rip faza_nelly
JF-Expert Member
- Feb 19, 2018
- 5,749
- 7,038
kwa hiyo Ni takwa la Mungu Samia aongoze kwa miaka minne tu badala ya kumi[emoji848]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi wewe unamjua "MUNGU" ?? unayajua "mapenzi" ya MUNGU au unaropoka tu kwa sababu unajua kuandika?SABABU NAMBA MOJA: Mama Samia Suluhu Hassan ni CHAGUO LA MUNGU moja kwa moja. Kwa lugha nyingine Mama Samia amechaguliwa na Mungu moja kwa moja kuwa Rais wa nchi hii. Namaanisha hivi urais wa Mama Samia is a result of a Divine/ Heavenly Decree. Mungu mwenyewe ndio ameamua kumuita Magufuli na in his stead akamsimika Mama Samia Suluhu Hassan kuongoza Taifa hili la Tanzania.
URAIS WA MAMA SAMIA SULUHU HASSAN IS A PURELY ACT OF GOD. ( VIS MAJOR ) Hajachaguliwa na mtu wala timu wala hajaiba kura wala hajafanya chochote isipokuwa Mungu mwenyewe kwa sababu anazozijua mwenyewe ( ambazo obviously lazima ziwe sababu sahihi na bora to the interest of all the people of Tanzania bila kujali dini zao vyamavyao makabila yao au rangi zao ) ameamua kumchagua Mama Samia Suluhu Hassan.
Hakika tangu tupate uhuru Mama Samia ndio Rais wa kwanza ambae amechaguliwa kuongoza taifa hili na Mungu mwenyewe moja kwa moja. Nyerere aliteuliwa na chama chake,Mzee Mwinyi aliteuliwa na chama chake, Mzee Mkapaalichaguliwa kwa kupigiwa kura na watanzania kama ilivyo kuwa kwa Kikwtete na Magufuli lakini Mama Samia amechaguliwa na Mungu mwenyewe kwa hiyo Watanzania tutarajie neema kubwa sana chini ya uongozi wa mama Samia kwa sababu Mama Samia amechaguliwa na Mungu moja kwa moja kwa moja na kazi ya Mungu haina makosa.
Kwa wale watanzania ambao walipo teza haki zao katika kipindi cha miaka mitano nawaambia FURAHINI KATIKA BWANA NASEMA TENA FURAHINI SANA ( WAFILIPI 4: 4-7 ) kwa sababu HII NI SIKU AMBAYO BWANA AMEIFANYA ( ZABURI 118: 24 ) Mungu anakwenda kuirudisha miaka hiyo mitano ambayo imeliwa na nzige ( YOELI 2:25-27)
kwa wasio amini katika Mungu kama Kiranga bila shaka mnaamini katika "nature" sasa itoshe kusema kwamba MAMA SAMIA SULUHU HASSAN HAS BEEN NATURALLY SELECTED TO BE THE PRESIDENT OF THIS BELOVED NATION BY MOTHER NATURE HERSELF. Nature ndio imeamua Magufuli arejee katika kwayo na nafasi yake iwe replaced by Mama Samia SULUHU HASSAN.
SABABU NAMBA MBILI : IN THE REALM OF THE SPIRIT " WOMEN ARE A PORTAL WHICH CONNECT THE HEAVEN TO THE EARTH ". Katika ulimwengu wa rohoni MWANAMKE NI LANGO LINALO TUMIKA KUUNGANISHA KATI YA MBINGU NA DUNIA. Mfano wake ni huu wewe binadamu roho yako imetoka kwa Mungu mbinguni, ili uje hapa duniani lazima upitie kwenye tumbo la mwanamke.
Hapo mwanamke ametumika kama lango.
Hata wakristo wanao amini katika Uungu wa Kristo wanajua kwamba KRISTO ( AMBAE NI NAFSI YA PILI YA MUNGU ILIYO ISHI MBINGUNI ) alikuja duniani kupitia mwanamke.( MAMA MARIA ) Mama MARIA alitumika kama lango la kuinganisha mbingu (KRISTO ) na dunia.
