha ulikolea). Alikuwa akikaa barabarani,anawaangalia,akipita alojichubua,anamchamba, mwishowe anamwabia eti anatembea na uvundo mapajani. Sasa ndo hao.

Na ukisikia kuishi kwa matumaini,ndo huko sasa.
 
Anagalia vizuri hii picha, kisha useme kama inawezekana kwa mwanaume kuvumilia hiyo hali. Kama rangi ndiyo hiyo, harufu je? Kama kwa nje Pako hivo kwa ndani je?

Hakuna haja ya kula ulojo, supu ya pweza, kutafuna karanga ama mihogo, tafuteni pisi safi na zilizojitunza utanishukuru.

View attachment 3062547
Ila huyo dada aliepandisha mguu juu kaharibu picha
 
Wamesha anza kujulikana...
 
Attachments

  • IMG-20240805-WA0013.jpg
    IMG-20240805-WA0013.jpg
    93.3 KB · Views: 5
Wengi wanawake zenu wapo hivyo humu mnajifanyisha kinyaa ,wanunulien lotion nzuri na mafuta achen hizo
 
Back
Top Bottom