Sababu kuu za Mmarekani kuhamasisha kwa nguvu sana ushoga Afrika na siyo mabara mengine

Kwahiyo misaada ni muhimu kuliko ustawi wa jamii yetu.
 
Usituingize katika mambo ya ajabu ambayo hatujashiriki. Misaada wanaokwenda ichukua ni CCM na genge la wahuni wanaosapoti upigaji. Asilimia kubwa ya sisi raia haturidhiki na hii misaada maana imekaa kihovyo hovyo sana.
 
Anatupima uwezo wetu baada hili atakuja na lingine maana kishajua udhaifu wetu.
Muda wake umekwisha yupo kwenye count down, taifa la laana lile limeshapatikana na kushikwa pabaya linafurukuta kama jijoka limemwagiwa mafuta ya taa na chumvi.
 
Usituingize katika mambo ya ajabu ambayo hatujashiriki. Misaada wanaokwenda ichukua ni CCM na genge la wahuni wanaosapoti upigaji. Asilimia kubwa ya sisi raia haturidhiki na hii misaada maana imekaa kihovyo hovyo sana.
Sawa pamoja na upigaji na kutoridhika lakini ndio wenye hiyo dhamana kwa niaba yetu, tufanye nini mkuu kwa kuwa hatukubaliani na hawa viongozi wetu kwa maamuzi yao yasiyozingatia maslahi mapana ya taifa letu.
 
Mbna hkuna faida zozote zile wapatazo HV mfno ukute mtu anae watete au kutetea namuomba rinda nilijaribu Kama hata ruka mita ngapi
 
Kumbuka na wewe ni Mwafrika, [emoji1][emoji1]
ukielewa hoja yangu utaelewa uzezeta wenu , hatuez endelea kwa kuiga iga , na ndio maana mnalalamikia watu ambao hawakufuati nchini mwako kukuomba uwe shoga , LEO HII UKIWA KARIAKOO UTAGUNDUA MTU ANAEIGA UARABU AU UZUNGU BASI NDO MJANJA ILA YULE KAVAA SIMPLE KIASILI KOFIA YA YA SHANGA , Suruali za vitenge n.k huyo ataonekana mhuni kuliko aliyetinga kizungu zaid au kiarabu zaid , na ndo ushoga unaanzia hapo maana ukiiga mavazi unaishia kuiga hadi kupumuliwa tu , kwann tusiige kwa wasouth dresing style yetu halaf wao wazungu waje waige mifumo yetu ya maisha ?
 
Kwann asipromote maendeleo ya technology, miundo mbinu ili tupate huo usawa. Hayo maswala ya mahusiano na ngono anayaingilia kama nani na kwa sababu zipi mbwa huyu. Marekani matako yako.
kwahiyo unataka technology yako hakusaidie mzungu kupromote na sio serikali yako kuweka mipango ya kuikuza technology ya nchi ?
 
Hawakuanza leo bali sisi ndio tumeamka usingizini 2023 ila bado hatujachelewa

Huko Israel wamebadilishwa wa kwanza na mpaka sasa Rabi hawana nguvu tena

Tel Aviv ndio mji mkuu wa mashoga duniani kwa sasa na wanakutana kila mwaka
Wamepandikiza watu wengi sana uko na watoto wamekuwa mashoga kitambo
Lile taifa teule walilokuwa wanaliita limekuwa la machoko

Tuwakataze watoto na kuwaambia madhara yake, kila mmoja wetu akemee anavyoweza hata mtoto wa jirani mwambie tu, kwani utasaidia wengi

Bila kuwaambia watafanya yao maana wanashawishiana bila kujua madhara yake, ila kama mkiwaambia msifanye hawatafanya
 
stori kama hiz utazikuta kwa waafrika tu , fika israel utaona hali tofaut na haya mastori ya humu , kias cha mashoga wa afrika ni sawa na wa huko Israel ila huku Afrika hawana uhur wa kujionesha
 
Maneno mengi ila kaa ukijua mchina na mrusi wakikutawala hakuna rangi utaacha kuona yaani ni wabaguzi wanyonyaji na hawadhamini ngozi nyeusi wewe endelea kuwakingia kifua tu
 
stori kama hiz utazikuta kwa waafrika tu , fika israel utaona hali tofaut na haya mastori ya humu , kias cha mashoga wa afrika ni sawa na wa huko Israel ila huku Afrika hawana uhur wa kujionesha
Una maana gani mkuu yaani Israel hakuna mambo haya ama
Sijaelewa naomba unifafanulie kidogo

Afrika wapo wengi ila wanajificha kwa sababu jamii bado haijakubaliana nayo, pia serikali bado inakataza ila wao wanasema Haki za Binadamu zisiingiliwe
 
Una maana gani mkuu yaani Israel hakuna mambo haya ama
Sijaelewa naomba unifafanulie kidogo

Afrika wapo wengi ila wanajificha kwa sababu jamii bado haijakubaliana nayo, pia serikali bado inakataza ila wao wanasema Haki za Binadamu zisiingiliwe
soma tena uelewe , wewe mtu mzima sijaona sehem nmesema Israel hakuna ushoga , elimu za kila swali ni kuchagua zimetunfanya tuwe wavivu kusoma mpk mwisho
 
Una maana gani mkuu yaani Israel hakuna mambo haya ama
Sijaelewa naomba unifafanulie kidogo

