Sababu za kisayansi kwanini Mwanaume anayevaa vizuri hung'oa wanawake wengi wakali kuliko mwenye gari

Mmmmh,hizi story za kwenye muvi!reality??yaani unalinganisha landcruiser GX V8 na pamba,kadet,shati kali na kiatu!kweliii!!!tell me ur kidding my young bro!!!!!
Acha kabisa kitu ndinga,ukikatiza nayo tu,hata mama mkwe atakupiga ukope
 
Ukiwa na ndinga Mzee wng hata kama una mchecheto kama wa Gotabaya utakula madem mpk nyota akonde
Hii ni sentensi ya asie kua na gari...sasa umekutana na demu labda kwenye mall utalibeba hilo ndinga uingie nalo kwenye mall au ndo utaweka funguo ining'inie kwenye luksi? Gari hua attract gold diggers
 
Mmmmh,hizi story za kwenye muvi!reality??yaani unalinganisha landcruiser GX V8 na pamba,kadet,shati kali na kiatu!kweliii!!!tell me ur kidding my young bro!!!!!
Acha kabisa kitu ndinga,ukikatiza nayo tu,hata mama mkwe atakupiga ukope

babu zetu hawakuwa na magari
Hii ni sentensi ya asie kua na gari...sasa umekutana na demu labda kwenye mall utalibeba hilo ndinga uingie nalo kwenye mall au ndo utaweka funguo ining'inie kwenye luksi? Gari hua attract gold diggers
Kutembea na funguo kama muhaya😂😂😂😂
 
Mkuu nilianza kukuelewa mwanzo ila shida inakuja hapo kwenye lugha.
Sio wote walioko humu wanajua lugha ya malkia. Wengine ndio sisi hatukupanda magari ya njano na university hatukwenda. O level tumesoma kata
 
Siku kila mtanzania anajua kiingereza ukitaka kuamini nenda kibanda umiza mechi za epl watazamaji Wana respond wanacho sema wachambuzi na wanachambua kwa kiingereza akina Thomas Mlambo
 
Ila muonekano wa mtu Kwa jinsi alivyo vaa unamata Sana,nadhan tunajua ule msemo kuwa smart kuna ficha umaskini.

Ila mtu kama ana ndinga hata akivaa vibaya watu watasema jamaa yupo simple Tu,unajua kwanini? Kwasababu ndinga inambeba, coz huwezi ukawa na ndinga ya hela mingi halafu ushindwe kununua pamba.

The same ukiwa na hela,watu wataona Tu jamaa anapenda kuwa simple Tu,kwahiyo hata demu akijua wewe upo njema Kwa wengi wao kwakuwa wanapenda pesa hawatojali,mwisho wa siku watu wanataka kulipa bills,kupendeza kwako hakulipi Kodi ya nyumba au kupata mahitaji mengine.

Lkn ukweli utabakia kuwa mwonekano wako Kwa mara ya Kwanza ndio Karata yako muhimu Sana.
 
Kipindi nasoma chuo flani kuna mkaka nilikua Kila nikimuona Yuko smart balaa..Muda wote kapendeza miguuni anavaa soksi na asipovaa mguu ni msafi sana. Yaan alikuaga Kama hakanyagi chini Wala hanyi..Alikua anajipenda sana Kila ukikutana nae ni Kama ametoka kuoga anaenda mahali.
Alikuaga ananibamba sana.
 
This is what i am talking about
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…