Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi ni ccm mkuuMmebaki kuwa wana harakati ,chedema kama mnataka mkubalike na watanzania njooni na vision nini mnataka kuifanyia nchi mna vision ipi mkipewa nchi ,sasa nyie mkibanwa majibu yenu ni tunataka haki, je ni haki ipi mnayotaka hata hamuelezi , sasa tunajiuliza nini malengo yenu mnataka kuipa nchi tofauti na chama kinachotawala ili tuone tofauti tuwapigie kura, maana hoja zenu ni akwilina yupo wapi tundu lisu kapigwa lisasi, azori gwanda yupo wapi zaidi ya hapo hatuoni kitu kipya. Naombeni basi mnishawishi kuwa mna maono mazuli, Sera mzuli za kuipaisha nchi kiuchumi na kuwaondolea wananchi umaskini na shida mbalimbali ili namimi nivutike niwaunge mkono , tofauti na uwana harakati usio na vision.
NakaziaChochote kikifungwa duniani na mbinguni kimefungwa. Sauti ya wengi ni sauti ya Mungu. Jamii inayo uwezo wa kukutamkia laaana kupitia matamko na manung'uniko ya watu mapepo yaliyo katika ulimwengu wa roho uyadaka Yale maneno ya laana na kuyatendea Kazi kadri ya Jamii ilivyoomba.
Ishi vizuri na watu, epuka bifu na kupambana na watu.
Comment yako nime I screen short mkuu.Chochote kikifungwa duniani na mbinguni kimefungwa. Sauti ya wengi ni sauti ya Mungu. Jamii inayo uwezo wa kukutamkia laaana kupitia matamko na manung'uniko ya watu mapepo yaliyo katika ulimwengu wa roho uyadaka Yale maneno ya laana na kuyatendea Kazi kadri ya Jamii ilivyoomba.
Ishi vizuri na watu, epuka bifu na kupambana na watu.
Nakumbuka kuna mama alilia kwa uchungu baada ya kubomelewa nyumba yake kwa uonevu ubungo alitamka'kama kweli Mungu anaishi atatulipia"Comment yako nime I screen short mkuu.
NakaziaNakumbuka kuna mama alilia kwa uchungu baada ya kubomelewa nyumba yake kwa uonevu ubungo alitamka'kama kweli Mungu anaishi atatulipia"
Waliofukuzwa Kazi nao walilia walitamka,walionewa dhulumiwa walitamka laana.
Zile laana zinatenda kazi.
Wachawi usiku kabla ya kuwanga ukutana na kutembea barabara zote za mtaa usiku wakitamka laana juu ya watu wa mtaa huo mfano." ndoa zivunjike, asitokee mtu kafaulu kwenda sekondari,asitokee mtu kafanikiwa mtaa huu,mabinti wazalie nyumbani,nk.Yale maneno mapepo ufanyia Kazi elewa KILA mtaa una jumla ya mapepo 300 yanamonita mtaa mzima kuangalia matukio yote ya KILA siku kujua wajawazito wangapi nani lini atajifungua,nk nani nyota yake inawaka.
So inashauliwa kabla ujaondoka asubui kukanyaga ardhi sali ombea baraka tamka baraka Ili zile laana zisikukamate. Jiulize kwann unakuta mtaa maisha yanafanana mfano hakuna hata mmoja aliyepiga plasta nyumba yake, au mtaa mzima giza awaweki taa, mtaa vibaka wamejaa, Hakuna binti asiye na mtoto, Hakuna aliyeolewa akadumu kwenye ndoa, nk zote ni Kazi za wachawi hizo.
Ipo haja ya watu wakajifunza elimu ya mambo yasiyoonekana Ili waweze kuwa huru. Kwa maana huwezi Pambana na shetani kama umjui. Huwezi tatua shida zako pasipo kujua asili kupitia roho, tengeneza kwanza ulimwengu wako wa kiroho ndipo mengine ya kimwili yatakaa sawa. Watu wanateswa na umasikini, wachawi, nguvu za giza nk. Jibu ni kwa sababu wameyakataa maarifa.
Hivi watu kama ninyi huwa mnaweza kusoma Kitabu kweli??Summarize uzi wako unachosha kusoma.
Njia ni moja kweli (kifo) but destination ni mbili: 1.Pepini 2. Motoni... So tunaweza kabisa tusionane mkuu [emoji12][emoji12]Hapa Tanzania ni Kama JPM ndio binadam wa Kwanza kufa au binadam pekee aliyekuwa si mkamilifu.
Kufika mbali ni general term na hata binadamu kufa wengi huamini ni adhabu but trust me kufa si adhabu but it is an end Kwa kila kiumbe Chenye uhai.
Rest easy ngosha.
Site njia yetu NI moja.
Weka screen shot ya kamusi kuonyesha kwamba mwendazake ni tusi. Pili wewe ni nani hasa kupangia watu maneno ya kuzungumza? Kama wewe ni mzee kifimbo cheza nenda kwanza ukaanze na wasanii wa mziki wanaoimba wazi kabisa matusi...Halafu hilo neno 'mwendazake' mnataka muambiwe mara ngapi kuwa kwa kiswahili chetu Tanzania sio neno sahihi hilo. Hilo ni kama tusi, huku mtu aliyefariki huitwa marehemu ama hayati. Hayo maneno ya matusi Eti "mwendazake" mmeyaokota wapi
Mnaotumia neno mwendazake, hebu muimagine baba zenu au mama zenu shangazi na mababu na mabibi zenu wawe wanaitwa mmwaendazao hivi mtajisikiaje??
Mtaacha lini kutumia matusi kumuaddress mzee wa watu kajipumzikia mbele za haki
Maana hilo neno haitwi Rais mwengine aliyefarki wala mtu mwengine yoyote zaidi yake, mnataka muelewekeje, na neno lenyewe linasound kama tusi kwa sisi wazawa wa kiswahili
Watu wengi wameangamia Kwa kuipuuzia sauti Yao ya ndani. Sauti ya ndani inakwambia achana Na huyo mwanamke/ mwanaume wewe unangangania mwisho wake unaenda kuangukia pua.Summarize uzi wako unachosha kusoma.
Hakuwa selected. He was placed at the office against the will of nature. Na kama unavyo jua kanuni za nature if u go against the nature u will get distaster.Kama nature ilikuwa haimtaki basi isingemselect toka mwanzo
kuna Jamaa humu ana msemo wake .... kilichopo akilini .... kitumie... wengi wanafeli hapaWatu wengi wameangamia Kwa kuipuuzia sauti Yao ya ndani. Sauti ya ndani inakwambia achana Na huyo mwanamke/ mwanaume wewe unangangania mwisho wake unaenda kuangukia pua.
Sauti ya ndani inakwambia achana na hiyo biashara ila unalazimisha. Matokeo unaishia kupata hasara.
Ulichoongea ni kweli kabsa but nimejiuliza kama alikuwa placed in office against the will of nature basi ata kutoka in office against the will of nature inawezekana. Kumaanisha kuwa alikuwa placed in office in the will of those who placed him and inawezekana alikuwa against their will.Hakuwa selected. He was placed at the office against the will of nature. Na kama unavyo jua kanuni za nature if u go against the nature u will get distaster.
Ni sawa na shoga huwezi SEMA nature imemfanya kuwa shoga wakati akifanyacho ni against the nature.
The nature can never defeat itself