Uchaguzi 2020 Sababu ya Vyama vya Upinzani kutomuunga mkono Lissu, CHADEMA walivunja makubaliano ya kugawana Ruzuku kuvipa Vyama vyote vya UKAWA

Lissu ndiyo habari ya mjini, kwenye daladala, maofisini, sokoni, bar, hospitali, majumbani kila mtu anasikiliza hotuba za Lissu you tube.
Sikilizeni hotuba yake akiwa Mafinga. Hapo ndo niliamua kubafilika. Youtube wenye smartphones. Tatizo mb. Basi tu

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
 
Uchaguzi huu in chadema na ccm, wengine washehereshaji tu.Huo ndo ukweli
 
Yehodaya, haipendezi kwa GT kusema uongo usioweza kukubaliwa hata na mtu mpumbavu. Hilo la kugawana ruzuku wanaweza kujificha kwa sheria ipi? Kila chama cha siasa chenye ruzuku kinapewa ruzuku kwa ajili ya shughuli za kisiasa za chama husika, inawezekana vipi chama kimoja kukipa chama kingine ruzuku? Au ndivyo wanavyofanya CCM kwa TLP na UDP ambavyo vimetamgaza kumuunga mkono mgombea wa CCM?

Vv
 
Mwaka huu hata uongo wa kununua mtanunua lakini kuning'inizwa kuko pale pale.

Hayo makubaliano uliingia wewe na hivyo vyama vingine? Ulitunza hati ya makubaliano hayo? Uliuliza kwa Jaji Mtungi wakakwambia Hilo linakubalika?

Umerogwa wewe na kuna laana inakufuatilia..
 
Kwa kura ccm nakwambia kwakinywa kipana Jiwe hashindi labda Kwa usaidizi WA nec, Policcm, tss.
 
Hilo nalifahamu vizuri. Hata hivyo hoja ni nini hapa.
Hoja ni pesa,pesa ni kichocheo kikubwa katika kampeni hao wazee wawili Lowassa na Sumaye walikuja na pesa za kutosha za kampeni ,na walipoondoka Chadema ina shida ya fedha za kampeni.
Lakini ule utaratibu wa kutumia fedha za chama umesuasua toka alipoondoka Dr Slaa.
 
2015 kuliundwa UKAWA na vyama vilivyounda UKAWA vikakubali kutoweka mgombea Uraisi vimuunge mkono mgombea mmoja tu wa CHADEMA, Lowasa na CUF ilimtoa Duni Haji ajiunge CHADEMA kama mgombea mwenza kumpa nguvu zaidi ya kura Lowassa za Zanzibar na za waislamu.

Vyote vikakubaliana kuwa kwa kuwa kupata ruzuku inategemea kura nyingi za Uraisi wote wakubaliana wapambane kuhakikisha Lowassa anapata kura nyingi zitazofanya CHADEMA ipate ruzuku kubwa Sana Kisha baada ya ushindi CHADEMA kikipata Ruzuku kiwagiwie vyama vingine vilivyo sacrifice kutoweka wagombea Uraisi

Matokeo baada ya Chadema kuanza kupata ruzuku wakagoma kugawia wenzao ikiwemo hata CUF iliyowapa Duni Haji ndio.maana Duni Haji Aliondoka Chadema kwa hasira baada ya kuona Makubaliono yamevunjwa na CHADEMA

Sasa mwaka huu Chadema walipoanza kuviomba vyama vingine vimuunge mkono Lissu vikagoma kuwa mnataka tuwasaidie mpate kura nyingi za kuwawezesha kupata ruzuku hakafu mle peke yenu Kama mlivyotutapeli 2015 hatutaki Kila mtu apambane kivyake na mgombea Uraisi wake.

Ndio sababu kuu ya vyama kugoma. CHADEMA imekuwa ikipita kupiga magoti kuomba isamehewe vyama vingine vimegoma kuwa sio kosa kufanya kosa Mara moja Sio kurudia kosa. Vimegoma.

Utapeli wa CHADEMA safari hii umekwaa kisiki.
Yaani ukaungane na UDP au TLP una akili wewe?
 
Kwa kura ccm nakwambia kwakinywa kipana Jiwe hashindi labda Kwa usaidizi WA nec,policcm, tss.
Nec na maded tumejipanga namna ya kuwadhibiti! Safari hii labda watuue wote!
 
2015 kuliundwa UKAWA na vyama vilivyounda UKAWA vikakubali kutoweka mgombea Uraisi vimuunge mkono mgombea mmoja tu wa CHADEMA, Lowasa na CUF ilimtoa Duni Haji ajiunge CHADEMA kama mgombea mwenza kumpa nguvu zaidi ya kura Lowassa za Zanzibar na za waislamu.

Vyote vikakubaliana kuwa kwa kuwa kupata ruzuku inategemea kura nyingi za Uraisi wote wakubaliana wapambane kuhakikisha Lowassa anapata kura nyingi zitazofanya CHADEMA ipate ruzuku kubwa Sana Kisha baada ya ushindi CHADEMA kikipata Ruzuku kiwagiwie vyama vingine vilivyo sacrifice kutoweka wagombea Uraisi

Matokeo baada ya Chadema kuanza kupata ruzuku wakagoma kugawia wenzao ikiwemo hata CUF iliyowapa Duni Haji ndio.maana Duni Haji Aliondoka Chadema kwa hasira baada ya kuona Makubaliono yamevunjwa na CHADEMA

Sasa mwaka huu Chadema walipoanza kuviomba vyama vingine vimuunge mkono Lissu vikagoma kuwa mnataka tuwasaidie mpate kura nyingi za kuwawezesha kupata ruzuku hakafu mle peke yenu Kama mlivyotutapeli 2015 hatutaki Kila mtu apambane kivyake na mgombea Uraisi wake.

