Sababu za kiroho kwanini watu wengi walitamka kwamba utawala wa Mwendazake hautafika mbali

Nani asiekingoja kifo?

Hakuna utawala wowote utakaodumu zaidi ya miaka 10, tumejipangia wenyewe.

Miaka 10 ni mifupi sana kwa maisha ya utawala na kibinadam na ni muda mrefu sana kwa maisha ya kutawala Ki-Mungu mtu.
Nakazia
 
Tofautisha Kati ya igizo la kufanya shamra shamra na shamra shamra halisi. Wewe unazungumzia igizo ambalo lilifanywa na serikali yenyewe( Kwa Sababu ndio protocol zinavyotaka ) Mimi nazungumzia shamra shamra halisi ambazo hutoka Kwa wananchi wenyewe naturally kama ilivyo kuwa mwaka 2005 alivyo tangazwa kikwete.

Kama Lowassa angetangazwa kuwa Rais ungeweza kuelewa ninacho kizungumzia hapo...
 
Big up
 
Hoja zako za kitoto Sana mkuu.

1. Yeye mwenyewe alikuwa anajua watu hawampendi . So Kati yake mhusika aliekuwa anajua watz hawampendi na wewe unae dai kwamba alikuwa anapendwa, Nani yupo sahihi? Angekuwa anajua anapendwa ange pora uchaguzi


U seems like a person who don't know how to differentiate between OVERALL and ALLOVER.

Anyways , kuhusu madai yako kwamba hayati alipendwa na watu sio Kweli, ukweli ni kinyume chake. Kilicho tokea Kwa watu wachache walio kuwa wanadai kwamba wanampenda hayati, nenda kagoogle kitu kinaitwa STOCKHOLM SYNDROME .

Kwa ufupi Hao unaosema walikuwa wanampenda ni kwamba walikuwa wanamuogopa na kumuhofia na sio kumpenda.

2. Kuhusu hoja ya watu kujaa kwenye msiba( wewe Kweli Mtoto)

Watu walijaa kwenye msiba Kwa Sababu zifuatazo;

1. umaarufu wa msiba

2. Promotion ya msiba ( media zote ziliandika kuhusu msiba ) media Zina nguvu Sana mkuu ndio maana unaona mitume na manabii wanapata waumini wengi Kila uchwaowa Sababu ya media.


3. Wengine walienda kuthibitisha kama Kweli.

Sababu zipo nyingi Sana mkuu. Kama at this age bado unaamini kwamba wingi wa watu kwenye msiba ni Kwa Sababu marehemu alipendwa na wahusika then I am very sorry for you my brother.

3. Kuhusu kuziba mianya ya wahuni Kuna mtu aliziba mianya ya wahuni nchi hii kama Nyerere ?
 
Porojo tupu, hivi kuna utawala wa kijinga kuwahi tokea hapa Tanzania kama ule wa Kikwete.....mbona alidumu na nchi ilimshinda kuongoza. Kwanini Mungu asingetoa maono juu ya utawala ule wa kijinga? Magufuli walimuua wenyewe kwa sababu alikuwa anawaumbua viongozi wezi.
 
Mafi yako
 
Hujui hilo?? Nafsi inakusuta unapofanya jambo baya ila hulka ya ubinadami ndo huamua kupuuzia,hujawah kusikia mtu anasema "roho inasita??" Nataka kwenda ila roho inasita,
 
Hujui hilo?? Nafsi inakusuta unapofanya jambo baya ila hulka ya ubinadami ndo huamua kupuuzia,hujawah kusikia mtu anasema "roho inasita??" Nataka kwenda ila roho inasita,
Nakazia
 
