Sababu za kiroho kwanini watu wengi walitamka kwamba utawala wa Mwendazake hautafika mbali

Sababu za kiroho kwanini watu wengi walitamka kwamba utawala wa Mwendazake hautafika mbali

Hakuna cha unabii wala sauti za kiroho. Kuna hulka ya mtu hubainisha mustakabali wake kirahisi. Kuishi kihasara hasara, ubishi na dharau nyingi dhidi ya hatari zinazokuzunguka.

Soma kisa cha Abunuwasi alipokuwa akikata tawi la mti huku kalikalia. Mpita njia akampa tahadhari kuwa ataanguka na tawi. Yeye akampuuza. Ilipotokea kweli na kwa bahati hakujeruhiwa akamkimbilia yule mtu akiona ni nabii na kumuomba amtabirie siku yake ya kufa!
 
Hakuna cha unabii wala sauti za kiroho. Kuna hulka ya mtu hubainisha mustakabali wake kirahisi. Kuishi kihasara hasara, ubishi na dharau nyingi dhidi ya hatari zinazokuzunguka.

Soma kisa cha Abunuwasi alipokuwa akikata tawi la mti huku kalikalia. Mpita njia akampa tahadhari kuwa ataanguka na tawi. Yeye akampuuza. Ilipotokea kweli na kwa bahati hakujeruhiwa akamkimbilia yule mtu akiona ni nabii na kumuomba amtabirie siku yake ya kufa!
U have a point mkuu
 
Takataka tu umeandika.


Bila jpm hii tz ulishakuwa mali ya wahuni, shukuru sana huyo mtu alikomboa mambo mengi na kuweka siri nyngi za viongozi wetu jinsi wanavyoharibu hii nchi.

Hata hivyo hakuna mwanachadema mwenye akili timamu anaweza kukili mazuri ya yule bwana.

Sas huyu samia na kikwete wana mazuri gan mpka wamshinde Magu kiasi kwamba mpka mbingu zimchukie mwendazake.

Watu wengi walkuwa wana hofu ya huyo bwana kutofika mbali sababu ya kuharibu mianya ya wahuni Full stop, kwanza huyo mzee alipendwa na watu wengi, kwanzia watoto, wamam na wazee, shahid mtaani kwako, japo unakaza fuvu lkn ukweli unao.

Lile nyomi la mafuriko ya watu walpokuwa wakimuaga halijawahi tokea tangu Baba wa taifa mpaka mwendazake,afu utokee wew mpuuzi mmoja usiejielewa wala kuwa na mchango wowote nchini kuanza kutuandikia upumbavu wako humu.

SHAME ON YOU
 
Wakati WA uchaguzi WA 2020 Kuna siku Alisikika akisema " MZEE MWINYI KAONGOZA VIPINDI VIWILI, MZEE MKAPA VIPINDI VIWILI, MZEE KIKWETE VIPINDI VIWILI, MIMI NDIO MNATAKA NIONGOZE KIPINDI KIMOJA"

Hapo mwendazake hakuwa akizungumza na wewe Wala Mimi Wala MTU yoyote Yule katika ulimwengu WA nyama . Hapo mwendazake alikuwa akizungumza Na sauti ya Mungu iliyo kuwa ikiendelea kumwambia kwamba yeye sio Rais..

Hapo nimekuelewa
 
Wakati wa mwendazake karibu Kila mtu alikuwa akitamka kwamba utawala wa mwendazake hautofika mbali.

Ilikuwa unaweza ukakutana na kajamaa kametoka kijijini kwako huko Isungachupi , hakajui chochote kuhusu utabiri lakini kanakwambi Kwa confidence kabisa kwamba " Ndugu yangu wee huyu jamaa utawala wake hautofika mbali."


Je unajua Sababu ni Nini?

Watu walikuwa wakitamka kwamba utawala wa mwendazake hautofika mbali Kwa Sababu Mungu alikuwa amewapa ufunuo kupitia nature.

Yes God speak through the nature.

When God want to communicate his massage to his people he sent the message to the nature and the nature communicate the same message to the people through what is known as telepathy.

Telepathy is simply communication without talking.

Telepathy can involve an individual person and sometime it can involve a group of people , the whole nation or the whole universe..

Telepathy can be from a person to a person, from God to humans, From human to God, from spirits to persons etc.

Ukitaka kujua how telepathy works tafakari tukio la kupigwa mwizi na wanachi wenye hasira Kali.

Huwaga unaenda kumpiga mwizi bila kuambiwa na mtu nenda kampige huyo mwizi. Mnajikuta kundi la watu mnampiga mtu mmoja ambae mnaamini ni mwizi. Ni kwamba nafsi zenu zinakuwa zime wasiliana kwamba mnapaswa kumpiga mwizi huyo wakati Huo.

