Sababu kuu tatu zinazowafanya baadhi ya wanaume wawadis single mama

Natumamaii mwanaume yyte anaewasema vbaya single moms basi hajawahi kumfanya mwanamke yyte awe single mom kwa kumzalisha na kumuacha alee mtoto mwenyewe.

Na sisi wanawake tujifunze kwa wengine,,kama umeamua kuzaa unajua una uwezo Wa kulea mtoto haya lakini usijilengeshe mimba kwa kua unajipa moyo atakuoa...unajiletea matatzo tuu..!
Kelele nyingi ni sababu uwezo Wa kumtunza mtoto hamna,sasa imekuaje ukajitegesha uzae?

That's if other factors remained constant.
 
Na kwanini kuzaa huku akijua hana mume,asubiri akazae akiishaolewa hakuolewa basi sio bahati yake ila hakuna{labda kama mpagani}popote Mungu aliporuhusu plan B kwamba mwanamke kama hakuolewa basi atafute bwana amzalishe wala mwanaume kama hakuowa atafute mwanamke amzalie mtoto.
 
single mama ni watu ambao hawakutulia haijalishi wapo kwenye familia zetu hao ni cha wote.
 
Of course unachosema ni kweli ila mwanaume mmezidi pia uongo..
Wanaowaambiaga kina Dada wazae kwanza ndo ndoa ni kina nani?!..
 
Of course unachosema ni kweli ila mwanaume mmezidi pia uongo..
Wanaowaambiaga kina Dada wazae kwanza ndo ndoa ni kina nani?!..
Mmh hawa binadamu, wewe laghaika tu ubebe mimba uisome namba. Wakiwa wanabembeleza uzae mmh,, subiri mimba iingie sasa
 
ni kitu ngumu sana kuoa single mom ukaacha vitu vibichi. single mom haoleki na wale hapendeki. ukishakuwa single mom anza kupanga maisha yako allone allone.
 
Mmmmmh huna maana
 
Umejifunza machache yasiyo na maana na single mam wako.
 
Mtupumzishe basi mbn imekuwa nongwa single mother imekuwa single mother mtuwacheee bhana
 
Natafuta single faza wa kunioa!
 
Hiyo tabia tu ya mtu bwana. Tena kama mimi nahisi toka nijikubali kuwa na single mom na uchaguzi wa wanaume umezidi. Mwanzlni nilikua hata kama sikutaki naweza kukuentertain ila sasa hiv sikutaki sikutaki sina muda wa kupotezeana sasa hivi.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…