brave one
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 4,879
- 7,386
Single mother hawajui kukataa ndo maana wakawa single mother ukiachwa maliofiwa na waume zaoHao ving'ang'anizi mnawatoaga wapi!!???? Maana me kukufukuza jua linawaka sioni kazi, who are you hadi nikung'ang'anie!!??? Kwanini nisimng'ang'anie aliyenizalisha nikung'ang'anie wewe!!!??? Unakuwa na kipi cha ziada sana ambacho wanaume wengine hawana!!??
May be huwa unawapata ambao wanategemea mwanaume awatunzie mtoto/watoto wake.
But mwanamke akishazaa na kuachana na aliyezaa nae,anakuwa very careful na bahati mbaya tunakuwa tunaakili sana na pia tunakuwa tunatarajia utaondoka muda wowote kama alivyoondoka yule so unakuwa "chombo cha starehe tu" hadi tutakapojua unamaanisha upo serious na hayo mahusiano[emoji57] [emoji57]
Kijana smart na mwenye kujiheshimu hawezi kijipachika kwa single mother ni kijitwisha mzigo usiokuhusu raha ya mtoto alelewe na baba na mama yake mzazi kwa pamoja