Sababu za kiroho kwanini watu wengi walitamka kwamba utawala wa Mwendazake hautafika mbali

Mimi ni ccm mkuu
 
Chochote kikifungwa duniani na mbinguni kimefungwa. Sauti ya wengi ni sauti ya Mungu. Jamii inayo uwezo wa kukutamkia laaana kupitia matamko na manung'uniko ya watu mapepo yaliyo katika ulimwengu wa roho uyadaka Yale maneno ya laana na kuyatendea Kazi kadri ya Jamii ilivyoomba.
Ishi vizuri na watu, epuka bifu na kupambana na watu.
 
Nakazia
 
Comment yako nime I screen short mkuu.
 
Comment yako nime I screen short mkuu.
Nakumbuka kuna mama alilia kwa uchungu baada ya kubomelewa nyumba yake kwa uonevu ubungo alitamka'kama kweli Mungu anaishi atatulipia"
Waliofukuzwa Kazi nao walilia walitamka,walionewa dhulumiwa walitamka laana.
Zile laana zinatenda kazi.
Wachawi usiku kabla ya kuwanga ukutana na kutembea barabara zote za mtaa usiku wakitamka laana juu ya watu wa mtaa huo mfano." ndoa zivunjike, asitokee mtu kafaulu kwenda sekondari,asitokee mtu kafanikiwa mtaa huu,mabinti wazalie nyumbani,nk.Yale maneno mapepo ufanyia Kazi elewa KILA mtaa una jumla ya mapepo 300 yanamonita mtaa mzima kuangalia matukio yote ya KILA siku kujua wajawazito wangapi nani lini atajifungua,nk nani nyota yake inawaka.
So inashauliwa kabla ujaondoka asubui kukanyaga ardhi sali ombea baraka tamka baraka Ili zile laana zisikukamate. Jiulize kwann unakuta mtaa maisha yanafanana mfano hakuna hata mmoja aliyepiga plasta nyumba yake, au mtaa mzima giza awaweki taa, mtaa vibaka wamejaa, Hakuna binti asiye na mtoto, Hakuna aliyeolewa akadumu kwenye ndoa, nk zote ni Kazi za wachawi hizo.
Ipo haja ya watu wakajifunza elimu ya mambo yasiyoonekana Ili waweze kuwa huru. Kwa maana huwezi Pambana na shetani kama umjui. Huwezi tatua shida zako pasipo kujua asili kupitia roho, tengeneza kwanza ulimwengu wako wa kiroho ndipo mengine ya kimwili yatakaa sawa. Watu wanateswa na umasikini, wachawi, nguvu za giza nk. Jibu ni kwa sababu wameyakataa maarifa.
 
Nakazia
 
Kama nature ilikuwa haimtaki basi isingemselect toka mwanzo
 
Njia ni moja kweli (kifo) but destination ni mbili: 1.Pepini 2. Motoni... So tunaweza kabisa tusionane mkuu [emoji12][emoji12]
 
Weka screen shot ya kamusi kuonyesha kwamba mwendazake ni tusi. Pili wewe ni nani hasa kupangia watu maneno ya kuzungumza? Kama wewe ni mzee kifimbo cheza nenda kwanza ukaanze na wasanii wa mziki wanaoimba wazi kabisa matusi...
 
" MIMI NDIO RAIS" .... Jamaa alikuwa Jau sana, alimpiga ma-bit mpk saa godi
 
Summarize uzi wako unachosha kusoma.
Watu wengi wameangamia Kwa kuipuuzia sauti Yao ya ndani. Sauti ya ndani inakwambia achana Na huyo mwanamke/ mwanaume wewe unangangania mwisho wake unaenda kuangukia pua.

Sauti ya ndani inakwambia achana na hiyo biashara ila unalazimisha. Matokeo unaishia kupata hasara.
 
Kama nature ilikuwa haimtaki basi isingemselect toka mwanzo
Hakuwa selected. He was placed at the office against the will of nature. Na kama unavyo jua kanuni za nature if u go against the nature u will get distaster.

Ni sawa na shoga huwezi SEMA nature imemfanya kuwa shoga wakati akifanyacho ni against the nature.

The nature can never defeat itself
 
kuna Jamaa humu ana msemo wake .... kilichopo akilini .... kitumie... wengi wanafeli hapa
 
U
Ulichoongea ni kweli kabsa but nimejiuliza kama alikuwa placed in office against the will of nature basi ata kutoka in office against the will of nature inawezekana. Kumaanisha kuwa alikuwa placed in office in the will of those who placed him and inawezekana alikuwa against their will.
Nawasilisha
 
Huyo ndio LIKUD majin.
Mganga pekee anaetamani kusomea I.T.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…