Afrika wapo wengi ila wanajificha kwa sababu jamii bado haijakubaliana nayo, pia serikali bado inakataza ila wao wanasema Haki za Binadamu zisiingiliwe
nkusaidie tu kasome overration ya nliyemjibu its kuna hali tofaut kati ya israel na afrika , kumbe ukwel afrika ushoga ni mwingi sana ila unafik wa watu tu
 
nkusaidie tu kasome overration ya nliyemjibu its kuna hali tofaut kati ya israel na afrika , kumbe ukwel afrika ushoga ni mwingi sana ila unafik wa watu tu
Kweli mkuu wanadhani ndio umeanza leo
Kumbe upo sana ila watu wanaishi kwa double life zaidi

Kwa nje unamuona na heshima zake na hatembei kama shoga na wengine mpaka wana familia zao ila wanajificha
Wamejaa sana ila hawajiweki wazi ila wachache sana
 
soma tena uelewe , wewe mtu mzima sijaona sehem nmesema Israel hakuna ushoga , elimu za kila swali ni kuchagua zimetunfanya tuwe wavivu kusoma mpk mwisho
Nimekuelewa vizuri wala sio uvivu wa kusoma.
Mbona tulikuwa tunaenda vizuri tu what happened [emoji15]
 
Kama unafikiri ni sawa ona huyu jamaa alikiri waziwazi ameolewa na angalia hali yake.

Na nataka niwaambie kuna janga la ugonjwa linakuja chanzo chake ni ushoga watu watapiga hela.

Chunguza duniani kote kama mtu ameanza ushoga kabla ya miaka 20 hatoboi miaka 60. Alieanza 20s na 30s akiishi sana miaka 67.

Wengi wa watu hawa wameambukizwa HIV NA waliopata HIV Aids HAWATOBOI MIAKA 45.

hivyo tunaelekea kubaya kuliko tusivyojua
 

Attachments

  • VID-20230416-WA0026.mp4
    2.9 MB
To be honest Waafrica tunajisumbua tu kubishana na kugoma kwa sababu zifuatazo
1.Wenzetu kimafikilio wapo mbali sana wameona kila aina ya binadamu ana haki ya kuinjoy kwenye hii dunia no mala waaa.Idea za dini zimetoka kwao na hizo biblia zimeandikwa na wao na hiyo story ya sodoma na gomora wameandika wao leo hii sisi Waafrica tumekomaa kusema ushoga ni dhambi kisa religion belief ambazo wametuletea wao
2.Kwa sasa western culture ndo culture yenye nguvu hapa duniani so hii Agenda yao mtake msitake itapenya tu na itakuwa jambo la kawaida maana wameanza kuiweka hadi kwenye movie ili kuondoa dhana ya kuwa shoga ni mtu asiefaa kwenye jamii. Culture ya mzungu ina nguvu hata huko uarabuni ineanza kuwasumbua kwa kuwakandamiza wanawake kwa mgongo wa sharia(sheria za kidini ya kiislam)
3.Mashoga au ushoga upo tu tangu enzi za kale hata biblia mnazoamini zimeandika so kupinga au kupiga kelele hakusaidii kuondoa hili jambo.
4.Wenzetu wazungu wamewaza sana wameona kuna kundi linateseka sana kwa maumbile na matamanio waliyoumbwa na huyo huyo anaeitwa Mungu aliewaumba wakamilifu ki hisia according to jinsia hivyo kuna haja ya kuja openly kuiambia uncivilised societ ya Africa kuwa hao hawavunji wala kutishia amani yoyote kwa sababu wanatumia miili yao kwa pleasure n leasure kwa nini sisi tulio wazima tughafilike?
5.Nilisikia watu wengi vijiweni wakisema eti Wanataka sisi wote tuwe kama wanawake ili waje watuoe tushindwe kuendeleza kizazi cha mtu mweusi.Hii kwangu niliona ni hoja ya watu wenye akili ndogo kwa sababu Tangu lini race ya mtu mweusi(low IQ creature) ikawa tishio kwa mzungu(High IQ Creature) kama hatujui ndugu zangu wazungu wanatuona kama Mizigo au mbuzi zilizozaliwa kwa mfano wa binadamu so sisi sio tishio hata kidogo na kama wao wana nia kutupiga miti waAfrica wa kiume hili nalo sio kweli kwa sababu kuna inchi ina wanaume warembo mfano Brazili,ufilipino,Spain waje kuwekeza juhudi kutu turn kuwa mashoga na masura yetu kama Burna boy hili nakataa kwa sababu ki ukweli watu weusi hatupendezi kuwa mashoga kimuonekano kwa sababu sisi mionekano yetu ni watu wa kazi(watumia nguvu kuishi) kwa sababu hatuna HIGH IQ.
6.Kwa vile hatuna IQ na mtindo wa maisha umebadilika haswa kwenye vyakula na madawa idadi kubwa ya watoto kuzaliwa na vichocheo vya kike au kike kuzaliwa na vichocheo vya kiume wamegundua WAAFRIKA sisi ni vichaa ipo siku tutakuja ku endesha zoezi la kuwasaka na kuwaua mashoga na hivyo wenye high IQ wazungu ni lazima wawekeze nguvu kuitamburisha jamii ya mashoga jamii ni jamii ya kawaida.Wanafanya hivyo kwa sababu kuna jamii kama ilivyokuwa kwa Albino na wazee kuhusishwa na dhana za kichawi au kama ilivyokuwa enzi UKOMA waafrika tulizisumbua sana mpaka wao wakaja na mashirika yao kutuelemisha mpaka tukaelewa.
7.Kuzidi kupinga na kuendesha midahalo mitandaoni,ofisini,vijiweni hii nayo ni kama ushindi kwao kwa sababu kwa namna moja ama nyingine ndo tunavyoufanyia PROMO bila kujua.
NB:
Hayo hapo juu ni mawazo yangu binafsi baada yakuanza kulifuatilia hili sakata la ushoga linalotrend so nakaribishwa kupingwa kwa hoja bila kutumia matusi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…