Black Sniper JF-Expert Member Joined Dec 10, 2013 Posts 32,406 Reaction score 55,148 Apr 16, 2023 #81 4by94 said: kueleweshana tu Click to expand... Haswa Tuko pamoja
AggerFirminho JF-Expert Member Joined Sep 17, 2019 Posts 2,318 Reaction score 4,106 Apr 16, 2023 #82 Zemanda said: Watu wakifikiria Bible wanafikiri imetokea Marekani au uingereza hawajui wale jamaa walidandia basi la msanga bila kukata tiketi. Click to expand... Bado wapo kwenye Utumwa wa AKILI. Na huo ni mgumu kuchomoka bora jela ya mwili unajijua uko jela. Ila jela ya AKILI ni ngumu sababu hata haijui kama uko jela.
Zemanda said: Watu wakifikiria Bible wanafikiri imetokea Marekani au uingereza hawajui wale jamaa walidandia basi la msanga bila kukata tiketi. Click to expand... Bado wapo kwenye Utumwa wa AKILI. Na huo ni mgumu kuchomoka bora jela ya mwili unajijua uko jela. Ila jela ya AKILI ni ngumu sababu hata haijui kama uko jela.