Watu karibu wote mashuhuri duniani walipata revelations kubwa kubwa duniani through nature. ( Eg Budha )


Mara nyingi Sana nature huwa inazungumza na Sisi lakini Kwa Sababu tunakuwa hatujaliweka Hilo akilini( kwamba nature inazungumza Na Sisi ) basi Jambo Hilo hupita bila kujua.

Kwa ufupi nature huzungumza na wewe kupitia Sauti yako ya ndani ambayo is nothing but your guardian angel.


KWA HABARI YA MWENDAZAKE, nature ilizungumza na mamilioni ya watanzania kwamba mwendazake hakuwa kiongozi sahihi Na kwamba utawala wake ungeishia njiani.

TUKIO LA KWANZA : KUPOOZA KWA TANZANIA MARA BAADA YA MWENDAZAKE KUTANGAZWA KUWA RAIS.( Hakukuwa shamra kabisa kama ilivyo kuwa imezoeleka miaka yote . Yani Ni Sawa Na siku ya harusi halafu ukumbi mzima upooze Kwa huzuni kuu badala ya shamra shamra)

Nakumbuka hadi hapa Jf Kuna Mwamba alileta Uzi akihoji Nini mantiki ya kupooza Kwa nchi nzima mara baada ya mwendazake KUTANGAZWA kuwa Rais?

Watu wengi wali relate nae lakini baadhi ya MATAGA wakamjibu Kwa kejeli kwamba " familia yake ndio imepooza".

2. Miaka michache baada mwendazake kuingia madarakani watu wengi Sana mitaani wakawa wanasema huyu jamaa utawala wake hautofika mbali.

Unaweza kufikiri ni kama vile walikuwa wanamlaani lakini kiukweli ni kwamba walikuwa Wana tafsiri Kwa maneno Kile ambacho nature ilikuwa inazungumza nao..

3. KAULI YA LEMA HAIKUWA NA MAAJABU SANA : Lema aliposema kwamba ameota Rais atakufa, he was saying nothing but translating what the nature was speaking to him through his inner voice.

Inawezekana Kweli alioteshwa Kwa Sababu nature inapokuwa inaleta ujumbe wake Kwa watu halafu wafu mnakuwa mnashindwa kupata ujumbe wake basi inaleta ujumbe huo Kwa njia ya ndoto..

HATA WAPIGA ZUMARI WA MWENDAZAKE NATURE ILIZUNGUMZA NAO PIA.

Lakini hawakuweza kutafsiri sauti ya Mungu ndani Yao. Wataka kujaribu KUPAMBANA Na sauti ya Mungu ndani yao. Ndio maana wakaanza kampeni ya kutaka mwendazake aongezewe muda wa kutawala..

3. MWENDAZAKE ALI ISIKIA SAUTI YA NATURE LAKINI HAKUIJUA NDIO MAANA AKAJARIBU KUPAMBANA NAYO JAMBO AMBALO NI KOSA KUBWA SANA.

Waliosema sauti ya wengi ni sauti ya Mungu walikuwa wanamaanisha hiki ninacho kisema hapa. Kama watu wengi wanasema Jambo Fulani basi tafsiri yake ni kwamba nature ndio ime wadirect waseme hivyo. And nature is the only true messenger of God.

So naamini sauti hii hata Mwendazake aliisikia. Sauti ya ndani kabisa ambayo hutoka Kwa Mungu na kuja kwenye nafsi zetu kupitia nafsi. Sauti iliyo mwambia kwamba " Wewe sio Rais wa Tanzania" kiti ulicho kalia sio kiti chako etc.

Inawezekana sauti hiyo ilijirudia rudia Sana ndani ya nafsi yake kiasi cha kumfanya aipe umuhimu wake.

Inawezekana yeye alitafsiri sauti hiyo kama machale kwamba Kuna watu hawataki yeye awe Rais wa Tanzania.

Ndio maana mara Kwa mara Alisikika akisema " MIMI NDIO RAIS"

Hapa Kwa mtazamo wangu Nina amini Mwendazake hakuwa akizungumza na mtu yoyote Yule.Alikuwa akizungumza na sauti yake ya ndani ambayo ilikuwa ikimwambia kwamba yeye sio Rais.

Rais wa nchi Hana Sababu yoyote ya kutamka hadharani mara Kwa mara kwamba " Mimi ndio Rais"

Ni Sawa Na Baba, baba haitaji kujitambulisha nyumbani Kwa watoto wake kwamba yeye ndio baba,majukumu ndio yanayo mtambulisha kwamba yeye ndio baba. Ukiona baba anajitambulisha Kwa watoto wake basi something is missing.


MWENDAZAKE ANA ANZISHA MAPAMBANO DHIDI YA SAUTI YA MUNGU NDANI YAKE.

Kwa kuwabana wapinzani , kununua wabunge wa upinzani n.k . Lengo ni kujaribu kuizima sauti Ile ya ndani ambayo Ni sauti ya Mungu. Huwezi kuzima sauti ya Mungu ambayo Ni spiritual Kwa kutumia mamlaka ambayo jurisdiction yake ipo kwenye physical universe.