Mungu akitaKA kuleta mbingu duniani hufanya hivyo kupitia mwanamke. Believe my words Mungu anaenda kuileta MBINGU (NEEMA) nchini Tanzania kupitia MAMA SAMIA SULUHU HASSAN. MUNGU MWENYEWE ANAENDA KULIONGOZA TAIFA LA TANZANIA KUPITIA MAMA SAMIA. MAMA SAMIA AMETUMIKA KAMA LANGO AMBALO MUNGU MWENYEWE ANALITUMIA KUDHIHIRISHA MAPENZI NA MIPANGO YAKE JUU YA TAIFA LA TANZANIA
MUNGU IBARIKI TANZANIA
MUNGU MBARIKI RAIS WETU MAMA SAMIA SULUHU HASSAN AMBAE WEWE MWENYEWE UME MCHAGUA KULIONGOZA TAIFA LAKO HILI LILILO BARIKIWA KULIKO MATAIFA YOTE DUNIANI
Ulisha pata ajira?Acha unafiki, Afrika nzima inamlilia Magufuli sasa hivi. Mwaache yetu amalizie kazi ya Musa. Mimi naamini Magufuli ni Musa, mama Samia ndio Yoshua.
Una kiwango kikubwa cha uchafu akilini mwako,mama samia ni chaguo la mungu,na magufuli aliongozwa na shetani kumchagua mama samia awe makamu wa rais? Unasema ete hakupigiwa kura wala hakuiba kura,kwenye uchaguzi mkuu ulikuwa hujazaliwa?,mbona watu mnapenda kuonyesha ujinga wenu hadharani?SABABU NAMBA MOJA: Mama Samia Suluhu Hassan ni CHAGUO LA MUNGU moja kwa moja. Kwa lugha nyingine Mama Samia amechaguliwa na Mungu moja kwa moja kuwa Rais wa nchi hii. Namaanisha hivi urais wa Mama Samia is a result of a Divine/ Heavenly Decree. Mungu mwenyewe ndio ameamua kumuita Magufuli na in his stead akamsimika Mama Samia Suluhu Hassan kuongoza Taifa hili la Tanzania.
URAIS WA MAMA SAMIA SULUHU HASSAN IS A PURELY ACT OF GOD. ( VIS MAJOR ) Hajachaguliwa na mtu wala timu wala hajaiba kura wala hajafanya chochote isipokuwa Mungu mwenyewe kwa sababu anazozijua mwenyewe ( ambazo obviously lazima ziwe sababu sahihi na bora to the interest of all the people of Tanzania bila kujali dini zao vyamavyao makabila yao au rangi zao ) ameamua kumchagua Mama Samia Suluhu Hassan.
Hakika tangu tupate uhuru Mama Samia ndio Rais wa kwanza ambae amechaguliwa kuongoza taifa hili na Mungu mwenyewe moja kwa moja. Nyerere aliteuliwa na chama chake,Mzee Mwinyi aliteuliwa na chama chake, Mzee Mkapaalichaguliwa kwa kupigiwa kura na watanzania kama ilivyo kuwa kwa Kikwtete na Magufuli lakini Mama Samia amechaguliwa na Mungu mwenyewe kwa hiyo Watanzania tutarajie neema kubwa sana chini ya uongozi wa mama Samia kwa sababu Mama Samia amechaguliwa na Mungu moja kwa moja kwa moja na kazi ya Mungu haina makosa.
Kwa wale watanzania ambao walipo teza haki zao katika kipindi cha miaka mitano nawaambia FURAHINI KATIKA BWANA NASEMA TENA FURAHINI SANA ( WAFILIPI 4: 4-7 ) kwa sababu HII NI SIKU AMBAYO BWANA AMEIFANYA ( ZABURI 118: 24 ) Mungu anakwenda kuirudisha miaka hiyo mitano ambayo imeliwa na nzige ( YOELI 2:25-27)
kwa wasio amini katika Mungu kama Kiranga bila shaka mnaamini katika "nature" sasa itoshe kusema kwamba MAMA SAMIA SULUHU HASSAN HAS BEEN NATURALLY SELECTED TO BE THE PRESIDENT OF THIS BELOVED NATION BY MOTHER NATURE HERSELF. Nature ndio imeamua Magufuli arejee katika kwayo na nafasi yake iwe replaced by Mama Samia SULUHU HASSAN.
SABABU NAMBA MBILI : IN THE REALM OF THE SPIRIT " WOMEN ARE A PORTAL WHICH CONNECT THE HEAVEN TO THE EARTH ". Katika ulimwengu wa rohoni MWANAMKE NI LANGO LINALO TUMIKA KUUNGANISHA KATI YA MBINGU NA DUNIA. Mfano wake ni huu wewe binadamu roho yako imetoka kwa Mungu mbinguni, ili uje hapa duniani lazima upitie kwenye tumbo la mwanamke.
