Sababu kuu tatu zinazowafanya baadhi ya wanaume wawadis single mama

Singo Maza hawana mvuto mkuu wameshashusha Engine
Assume uko home alafu dume mwenzio anakuja kumuona mwanae alafu unafanye kwa mfano? Sijui wewe unakuwa unajichekesha apo au unawapusha waongee?
Ukiona mwanaume anakimbilia kwa singo maza ujue anapenda mteremko maana wako very cheap tena wengine wanajitongozesha

Acha ujinga tafuta mwanamke wapo kibao wazuri bado hawajazaa

Sijakuelewa, labda kama unaongea bikra, huyu single mum utakuta alizaa once, na huyo hasiye na mtoto kashusha mimba zaidi ya kumi. Anaye zaa na kushusha kwa mvuto bora aliyezaa
 
Mkuu kitendo cha mwanamke wako tu kuwa na connection(mtoto) na mwanaume mwingine ni udhaifu mkubwa , gata kwenye kupanga mipango yenu ya future suala lake linajitokeza hasa kwa mwanamke

Alafu nazungumzia mwanamke alezaa tayari maumbile yake sehemu kubwa yanapoteza mvuto,
 
Kwa hiyo ukishamzalisha utamwacha? Issue ni mtu kujitunza na kutunzwa psychologically and physically, mvuto wa mwanamke unakuwa maitained
 
Mimi nachojua, mara nyingi singo mama kama wewe mtoa mada uwa mnajitongozesha kwa wanaume,kifuatacho mnakuwa ving'ang'anizi sana,na wengine mnakuwa tayar ata kutoa mtandao pendwa ili mradi tu usiachwe,tena ukiwa mandigo,utamuonea huruma singo mama anavyojipendekeza.
Ohoooo!!!kumbe ndivyo walivyo?
 
Singo Maza hawana mvuto mkuu wameshashusha Engine
Assume uko home alafu dume mwenzio anakuja kumuona mwanae alafu unafanye kwa mfano? Sijui wewe unakuwa unajichekesha apo au unawapusha waongee?
Ukiona mwanaume anakimbilia kwa singo maza ujue anapenda mteremko maana wako very cheap tena wengine wanajitongozesha

Acha ujinga tafuta mwanamke wapo kibao wazuri bado hawajazaa
[emoji107]
Hauko sahihi kabisa.
 
Naona single mama unaokutana nao ni wale cheap kama unavosema wewe na zaidi labda hawajasimama kiuchumi ila usiombe kukutana na mtu yuko vizuri labda tu nyege ndo zimsumbue
 
Tuko na mitazamo tofauti,kwangu mimi ni bora single mom kuliko awo ambao awajazaa hasa kwa mtu ambae anataka mwanamke atakae ishi nae bila shida za kitoto toto,kwasababu wanaelewa wanachofanya na mara nyingi wanaheshima wanayo pata baada ya kutelekezwa na shida wanazo pitia kulea watoto wao hasa wenye hali ngumu,amini wanakuaga na akili za utafutaji na wanatunza akiba wakijua kuna watoto tena ukimpata tu piga wa pili umemaliza ata vumilia adi visivyo vumilika nani anataka aonekane anazalishwa na kuachwa kila siku ivi viruka njia unakioa leo kesho kinasepa na akiteteleki utajuta
 
Naona single mama unaokutana nao ni wale cheap kama unavosema wewe na zaidi labda hawajasimama kiuchumi ila usiombe kukutana na mtu yuko vizuri labda tu nyege ndo zimsumbue
Hakunaga mkate mgumu mbele ya chai
 
Mwanaume kufanya mahusiano na single mom hadi kufikia stage ya ndoa huku akijua bwana alomzalisha mtoto bado angali hai basi huyo atakuwa kichwani mna screw zilizolegea,wanawake akili zenu zinajulikana na ni laana that's why Mungu ktk vitabu vyote hapana aliposema nendeni mkazaane hovyo mtakavyo ila alisema wewe mume wewe mke nendeni kwa mkataba atakaouruhusu yeye mkafanye hilo tendo ila kwa sababu binadam ni wabishi siku hizi ni kama imehalalishwa.
Kwani wanajizalisha wenyewe
 
Mna dhambi nyie kwani walijizalisha wenyewe kazi kuwasema Wadada wa watu wakati nyie wenyewe kwenu hao masingle mother wamejaa kibao ina maana nao walikuwa hawajatulia na hao wake zenu mnaowasifia unakuta washatoa mimba kibao mpaka ndoa au kwa vile wameficha maovu yao mnawaona watakatifu
 
Back
Top Bottom