SAUTI YA NDANI BADO INAENDELEA KUMTESA

Inawezekana pamoja na kufanya jitihada zote lakini bado sauti Ile ya ndani iliendelea kumwambia kwamba wewe sio Rais wa nchi hii.

Wakati WA uchaguzi WA 2020 Kuna siku Alisikika akisema " MZEE MWINYI KAONGOZA VIPINDI VIWILI, MZEE MKAPA VIPINDI VIWILI, MZEE KIKWETE VIPINDI VIWILI, MIMI NDIO MNATAKA NIONGOZE KIPINDI KIMOJA"

Hapo mwendazake hakuwa akizungumza na wewe Wala Mimi Wala MTU yoyote Yule katika ulimwengu WA nyama . Hapo mwendazake alikuwa akizungumza Na sauti ya Mungu iliyo kuwa ikiendelea kumwambia kwamba yeye sio Rais..


ANAENDELEA DESPERATELY KUPAMBANA NA SAUTI YA NDANI.

Kwa Sababu sauti iliendelea kumwambia kwamba yeye sio Rais akaona kutumia mamlaka yake kwenye uchaguzi WA 2020 Kwa kufanya alicho kifanya kwenye uchaguzi ambao ccm walichukua nchi nzima kuanzia udiwani Hadi urais..

MWISHO SAUTI INAJIDHIHIRISHA KATIKA ULIMWENGU WA NYAMA...

SOMO: SAUTI YA WENGI NI SAUTI YA MUNGU.


MTU MMOJA AKIKWAMBIA WEWE NI PUNDA ACHANA NAE HUYO AMEKUTUKANA TU.

LAKINI WATU KUMI KILA MMOJA KWA WAKATI WAKE WAKIKUITA WEWE NI PUNDA, MY BROTHER BASI JUA WEWE NI PUNDA KWELI, ANZA KUPIGA WATU MATEKE.


Funzo kuu: usisindane Na sauti yako ya ndani. Sauti yako ya ndani ni sauti ya Mungu. Ni Mungu mwenyewe. Hata unaposikia wanasema " Sauti ya Mungu ikawambia Yona uende ninawi" usifikiri Yona akisikia suati ya Mungu live hapana ilikuwa ni sauti ya ndani. God always speak in silence.

Watu wengi wameangamia Kwa kuipuuzia sauti Yao ya ndani. Sauti ya ndani inakwambia achana Na huyo mwanamke/ mwanaume wewe unangangania mwisho wake unaenda kuangukia pua.

Sauti ya ndani inakwambia achana na hiyo biashara ila unalazimisha. Matokeo unaishia kupata hasara.
Uongo wako unaanzia ulipo sema hakukuwa na shamrashamra za mzee kuwa Rais, huo sio ukweli hata kidogo, tulikuwepo mwaka 2015, wala haikuwa mbali, kikwete aliandaa shamrashamra kubwa ambazo hakuwahi kufanyiwa Rais yoyote, madege yalipaishwa taifa pale utadhani ni siku ya muungano ama uhuru, na siku hiyo ilitangazwa sikukuu

Sasa hiyo kusema hakukuwa na shamrashamra sijui mwezetu ilikuwa ulaya hukushuhudia, we don't know and we are not sure of that
 
Halafu hilo neno 'mwendazake' mnataka muambiwe mara ngapi kuwa kwa kiswahili chetu Tanzania sio neno sahihi hilo. Hilo ni kama tusi, huku mtu aliyefariki huitwa marehemu ama hayati. Hayo maneno ya matusi Eti "mwendazake" mmeyaokota wapi

Mnaotumia neno mwendazake, hebu muimagine baba zenu au mama zenu shangazi na mababu na mabibi zenu wawe wanaitwa mmwaendazao hivi mtajisikiaje??

Mtaacha lini kutumia matusi kumuaddress mzee wa watu kajipumzikia mbele za haki

Maana hilo neno haitwi Rais mwengine aliyefarki wala mtu mwengine yoyote zaidi yake, mnataka muelewekeje, na neno lenyewe linasound kama tusi kwa sisi wazawa wa kiswahili
 
Nani asiekingoja kifo?

Hakuna utawala wowote utakaodumu zaidi ya miaka 10, tumejipangia wenyewe.

Miaka 10 ni mifupi sana kwa maisha ya utawala na kibinadam na ni muda mrefu sana kwa maisha ya kutawala Ki-Mungu mtu.
 
Madai ya kitoto sana haya..ok currently sauti ya nature inasemaje..hebu tupe bashiri yako leo ili kesho yakitimia ukumbukwe. maana si nature hukujuza ya sirini.
Saizi nature inaseme pesa zimetapakaa mtaani, kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake 😀😀
 
Back
Top Bottom