kiliochangu
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 1,152
- 883
Singo Maza hawana mvuto mkuu wameshashusha Engine
Assume uko home alafu dume mwenzio anakuja kumuona mwanae alafu unafanye kwa mfano? Sijui wewe unakuwa unajichekesha apo au unawapusha waongee?
Ukiona mwanaume anakimbilia kwa singo maza ujue anapenda mteremko maana wako very cheap tena wengine wanajitongozesha
Acha ujinga tafuta mwanamke wapo kibao wazuri bado hawajazaa
ikifikia hapa...Zereu kabisa hii...Assume uko home alafu dume mwenzio anakuja kumuona mwanae alafu unafanye kwa mfano? Sijui wewe unakuwa unajichekesha apo au unawapusha waongee?
Mkuu kitendo cha mwanamke wako tu kuwa na connection(mtoto) na mwanaume mwingine ni udhaifu mkubwa , gata kwenye kupanga mipango yenu ya future suala lake linajitokeza hasa kwa mwanamkeSijakuelewa, labda kama unaongea bikra, huyu single mum utakuta alizaa once, na huyo hasiye na mtoto kashusha mimba zaidi ya kumi. Anaye zaa na kushusha kwa mvuto bora aliyezaa
Kwa hiyo ukishamzalisha utamwacha? Issue ni mtu kujitunza na kutunzwa psychologically and physically, mvuto wa mwanamke unakuwa maitainedMkuu kitendo cha mwanamke wako tu kuwa na connection(mtoto) na mwanaume mwingine ni udhaifu mkubwa , gata kwenye kupanga mipango yenu ya future suala lake linajitokeza hasa kwa mwanamke
Alafu nazungumzia mwanamke alezaa tayari maumbile yake sehemu kubwa yanapoteza mvuto,
Atleast ukimzalisha mwenyewe hakuna tatizo tembo hawezi shindwa kubeba mkonga wakeKwa hiyo ukishamzalisha utamwacha? Issue ni mtu kujitunza na kutunzwa psychologically and physically, mvuto wa mwanamke unakuwa maitained
Ohoooo!!!kumbe ndivyo walivyo?Mimi nachojua, mara nyingi singo mama kama wewe mtoa mada uwa mnajitongozesha kwa wanaume,kifuatacho mnakuwa ving'ang'anizi sana,na wengine mnakuwa tayar ata kutoa mtandao pendwa ili mradi tu usiachwe,tena ukiwa mandigo,utamuonea huruma singo mama anavyojipendekeza.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa unategemea nitaishi kwa Amani sehemu ambapo vita ilitokea...Lazima niishi kwa akili na ujanja²...
[emoji107]Singo Maza hawana mvuto mkuu wameshashusha Engine
Assume uko home alafu dume mwenzio anakuja kumuona mwanae alafu unafanye kwa mfano? Sijui wewe unakuwa unajichekesha apo au unawapusha waongee?
Ukiona mwanaume anakimbilia kwa singo maza ujue anapenda mteremko maana wako very cheap tena wengine wanajitongozesha
Acha ujinga tafuta mwanamke wapo kibao wazuri bado hawajazaa
Ohoooo!!!nimesikia kwa masikio yangu kutoka kwa mwanamke anamwambia mwenzie kuwa mwanamke akizaa na mwanaume hata wakitengana huwa hawaachani
Naona single mama unaokutana nao ni wale cheap kama unavosema wewe na zaidi labda hawajasimama kiuchumi ila usiombe kukutana na mtu yuko vizuri labda tu nyege ndo zimsumbueSingo Maza hawana mvuto mkuu wameshashusha Engine
Assume uko home alafu dume mwenzio anakuja kumuona mwanae alafu unafanye kwa mfano? Sijui wewe unakuwa unajichekesha apo au unawapusha waongee?
Ukiona mwanaume anakimbilia kwa singo maza ujue anapenda mteremko maana wako very cheap tena wengine wanajitongozesha
Acha ujinga tafuta mwanamke wapo kibao wazuri bado hawajazaa
Hakunaga mkate mgumu mbele ya chaiNaona single mama unaokutana nao ni wale cheap kama unavosema wewe na zaidi labda hawajasimama kiuchumi ila usiombe kukutana na mtu yuko vizuri labda tu nyege ndo zimsumbue
Uko sahihi mkuu mtu kazaa nje ya ndoa alafu unasema ana masimamowangekuwa na msimamo wangezalishwa nje ya ndoa ukimuona single mom ujue she's for everyone.
Ni kweli mkuuMwanaume anaejiamini hawezi kuwa na single Mama.
Kwani wanajizalisha wenyeweMwanaume kufanya mahusiano na single mom hadi kufikia stage ya ndoa huku akijua bwana alomzalisha mtoto bado angali hai basi huyo atakuwa kichwani mna screw zilizolegea,wanawake akili zenu zinajulikana na ni laana that's why Mungu ktk vitabu vyote hapana aliposema nendeni mkazaane hovyo mtakavyo ila alisema wewe mume wewe mke nendeni kwa mkataba atakaouruhusu yeye mkafanye hilo tendo ila kwa sababu binadam ni wabishi siku hizi ni kama imehalalishwa.