Vilio vilitawala sana ktk utawala wa jiww ndo vyote vilisababishwa na ukosefu wa haki,angalia watu walianza kulia walivobomolewa jaangwani,tukahamia waliopembezoni mwa reli mpaka buguruni bila kufiata sheria wala kuheshimu utu wa watu,wakaja kimara ndo vilio vilikuwa mara dufu, tukahamia kwnye upinzan na mauaji ya watu,vita ya ugaidi ikaingia kati watu wengi watoto kwa wakubwa walikiwa wanalia mikoa ya kusini sidhan kama kuna familis ambayo haikuguswa suala la ugaidi na huna pa kulilia,matukio ni mengi ila vilio vilikiwa vingi kuliko vicheko kwa raia,Mungu husikia vilio vya wanyonge!!taifa kufiwa na kiongoz mkubwa siyo hali ys kawaida maana tunaamini utawala huwekwa na hulindwa na Mungu,ukiona unaondoka kabla ya muda ujue Mungu alijiweka kando
 
Usisahau na wakulima wakorosho walio dhulumiwa huko Lindi na Mtwara
 
Usisahau na wakulima wakorosho walio dhulumiwa huko Lindi na Mtwara
Waliobanwa kwa mambo mbalimbli ya uovu wameanza kutabiri na kuhusisha vitu vya uongo, naweza sema mzee alijitabiria kifo kwa sababu ya kubana wapiga dili, hivyo wapiga dili nao walitafuta njia ya kumwangusha mzee, nilichojifunza hapa duniani tunaishi kinafiki sana, umaweza tenda mema mengi lakini shetani akaona wivu ukaondolewa duniani.
 
" Nilipigwa rr
" Nilipigwa risasi Kwa amri ya Magufuli" Tundu Lissu akiwa Iringa wakati wa uchaguzi wa mwaka 2020
 
Pia kuna maraisi waliofia madarakani kwa sababu ya mageuzi waliyokua wanafanya mfano raisi Kennedy wa marekani aliuawa kwa kupigwa risasi raisi Abraham Lincoln aliuwawa akiwa madarakani hivyo kifo cha magu sio cha kwanza .chakujifunza ni kwamba ukiwa kiongozi ukataka kuleta mabadiriko flani katika nchi chagua mawili kufa ama kuishi, maana shetani anafanya kazi mioyoni mwetu ,nahisi hata mtoa huu Uzi anatumika na shetani bila ya yeye kujijua, bado anaendelea kumponda mzee magu lakini magu yupo mioyoni mwetu, Afrika bado sana mtu mzalendo nyie mnamponda ,laiti mimi nikapata nafasi hiyo nitakumbuka enzi za mzee makamba kuwa mzee kikwete alibatiza kwa maji, magufuli kwa moto haijulikani ni moto wa aina gani wa mabua, wa kuni ama wanini, ila Mimi nitabatiza kwa moto wa gase ili mambo yaende ma nchi isonge kwani mwafrika hadi asimamiwe ndo afanye kazi, utakuta kidaraja kidogo kuna mchina anasimamia ila mjenzi ni mwafrika hii inaleta tafsiri gani? Tunahitaji watu kama magu ukivuruga una aibishwa wazi wazi,
 
Damu ya Tundu Lissu iliyo mwagika pale Dodoma ikawe juu ya kichwa chako. Damu ZA Ben Saanane Azory Gwanda Akwilina n.k zikawe juu ya kichwa chako..
 
Damu ya Tundu Lissu iliyo mwagika pale Dodoma ikawe juu ya kichwa chako. Damu ZA Ben Saanane Azory Gwanda Akwilina n.k zikawe juu ya kichwa chako..
Mmebaki kuwa wana harakati ,chedema kama mnataka mkubalike na watanzania njooni na vision nini mnataka kuifanyia nchi mna vision ipi mkipewa nchi ,sasa nyie mkibanwa majibu yenu ni tunataka haki, je ni haki ipi mnayotaka hata hamuelezi , sasa tunajiuliza nini malengo yenu mnataka kuipa nchi tofauti na chama kinachotawala ili tuone tofauti tuwapigie kura, maana hoja zenu ni akwilina yupo wapi tundu lisu kapigwa lisasi, azori gwanda yupo wapi zaidi ya hapo hatuoni kitu kipya. Naombeni basi mnishawishi kuwa mna maono mazuli, Sera mzuli za kuipaisha nchi kiuchumi na kuwaondolea wananchi umaskini na shida mbalimbali ili namimi nivutike niwaunge mkono , tofauti na uwana harakati usio na vision.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…