Hapo mwanamke ametumika kama lango.
Hata wakristo wanao amini katika Uungu wa Kristo wanajua kwamba KRISTO ( AMBAE NI NAFSI YA PILI YA MUNGU ILIYO ISHI MBINGUNI ) alikuja duniani kupitia mwanamke.( MAMA MARIA ) Mama MARIA alitumika kama lango la kuinganisha mbingu (KRISTO ) na dunia.
Mungu akitaKA kuleta mbingu duniani hufanya hivyo kupitia mwanamke. Believe my words Mungu anaenda kuileta MBINGU (NEEMA) nchini Tanzania kupitia MAMA SAMIA SULUHU HASSAN. MUNGU MWENYEWE ANAENDA KULIONGOZA TAIFA LA TANZANIA KUPITIA MAMA SAMIA. MAMA SAMIA AMETUMIKA KAMA LANGO AMBALO MUNGU MWENYEWE ANALITUMIA KUDHIHIRISHA MAPENZI NA MIPANGO YAKE JUU YA TAIFA LA TANZANIA
MUNGU IBARIKI TANZANIA
MUNGU MBARIKI RAIS WETU MAMA SAMIA SULUHU HASSAN AMBAE WEWE MWENYEWE UME MCHAGUA KULIONGOZA TAIFA LAKO HILI LILILO BARIKIWA KULIKO MATAIFA YOTE DUNIANI
Niandike japo, kuchaguliwa na Mungu hainamaana kwamba ingekuja kimiujiza unayofikiri wewe eti mfano tunaamka hasubui Tz nzima tunasikia sauti kutoka juu “Samia nimemchagua awe Rahisi” hapana.Mama Samia Hajachaguliwa na Mungu ni Takwa la Katiba...isome katiba inasemaje kuhusu Rais aliye madarakani akifa nani anashika uongozi wa nchi na kwa namna gani....
Kweli bhangi haijawahi kumwacha mtu salama,Huku mitaani watu wanapiga party za kufa mtu, hujaona?
Ameapishwa leo tu tayari umeingia kichwa kichwa....SABABU NAMBA MOJA: Mama Samia Suluhu Hassan ni CHAGUO LA MUNGU moja kwa moja. Kwa lugha nyingine Mama Samia amechaguliwa na Mungu moja kwa moja kuwa Rais wa nchi hii. Namaanisha hivi urais wa Mama Samia is a result of a Divine/ Heavenly Decree. Mungu mwenyewe ndio ameamua kumuita Magufuli na in his stead akamsimika Mama Samia Suluhu Hassan kuongoza Taifa hili la Tanzania.
URAIS WA MAMA SAMIA SULUHU HASSAN IS A PURELY ACT OF GOD. ( VIS MAJOR ) Hajachaguliwa na mtu wala timu wala hajaiba kura wala hajafanya chochote isipokuwa Mungu mwenyewe kwa sababu anazozijua mwenyewe ( ambazo obviously lazima ziwe sababu sahihi na bora to the interest of all the people of Tanzania bila kujali dini zao vyamavyao makabila yao au rangi zao ) ameamua kumchagua Mama Samia Suluhu Hassan.
Hakika tangu tupate uhuru Mama Samia ndio Rais wa kwanza ambae amechaguliwa kuongoza taifa hili na Mungu mwenyewe moja kwa moja. Nyerere aliteuliwa na chama chake,Mzee Mwinyi aliteuliwa na chama chake, Mzee Mkapaalichaguliwa kwa kupigiwa kura na watanzania kama ilivyo kuwa kwa Kikwtete na Magufuli lakini Mama Samia amechaguliwa na Mungu mwenyewe kwa hiyo Watanzania tutarajie neema kubwa sana chini ya uongozi wa mama Samia kwa sababu Mama Samia amechaguliwa na Mungu moja kwa moja kwa moja na kazi ya Mungu haina makosa.
