Sababu za kiroho kwanini Tanzania ya Mama Samia itakuwa yenye neema kubwa sana kwa Watanzania

kwa hiyo Ni takwa la Mungu Samia aongoze kwa miaka minne tu badala ya kumi[emoji848]
 
Hivi wewe unamjua "MUNGU" ?? unayajua "mapenzi" ya MUNGU au unaropoka tu kwa sababu unajua kuandika?

Kabla ya kumuhusisha MUNGU na mambo unayowaza kwenye kichwa chako, kwanza, jifunze kujua MUNGU anapenda nini?
Ukiyajua "mapenzi ya MUNGU" basi pia utajua ni aina gani ya watu MUNGU huwatumia kuleta "neema" na ni aina gani ya watu MUNGU huwatumia kuleta "mapigo" kwenye nchi husika.
Usijeshangaa kuona hapo baadaye huyo "mama" uongozi wake ukawa pigo na laana kwa Watanzania badala ya "neema".
Wanaojua "mapenzi ya MUNGU" watakuwa wamenielewa.
 
Una kiwango kikubwa cha uchafu akilini mwako,mama samia ni chaguo la mungu,na magufuli aliongozwa na shetani kumchagua mama samia awe makamu wa rais? Unasema ete hakupigiwa kura wala hakuiba kura,kwenye uchaguzi mkuu ulikuwa hujazaliwa?,mbona watu mnapenda kuonyesha ujinga wenu hadharani?
 
Mama Samia Hajachaguliwa na Mungu ni Takwa la Katiba...isome katiba inasemaje kuhusu Rais aliye madarakani akifa nani anashika uongozi wa nchi na kwa namna gani....
Niandike japo, kuchaguliwa na Mungu hainamaana kwamba ingekuja kimiujiza unayofikiri wewe eti mfano tunaamka hasubui Tz nzima tunasikia sauti kutoka juu “Samia nimemchagua awe Rahisi” hapana.

Mambo ya kiiungu yanapitia njia zilezile zakawaida zilizowekwa na binadamu, kimazingira na kisayansi ila the way ilivyitokea uki connect dot unaona kuna something hapa.

Dots
1)Aligombea lakini si urahisi...Dot..A(Kama nguvu iliona kuna nafasi ana stahili si ile)

2)Mwanamke wa kwanza kama makamu... Dots...B(kama aliandaliwa na nature hivi iwe kwasababu tiyari kuna kifungu fulani kikatiba kitakamilisha mchezo.

3)Kufa kwa Raise... Dots... C (Him dot imekuja kukamilisha mchezo tu kifo hapa sitaki kueleza sana Sina Muscles)

Jambo la kiuungu linapitia njia ile ile tu...Mfano unaenda Intiview mkoa huna hata 10 Tzs ya nauri ushafaiti umekosa PAAH... Imesibitishwa umepokea 50,000 Tzs kupitia Tigopesa mtu kakosea muamala Hiyo ni Dots 70%.

Kuna jambo nataka kulifanya naona kuna Dots...nyingi sana zinanipa nguvu kuliendea.
 
Ameapishwa leo tu tayari umeingia kichwa kichwa....
umeingia mzima mzima
 
Vipi kuhusu uporaji wa maliasiri za nchi?!, vp uwajibikaji kazini?, vp kuhusu matumizi bora ya kodi zetu?
 
Ndio sababu amesema sababu ,za" kiroho " yaan mambo yanatokea hata hujui kwa nini yameyokea hivo , rais asinge fariki mama asingekalia kiti.
 
Angepita kwa Option nyengine ambayo ingewekwa...cha msingi uwelewe Mantiki hata Mungu amlete Mtume wake leo mimi sio mkristo ningekuwa mkristo ningesema (Hata angemshusha mwanawake wapekee leo aje aongoe nchi) sikwamba sauti ya kimiujiza ingetoka juu kwamba nimemchagua huyu NOOH...angepita njia zilezile zilizowekwa na System ila kwanjia ya pekee sana.
 
Mimi nipo Ghana huku watu wanalia sana mkuu
Kuna sehemu hata kujitambulisha kuwa wewe ni mtanzania unaogopa .
Angalia Ktn uone maoni ya wakenya , dhidi yetu.we downplayed corona na imetuaibisha parefu .
 
Uyasemayo yanafanana na ukweli.Bi samia ana bahati ambayo inaweza kutokea mara chache sana.
 
U are right,kwanza mama Samia hakuomba popote kuwa rais au makamu wa rais wa nchi hii, aliteuliwa tu kuwa mgombea mwenza,then from no where wa juu yake anafariki anajikuta anachukua kijiti, Ni halali kabisa kusema amechaguliwa na Mungu,Tunaamini Mwenyez Mungu atamjalia busara na hekima kuitwnda kazi Yake kwa ukamilifu!!

Sent from my CPH1909 using JamiiForums mobile app
 
Mama Samia hakuwah kuomba mahala popote kuwa mgombea wa urais ktk nchi hii,2015 alikiwa mwanachama tu wa kawaida ghafla akapendekezwa awe mgombea mwenza na mwaka huu wa juu Yake anatwaliwa anajikuta anabeba nafasi,Mungu alipanga aje kuwa rais wa nchi hii kwa wakati huu,miaka 5 ya kwanza ilikuwa Ni rehearsal kujua nn kinafaa Nini hakifai,

Sent from my CPH1909 using JamiiForums mobile app
 
Ulifanya hiyo sensa lini mkuu
Leo majira ya saa 4 asbh,nikiwa natokea mwanza kuja dar,nilipofika sehemu moja panaitwa maganzo,karibu na mgodi wa mwadui,kuna hotel moja ina itwa west park hotel,nikaegesha gari pembeni karibu na mkaratusi,nikashuka na kuagiza supu ya samaki sato,nikiwa nakunywa hiyo supu,kwenye luninga kukawa na hotuba fupi ya hayati jpm kumhusu mama samia,jamaa mmoja akaingia hapo na kuagiza bia, wakati anakunywa akawa anapiga Kelele,watu wakamwambia anyamaze,lkn akawaambia mnasikiliza upumbavu,magufuli ni kitu gn? Mama mmoja aksimama akamwambia baba tunaomba utusamehe,nyamaza kimya,yule bwana akasima na kusukuma yule mama,kilichofanyika ni watu woote ktk hiyo bar wakaanza kumshambuli kwa chupa na makreti ya chupa,yule bwana amepigwa na kuumizwa sn,damu puani na mdomoni, baadae nafikiri kuna mtu alipiga simu polisi wakaja, wakawakuta watu wanatafuta petrol wachome moto,yaani ilikuwa ni hatari,nakumbuka aliulizwa na askari yeye anaitwa nani? Aiitamka jina kama luyaga,au luyange kama sikosei,baada ya kuniona mimi nimesimama pembeni nikishangaa na kusikitika kwa kilichotokea,alikuja kuniuliza juu ya kilichotokea,nikaeleza km nilivyoona,baadae wananchi wakawaambia wale askari kwa nini anamtukana kiongoz wetu aliefariki,na kwa nin atutukane sisi kuwa tunafanya upumbavu,?, wakasema yeye kuwa wa chadema hakumfanyi apate uhalali wa kumtuka Jpm,tunomba umwondoe hapa,tutachoma moto,watu wakaanza kupiga miluzi apigwee apigwee,Ni hatari,
 
i agree with you
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…