Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Haswakueleweshana tu
Tuko pamoja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haswakueleweshana tu
Bado wapo kwenye Utumwa wa AKILI. Na huo ni mgumu kuchomoka bora jela ya mwili unajijua uko jela. Ila jela ya AKILI ni ngumu sababu hata haijui kama uko jela.Watu wakifikiria Bible wanafikiri imetokea Marekani au uingereza hawajui wale jamaa walidandia basi la msanga bila kukata tiketi.