Kwa wale watanzania ambao walipo teza haki zao katika kipindi cha miaka mitano nawaambia FURAHINI KATIKA BWANA NASEMA TENA FURAHINI SANA ( WAFILIPI 4: 4-7 ) kwa sababu HII NI SIKU AMBAYO BWANA AMEIFANYA ( ZABURI 118: 24 ) Mungu anakwenda kuirudisha miaka hiyo mitano ambayo imeliwa na nzige ( YOELI 2:25-27)
kwa wasio amini katika Mungu kama Kiranga bila shaka mnaamini katika "nature" sasa itoshe kusema kwamba MAMA SAMIA SULUHU HASSAN HAS BEEN NATURALLY SELECTED TO BE THE PRESIDENT OF THIS BELOVED NATION BY MOTHER NATURE HERSELF. Nature ndio imeamua Magufuli arejee katika kwayo na nafasi yake iwe replaced by Mama Samia SULUHU HASSAN.
SABABU NAMBA MBILI : IN THE REALM OF THE SPIRIT " WOMEN ARE A PORTAL WHICH CONNECT THE HEAVEN TO THE EARTH ". Katika ulimwengu wa rohoni MWANAMKE NI LANGO LINALO TUMIKA KUUNGANISHA KATI YA MBINGU NA DUNIA. Mfano wake ni huu wewe binadamu roho yako imetoka kwa Mungu mbinguni, ili uje hapa duniani lazima upitie kwenye tumbo la mwanamke.
Hapo mwanamke ametumika kama lango.
Hata wakristo wanao amini katika Uungu wa Kristo wanajua kwamba KRISTO ( AMBAE NI NAFSI YA PILI YA MUNGU ILIYO ISHI MBINGUNI ) alikuja duniani kupitia mwanamke.( MAMA MARIA ) Mama MARIA alitumika kama lango la kuinganisha mbingu (KRISTO ) na dunia.
Mungu akitaKA kuleta mbingu duniani hufanya hivyo kupitia mwanamke. Believe my words Mungu anaenda kuileta MBINGU (NEEMA) nchini Tanzania kupitia MAMA SAMIA SULUHU HASSAN. MUNGU MWENYEWE ANAENDA KULIONGOZA TAIFA LA TANZANIA KUPITIA MAMA SAMIA. MAMA SAMIA AMETUMIKA KAMA LANGO AMBALO MUNGU MWENYEWE ANALITUMIA KUDHIHIRISHA MAPENZI NA MIPANGO YAKE JUU YA TAIFA LA TANZANIA
MUNGU IBARIKI TANZANIA
MUNGU MBARIKI RAIS WETU MAMA SAMIA SULUHU HASSAN AMBAE WEWE MWENYEWE UME MCHAGUA KULIONGOZA TAIFA LAKO HILI LILILO BARIKIWA KULIKO MATAIFA YOTE DUNIANI
Ulipotea naona umerudiMkuu huo ndio ukweli Mama Samia amechaguliwa na Mungu moja kwamoja
Vipi kuhusu uporaji wa maliasiri za nchi?!, vp uwajibikaji kazini?, vp kuhusu matumizi bora ya kodi zetu?Aboreshe maisha ya mtanzania kwa kuboresha maslahi ya wafanyakazi, aajiri, awezeshe wakulima kupata mikopo yenye masharti nafuu, wafugaji watengewe maeneo ya malisho, aimarishe ulinzi na usalama wa wananchi, ajenge usawa wa kisiasa. Mengine mbwembwe tu!
Ndio sababu amesema sababu ,za" kiroho " yaan mambo yanatokea hata hujui kwa nini yameyokea hivo , rais asinge fariki mama asingekalia kiti.Mimi binafsi kwa kutoelewa kwangu haya masuala, nikafikiri kuwa nafasi hii aliyopata Mama yetu Mh. SSH inatokana na Katiba ya JMT:
(5) Endapo kiti cha Rais kitakuwa wazi kutokana na Rais kufariki dunia, kujiuzulu, kupoteza sifa za uchaguzi..., basi Makamu wa Rais ataapishwa na kuwa Rais...
Sa sikujua kuwa Mama yetu kumbe ni Chaguo la MM!
Angepita kwa Option nyengine ambayo ingewekwa...cha msingi uwelewe Mantiki hata Mungu amlete Mtume wake leo mimi sio mkristo ningekuwa mkristo ningesema (Hata angemshusha mwanawake wapekee leo aje aongoe nchi) sikwamba sauti ya kimiujiza ingetoka juu kwamba nimemchagua huyu NOOH...angepita njia zilezile zilizowekwa na System ila kwanjia ya pekee sana......Nafikiria tu ...kama katiba pia isingetoa "option" ya Makamu wa Rais kuapishwa kuwa Rais kumalizia kipindi cha Rais aliyekuwa madarakani kufariki...Basi Mama Samia asingekuwa Rais leo hii.....Nasisitiza Mama Samia ni kuwa Rais ni Takwa la Katiba...
