The25824
Member
- Sep 8, 2024
- 20
- 82
Ohaaaaaa,
Kama wewe ni dereva soma hapa kwa makini,
Hasa kama unabeba abiria ,Uliembeba kila mmoja ana sababu zake kwa nini amesafiri.
Bahati mbaya dhamana ya uhai wao iko juu yako.
Kuna anaeenda kutibiwa,yupo anaeenda hudhuria mazishi ya ampendae ,yupo anosafiri kwenda iona familia yake ambayo ni muda hawajaonana.
Pasipokuwaza mzigo mkubwa mbele yako,we ndo kwanza uko baa unakunywa,au umebeba mwanamke kujifurahisha hisia zako ilihali kesho yake asubuhi una safari.
Kwa nini usitumie muda huo kupumzika?
Kwa nini usiwaze dhamana kubwa uliyopewa na mwajiri wako?
Kwa nini uwe chanzo cha ajali na kukatisha ndoto za wengi ambao hawana makosa?
Jiulize sana kabla ya kufanya yale yatakayokuwa sababu ya uchov hata ukaichukia safari na kazi yako.
Hujachelewa