Sababu za kiroho kwanini lazima ufunge Ramadhani hata kama sio muislamu

Umejichanganya mkuu. Kiufupi hoja yako kuhusu programming inaunga mkono hoja yangu kwamba Mungu yupo na kwamba yeye ndio alie fanya hiyo programming ndio maana Kila mtu anae zaliwa anakuja na finger prints zake.

Kuhusu hiyo hoja ya contradiction wewe ndio huelewi. It is just a nomenclature. Ni kitu ambacho hukijui Ila umeamua kukipa jina kwa.sababu hukijui.

Infact nilifanya makosa makubwa sana ku prove uwepo wa Mungu bila kuku uliza unataka nitumie model ipi ya proof.

Unajua ishu sio ku proof kuwa Mungu yupo. Ishu ni " standard of proof " inayo takiwa kutumika ku proof uwepo wa Mungu. Standard of proof zipo za aina nyingi sana..Kila standard moja inatumika kivyake. .

Kwa mfano kwenye habari za kesi mahakamani, huwezi ku proof a criminal case kwa kutumia civil cases standard of proof. Kwa sababu in criminal case a standard of proof ni nyingine na in civil cases standard of proof ni nyingine.

Huwezi tumia standard of proof ya kwenye civil case to prove a criminal case.

Vivyo hivyo kwa habari ya uwepo wa Mungu.

Kabla sijaendelea, unataka ni proof uwepo wa Mungu kwa kutumia which standard of proof?
 
Mmhh!!!, Mbona hiyo sala Mimi siijui?, Imeandikwa wapi ktk vitabu vya Kanisa Katoliki?,Misale ya Waumini?,Katekisimu?,Chuo kidogo Cha Sala?,nk.Wapi?,ili nikasome.

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
 
Kimeumana.Akikujibu naomba unitag.

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
 
Mdogo wangu, Walio anzisha mfumo wa shule na ku manufacture saa ndio walio asisi Gregorian Calendar
 
Huo ni utalatibu wa Mwenyezi Mungu kwa watu wake,Mwenyezi Mungu anasema {Enyi mlioamini!Mmeandikiwa Saumu.kama walivyoandikiwa walio kuwa kabla yenu ili mpate kumcha Mungu.(Mfunge)siku maalum za Kuhesabika na atakaye kuwa miongoni mwenu mgonjwa au yumo safarini basi atimiza hisabu katika siku nyingine. Na wale wasio weza watoe fidiya kwa kumlisha masikini na atakaye fanya wema kwa kujitolea,Basi ni bora kwake na Mkifunga ni bora kwenu kama mnajua}
 
Unajua Ndugu yangu hekima ya mafundisho ya Kiisilamu,Mwenyezi Mungu kasema sio shehe kasema kwa hiyo ni Amri
Mimi nasema lau wakristo wangesoma au wakakubali kuujua uislam nanfaida zake nina hakika wangekubali na kumwamini Allah pekee na kila alichokiamrisha wakateleza na kuacha aliyoyakataza
Hakika namshukuru Allah kwa kunip njia ya kuingia ktk uislam. Alhamdulillah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…