Kuna sehemu hata kujitambulisha kuwa wewe ni mtanzania unaogopa .Mimi nipo Ghana huku watu wanalia sana mkuu
Mama Samia hakuwah kuomba mahala popote kuwa mgombea wa urais ktk nchi hii,2015 alikiwa mwanachama tu wa kawaida ghafla akapendekezwa awe mgombea mwenza na mwaka huu wa juu Yake anatwaliwa anajikuta anabeba nafasi,Mungu alipanga aje kuwa rais wa nchi hii kwa wakati huu,miaka 5 ya kwanza ilikuwa Ni rehearsal kujua nn kinafaa Nini hakifai,Mimi binafsi kwa kutoelewa kwangu haya masuala, nikafikiri kuwa nafasi hii aliyopata Mama yetu Mh. SSH inatokana na Katiba ya JMT:
(5) Endapo kiti cha Rais kitakuwa wazi kutokana na Rais kufariki dunia, kujiuzulu, kupoteza sifa za uchaguzi..., basi Makamu wa Rais ataapishwa na kuwa Rais...
Sa sikujua kuwa Mama yetu kumbe ni Chaguo la MM!
Leo majira ya saa 4 asbh,nikiwa natokea mwanza kuja dar,nilipofika sehemu moja panaitwa maganzo,karibu na mgodi wa mwadui,kuna hotel moja ina itwa west park hotel,nikaegesha gari pembeni karibu na mkaratusi,nikashuka na kuagiza supu ya samaki sato,nikiwa nakunywa hiyo supu,kwenye luninga kukawa na hotuba fupi ya hayati jpm kumhusu mama samia,jamaa mmoja akaingia hapo na kuagiza bia, wakati anakunywa akawa anapiga Kelele,watu wakamwambia anyamaze,lkn akawaambia mnasikiliza upumbavu,magufuli ni kitu gn? Mama mmoja aksimama akamwambia baba tunaomba utusamehe,nyamaza kimya,yule bwana akasima na kusukuma yule mama,kilichofanyika ni watu woote ktk hiyo bar wakaanza kumshambuli kwa chupa na makreti ya chupa,yule bwana amepigwa na kuumizwa sn,damu puani na mdomoni, baadae nafikiri kuna mtu alipiga simu polisi wakaja, wakawakuta watu wanatafuta petrol wachome moto,yaani ilikuwa ni hatari,nakumbuka aliulizwa na askari yeye anaitwa nani? Aiitamka jina kama luyaga,au luyange kama sikosei,baada ya kuniona mimi nimesimama pembeni nikishangaa na kusikitika kwa kilichotokea,alikuja kuniuliza juu ya kilichotokea,nikaeleza km nilivyoona,baadae wananchi wakawaambia wale askari kwa nini anamtukana kiongoz wetu aliefariki,na kwa nin atutukane sisi kuwa tunafanya upumbavu,?, wakasema yeye kuwa wa chadema hakumfanyi apate uhalali wa kumtuka Jpm,tunomba umwondoe hapa,tutachoma moto,watu wakaanza kupiga miluzi apigwee apigwee,Ni hatari,Ulifanya hiyo sensa lini mkuu
Mkuu huo ndio ukweli Mama Samia amechaguliwa na Mungu moja kwamoja
i agree with youMama Samia hakuwah kuomba mahala popote kuwa mgombea wa urais ktk nchi hii,2015 alikiwa mwanachama tu wa kawaida ghafla akapendekezwa awe mgombea mwenza na mwaka huu wa juu Yake anatwaliwa anajikuta anabeba nafasi,Mungu alipanga aje kuwa rais wa nchi hii kwa wakati huu,miaka 5 ya kwanza ilikuwa Ni rehearsal kujua nn kinafaa Nini hakifai,
Sent from my CPH1909 using JamiiForums mobile app
Je uchaguzi ulikua na uungu ndni yake mkuu?Alipigiwa kama Makamu, ila Mungu amefanya substitution baada ya kuona beki iliyopo inacheza rafu bila mpangilio.