Sababu za kiroho kwanini watu wengi walitamka kwamba utawala wa Mwendazake hautafika mbali

Nature ilikuwa inamwambia kuwa yeye sio Rais na kwamba utawala wake utakuwa wa kipindi kimoja tu, ndio maana:

1. Alibana wapinzani na kuwanyima hata haki zao za kikatiba kwa sababu alidhani labda ndio watachukua nchi.


2. Alituma watu wake akina Juma Nkamia na Ndugai kunena bungeni kwamba aongezewe muda wakati ndio kwanza alikuwa na miaka miwili ( Hapo alikuwa ana jaribu kuisurpress sauti nature kwa sababu ilikuwa ina mshuhudia kwamba ataongoza kwa muda mchache sana so alivyo kuwa ana watuma watu wake waseme aongezewe muda ni kama vile alikuwa ana plead to the nature kwamba " please niongeze muda wa kutawala tafadhali miaka minne haitoshi"

3. Mara kwa mara alikuwa anasikika akisema " Mimi ndio Rais" kwa sababu nature ilikuwa inamwambia kwamba yeye sio Rais na amekaa kwenye kitu ambacho sio kiti chake so alikuwa anajaribu pia kui surpress sauti ya nature.


4. Wakati wa kampeni za uchaguzi aliwahi kusikika akisema " Mzee Mwingi ametawala vipindi viwili, Mzee Mkapa vipindi viwili, Mzee Kikwete vipindi viwili halafu Mimi ndio mnataka nitawale kipindi kimoja? Hapo alikuwa anazungumza na nature kwa sababu nature ilikuwa inamshuhudia kwamba atatawala kipindi kimoja.
 
Tufanyie telepathy ya Samia au unasubiri atoke madarakani?
 
Summarize uzi wako unachosha kusoma.
Ingekuwa ya kuhusiana na mapenzi ama ngono jinsi jamaa alivyokula mbususu usingesema ama kuongea icho ama nakosea. Yaani ingekuwa ndefu Mara kumi zaidi ungesoma na unaulizia muendelezo vipi. Brain inapenda pleasure asikuambie mtu
 
Mawazo ya kishirikina
Abraham Lincolin aliuwawa mapema sana na hadi leo ni moja ya maraisi wanaopendwa Marekani.Hadi leo ikulu ya Marekani kumetundikwa picha mbili tu moja ya muasisi wa America George Washington na ya Abraham Lincolin
Hilo nalo unaliongeleaje?
 
Ishu sio kuuwawa mapema hata sokoine akiwa bado mdogo usichanganye madesa kijana
 
Walijua atauawa kwa kuwa alikuwa anagusa maslahi ya mafia wa ndani na nje ya Tz.

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Hujataka kuielewa mada,umepita pembeni yake,halafu kwa makusudi.
 
Ina maana angeruhusu free and fair election ndani ya ccm angeshindwa na akabaki kuwa raia na asingekufa. Aliweka form ya raisi moja tu.
Alimfukuza membe and the co.
Una maanisha matendo yake yalichochea kifo chake.
Umesahau kauli ya "Niombeeni hata mimi nina damu" .
Hapa ina ashiria kuwa alijitabiria kifo kwani aliwagusa watu wenye mitandao mikali ya kimafia duniani. Mfano kampuni za madini. Na hio kauli ina uoga ndani yake, umeshika dola bado unakuwa muoga.

Hapa najifunza kuwa Raisi SSH hataki kurudia kosa la magufili, tukio baya la mwenzako linakupa busara ya kufanya maamuzi yaliobora.
Watu tunakimbilia Uongozi mkubwa kumbe siri zake ni nzito. Kuna mambo magumu sana ktk uraisi wengi wetu tupo gizani.
Magufili alifuata falsafa ya RAPID CHANGES Badala ya Slow changes ambayo anafanya Samia.
Tukumbike hata Rsis Trump wa marekani alikosa uraisi mara ya pili kutokana na tabia kama za Magufili.
Hii ina maana kwamba mfumo wa kimagufuli kwa dunia ya sasa haikubariki vinginevyo itumike nguvu kubwa sana ya kujilinda.
 
ni rais aliyefia madarakani arifu. Rais wa nchi siyo kawaida. Hata hapo kwenu baba yako, ambaye ni kiongozi wa familia siyo kama WEWE! Umeelewa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…