Sababu kuu tatu zinazowafanya baadhi ya wanaume wawadis single mama

Single mother hawajui kukataa ndo maana wakawa single mother ukiachwa maliofiwa na waume zao

Kijana smart na mwenye kujiheshimu hawezi kijipachika kwa single mother ni kijitwisha mzigo usiokuhusu raha ya mtoto alelewe na baba na mama yake mzazi kwa pamoja
 
Single mama wengi vinganganiz kweli
Wako cheap sana
Wanakulazimisha kumpenda mwanae utafikiri wewe ndo ulimzalisha
 
Wako cheap sana
Wanakulazimisha kumpenda mwanae utafikiri wewe ndo ulimzalisha
Sijui huwa wanawaza nini? Hao hawana cha kutongozwa, mi nshkutana nao..mmoja baada ya siku mbili anataka nimuoe eti, yaani kakomaa kabisa eti mbona simuiti majina mazuri!
 
Sijui huwa wanawaza nini? Hao hawana cha kutongozwa, mi nshkutana nao..mmoja baada ya siku mbili anataka nimuoe eti, yaani kakomaa kabisa eti mbona simuiti majina mazuri!
single mother wanapenda kutreat wa kama disable people

Ukijitwisha single mother ujue umejilipua
 
Single mothers poleni. Sio kwa style hii
 
Nilianzisha uzi juu ya single mama nikapata sababu tofauti tofauti na nyingi za kudiss na wala ckupata majibu niliyokuwa nayataka ila hapa Principle girl umekata kiu yangu na nimepata kujua na nimegundua kuwa SINGLE MOTHERS HAWANA TATIZO LOLOTE NA SI WA KUWAOGOPA ENDAPO UNA NIA YA DHATI YA KUWA NAO KIMAISHA asanteeeeee kwa ujumbe mzuri
 
Kumbe ulikuwa na majibu yako kichwani?
 
Kumbe ulikuwa na majibu yako kichwani?
Eti nilikuwa na majibu yangu kichwani umenikumbusha yale ya 2015 kwenye chama cha wale jamaa. Hapana si kweli kwamba nilikuwa na majibu kichwani ila kuna sababu ambazo nilikuwa nahitaji kuzijua na sikutegemea asilimia kubwa ya majibu yangekuwa hasi
 
Eti nilikuwa na majibu yangu kichwani umenikumbusha yale ya 2015 kwenye chama cha wale jamaa. Hapana si kweli kwamba nilikuwa na majibu kichwani ila kuna sababu ambazo nilikuwa nahitaji kuzijua na sikutegemea asilimia kubwa ya majibu yangekuwa hasi
Umeelewa nini baada ya kuona majibu mengi ni hasi?

Tuanzie hapo mkuu
 
Nilichoelewa ni kama point namba moja aliyoitoa mtoa mada
Mkuu ngoja nikwambie kitu
Kwa jinsi wanaume tulivyoumbwa na kisaikolijia wanaume wengi hawapendi na hawako tayari kulea mtoto wa mwanaume mwingine
Yaani akianzisha mauhisiano na alijua mwanamke ni single mother wengi wao wanakula mzigo na kusepa
Utayari wa wanaume wengi kuwaaccept single mother na kuanzisha mahusiano yenye future ni mdogo sana na si kosa lao
 
Hapa sasa umejibu sahihi na nimekuelewa vizuri mkuu.
 
Hapo kwenye kupigwa kibuti nani kaanza sasa? Mi huyu wangu mbona ndio amepigwa kibuti......Ila ana heshima mpaka namuogopa amenizidi umri lakini anatamani kuniamkia. Ila single mother watamu jamani acheni Tu.
 
kuna wanaume wenzangu amkumbukagi nyuma kwani ni wangapi mmelelewa na mama zenu pekee na kina baba awaonekani au wangapi mna dada zenu wamezalia nyumbani kwa iyo mama zenu na dad zenu tusiwa oe na tuwaone ni washenzi sio?fikiri kabla ya kutenda uwezi jua kili mpata nn uyo mwana mke akuna ane penda japo wapo wachache walio ponzwa na tabia zao mbaya ila si wote, BADO NAAMINI KUNA SINGLE MAMA WASTAARABU NA WANAFAA SANA KWA MAISHA HAYA,Na mwanaume anae mzarau single mama bila kujua sababu NAAMINI AJAKUA NA AJUI MAISHA YA MAPENZI
 
Kuna tofauti kubwa kulelewa kwenye makuzi na mahusiano ya kimapenzi
Single mother
 
Huwa najisikia kichefu chefu sana nikishagundua msichana nilie nae kwenye mahusiano ni SINGLE MOTHER...siwapend asee
 
Madhaifu wote tunayo, hata wanaume wenye watoto Mbona huwa tunataka wake zetu wawapende hao watoto tuliozaa nje??
Lazima tukubali kuwa ukiacha na mambo ya kupasha kiporo Hakuna mtu asiyependa mwanaye apendwe.
Kila mtu anahitaji mtoto wake awe kwenye mikono Salama.

Pia tusishau tulikotoka.
Mama zetu walikuwa wanatulea wenyewe kipindi dingi anaondoka zaidi ya miezi 6 kwenda tanga huko Kwenye mkonge, wengine tabora, mtwara etc.

Kama wewe huko tayari kuishi na single mama, usimdharau au kumtukana.
Japo kuna wale ambao walitegesha mimba makusudi, wengi wao ilitokea kama Sisi ilivyotokea kuwapa mimba mabinti enzi hizo aafu mnaitoa.

Wengine waliona yawezekana nafasi ndio hiyo hiyo wakaamua kuzaa.
 
Duuh asee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…