Ndio sababu kuu ya vyama kugoma. CHADEMA imekuwa ikipita kupiga magoti kuomba isamehewe vyama vingine vimegoma kuwa sio kosa kufanya kosa Mara moja Sio kurudia kosa. Vimegoma.

Utapeli wa CHADEMA safari hii umekwaa kisiki.
Taga yai
Screenshot_20200915-153744_Twitter.jpg
 
Msichague watu wasiomanika, msichague watu watakaokuja kutawala kwa matakwa ya watu wengine. Na si ajabu zikarudishwa hapa lockdown wakati Mungu ameshaimaliza.
Mwisho wa kunukuu....
 
Hao ndio Chadema matapeli wanaojaribu kuwalaghai Watanzania eti wataleta utawala wa haki huku wamefisidi pesa ya ruzuku ya CUF.
Wanachekesha hasa katika chama kilidhukumiwa na Chadema kwenye muungano wa UKAWA kilikuwa CUF kili sacrifice Sana kwenye ule muungano

Sidhani Kama Juma Duni Haji na Maalim Seif watakuja wasamehe Chadema kwa utapeli ule
 
Ni sheria ipi ingeruhusu Chadema kuvigawia ruzuku vyama vilivyokuwa kwenye Ukawa,ilhali muungano huo haukuwa rasmi.
Hapo ndipo wakipiwageuka wenzao wakiongozwa na Lisu Kama wakili

Makubaliano hayakuwa kisheria yalikuwa ya kuaminiana kuwa ukipata utugawie

Vyama vingine vikawa viaminifu Sana .Vikatimiza wajibu wake

Ilipofika ruzuku kuanza Kuingia Chadema wakagoma kutoa pesa wakasema anayeona anadhulumiwa aende mahakamani kwa kuwa hayo makubaliano hayakuwa ya kisheria ikabidi vyama vingine vinyamaze Sasa imekuja 2020 wanataka Tena bila hata haya Ohhh muungeni mkono Lisu !!! Mgombea wetu!!! Vyama vingine Wametia ngumu wameawagomea Chadema
 
Yehodaya, haipendezi kwa GT kusema uongo usioweza kukubaliwa hata na mtu mpumbavu. Hilo la kugawana ruzuku wanaweza kujificha kwa sheria ipi? Kila chama cha siasa chenye ruzuku kinapewa ruzuku kwa ajili ya shughuli za kisiasa za chama husika, inawezekana vipi chama kimoja kukipa chama kingine ruzuku? Au ndivyo wanavyofanya CCM kwa TLP na UDP ambavyo vimetamgaza kumuunga mkono mgombea wa CCM?

Vv
Wakati wa Kuingia makubaliano UKAWA hayo Chadema hawakuongea walikubali tu kuwa ruzuku itagawanywa kwa wote lakini Baada ya ruzuku Kuingia Chadema wakagoma kutoa wakawa wakali kuwa tuwape nyie ruzuku kwa sheria ipi kwendeni huko

Sasa Mungu SI Athumani 2020 ndio hii imefika ya uchaguzi wanalia Lia Chadema kutaka mgombea wao akubalike vyama vyote upinzani .Vimetia ngumu vimekataa
 
2015 kuliundwa UKAWA na vyama vilivyounda UKAWA vikakubali kutoweka mgombea Uraisi vimuunge mkono mgombea mmoja tu wa CHADEMA, Lowasa na CUF ilimtoa Duni Haji ajiunge CHADEMA kama mgombea mwenza kumpa nguvu zaidi ya kura Lowassa za Zanzibar na za waislamu.

Vyote vikakubaliana kuwa kwa kuwa kupata ruzuku inategemea kura nyingi za Uraisi wote wakubaliana wapambane kuhakikisha Lowassa anapata kura nyingi zitazofanya CHADEMA ipate ruzuku kubwa Sana Kisha baada ya ushindi CHADEMA kikipata Ruzuku kiwagiwie vyama vingine vilivyo sacrifice kutoweka wagombea Uraisi

Matokeo baada ya Chadema kuanza kupata ruzuku wakagoma kugawia wenzao ikiwemo hata CUF iliyowapa Duni Haji ndio.maana Duni Haji Aliondoka Chadema kwa hasira baada ya kuona Makubaliono yamevunjwa na CHADEMA

Sasa mwaka huu Chadema walipoanza kuviomba vyama vingine vimuunge mkono Lissu vikagoma kuwa mnataka tuwasaidie mpate kura nyingi za kuwawezesha kupata ruzuku hakafu mle peke yenu Kama mlivyotutapeli 2015 hatutaki Kila mtu apambane kivyake na mgombea Uraisi wake.

Ndio sababu kuu ya vyama kugoma. CHADEMA imekuwa ikipita kupiga magoti kuomba isamehewe vyama vingine vimegoma kuwa sio kosa kufanya kosa Mara moja Sio kurudia kosa. Vimegoma.

Utapeli wa CHADEMA safari hii umekwaa kisiki.

Mleta mada anajua ta huku na kuwa anacho cha kutuambia huyu?

Si bora kumsikiliza mkuu "don" alete taarifa za ki intelligence?
 
Back
Top Bottom