Sikilizeni hotuba yake akiwa Mafinga. Hapo ndo niliamua kubafilika. Youtube wenye smartphones. Tatizo mb. Basi tuLissu ndiyo habari ya mjini, kwenye daladala, maofisini, sokoni, bar, hospitali, majumbani kila mtu anasikiliza hotuba za Lissu you tube.
Kwa hiyo hao wapiga kura, hawapunguzi za CCM?Wapiga kura wao wana athari kwa mgombea uraisi wa Chadema kupunguza kura za kuwawezesha Chadema ku qualify kupata ruzuku
Ni ccm na Wananchi wakiongozwa na Lisu kupitia Chadema wakiwa upande wa MolaUchaguzi huu in chadema na ccm, wengine washehereshaji tu.Huo ndo ukweli
Hoja ni pesa,pesa ni kichocheo kikubwa katika kampeni hao wazee wawili Lowassa na Sumaye walikuja na pesa za kutosha za kampeni ,na walipoondoka Chadema ina shida ya fedha za kampeni.Hilo nalifahamu vizuri. Hata hivyo hoja ni nini hapa.
Yaani ukaungane na UDP au TLP una akili wewe?2015 kuliundwa UKAWA na vyama vilivyounda UKAWA vikakubali kutoweka mgombea Uraisi vimuunge mkono mgombea mmoja tu wa CHADEMA, Lowasa na CUF ilimtoa Duni Haji ajiunge CHADEMA kama mgombea mwenza kumpa nguvu zaidi ya kura Lowassa za Zanzibar na za waislamu.
Vyote vikakubaliana kuwa kwa kuwa kupata ruzuku inategemea kura nyingi za Uraisi wote wakubaliana wapambane kuhakikisha Lowassa anapata kura nyingi zitazofanya CHADEMA ipate ruzuku kubwa Sana Kisha baada ya ushindi CHADEMA kikipata Ruzuku kiwagiwie vyama vingine vilivyo sacrifice kutoweka wagombea Uraisi
Matokeo baada ya Chadema kuanza kupata ruzuku wakagoma kugawia wenzao ikiwemo hata CUF iliyowapa Duni Haji ndio.maana Duni Haji Aliondoka Chadema kwa hasira baada ya kuona Makubaliono yamevunjwa na CHADEMA
Sasa mwaka huu Chadema walipoanza kuviomba vyama vingine vimuunge mkono Lissu vikagoma kuwa mnataka tuwasaidie mpate kura nyingi za kuwawezesha kupata ruzuku hakafu mle peke yenu Kama mlivyotutapeli 2015 hatutaki Kila mtu apambane kivyake na mgombea Uraisi wake.
Ndio sababu kuu ya vyama kugoma. CHADEMA imekuwa ikipita kupiga magoti kuomba isamehewe vyama vingine vimegoma kuwa sio kosa kufanya kosa Mara moja Sio kurudia kosa. Vimegoma.
Utapeli wa CHADEMA safari hii umekwaa kisiki.
Nec na maded tumejipanga namna ya kuwadhibiti! Safari hii labda watuue wote!Kwa kura ccm nakwambia kwakinywa kipana Jiwe hashindi labda Kwa usaidizi WA nec,policcm, tss.
Taga yai2015 kuliundwa UKAWA na vyama vilivyounda UKAWA vikakubali kutoweka mgombea Uraisi vimuunge mkono mgombea mmoja tu wa CHADEMA, Lowasa na CUF ilimtoa Duni Haji ajiunge CHADEMA kama mgombea mwenza kumpa nguvu zaidi ya kura Lowassa za Zanzibar na za waislamu.
Vyote vikakubaliana kuwa kwa kuwa kupata ruzuku inategemea kura nyingi za Uraisi wote wakubaliana wapambane kuhakikisha Lowassa anapata kura nyingi zitazofanya CHADEMA ipate ruzuku kubwa Sana Kisha baada ya ushindi CHADEMA kikipata Ruzuku kiwagiwie vyama vingine vilivyo sacrifice kutoweka wagombea Uraisi
Matokeo baada ya Chadema kuanza kupata ruzuku wakagoma kugawia wenzao ikiwemo hata CUF iliyowapa Duni Haji ndio.maana Duni Haji Aliondoka Chadema kwa hasira baada ya kuona Makubaliono yamevunjwa na CHADEMA
Sasa mwaka huu Chadema walipoanza kuviomba vyama vingine vimuunge mkono Lissu vikagoma kuwa mnataka tuwasaidie mpate kura nyingi za kuwawezesha kupata ruzuku hakafu mle peke yenu Kama mlivyotutapeli 2015 hatutaki Kila mtu apambane kivyake na mgombea Uraisi wake.
Ndio sababu kuu ya vyama kugoma. CHADEMA imekuwa ikipita kupiga magoti kuomba isamehewe vyama vingine vimegoma kuwa sio kosa kufanya kosa Mara moja Sio kurudia kosa. Vimegoma.
Utapeli wa CHADEMA safari hii umekwaa kisiki.
Wanachekesha hasa katika chama kilidhukumiwa na Chadema kwenye muungano wa UKAWA kilikuwa CUF kili sacrifice Sana kwenye ule muunganoHao ndio Chadema matapeli wanaojaribu kuwalaghai Watanzania eti wataleta utawala wa haki huku wamefisidi pesa ya ruzuku ya CUF.
Hapo ndipo wakipiwageuka wenzao wakiongozwa na Lisu Kama wakiliNi sheria ipi ingeruhusu Chadema kuvigawia ruzuku vyama vilivyokuwa kwenye Ukawa,ilhali muungano huo haukuwa rasmi.
Wakati wa Kuingia makubaliano UKAWA hayo Chadema hawakuongea walikubali tu kuwa ruzuku itagawanywa kwa wote lakini Baada ya ruzuku Kuingia Chadema wakagoma kutoa wakawa wakali kuwa tuwape nyie ruzuku kwa sheria ipi kwendeni hukoYehodaya, haipendezi kwa GT kusema uongo usioweza kukubaliwa hata na mtu mpumbavu. Hilo la kugawana ruzuku wanaweza kujificha kwa sheria ipi? Kila chama cha siasa chenye ruzuku kinapewa ruzuku kwa ajili ya shughuli za kisiasa za chama husika, inawezekana vipi chama kimoja kukipa chama kingine ruzuku? Au ndivyo wanavyofanya CCM kwa TLP na UDP ambavyo vimetamgaza kumuunga mkono mgombea wa CCM?
Vv
Mbona wewe kama unanung'unika sana kuliko CHADEMA?Safari hii wamegoma katakata kuwapa kapu
2015 kuliundwa UKAWA na vyama vilivyounda UKAWA vikakubali kutoweka mgombea Uraisi vimuunge mkono mgombea mmoja tu wa CHADEMA, Lowasa na CUF ilimtoa Duni Haji ajiunge CHADEMA kama mgombea mwenza kumpa nguvu zaidi ya kura Lowassa za Zanzibar na za waislamu.