Smart911
Platinum Member
- Jan 3, 2014
- 135,167
- 160,806
Na mengi unakuta ni ya kitoto kitoto...🤣mapenz yqna mambo yanayochekesha sana aisee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na mengi unakuta ni ya kitoto kitoto...🤣mapenz yqna mambo yanayochekesha sana aisee
Mmmmh,hizi story za kwenye muvi!reality??yaani unalinganisha landcruiser GX V8 na pamba,kadet,shati kali na kiatu!kweliii!!!tell me ur kidding my young bro!!!!!When I was a lil bow wow ( a very young boy) I was thinking just like you.
Nilikuwa nafikiri kwamba ukitaka kung'oa mademu wakali lazima umiliki gari.
So tangu enzi hizo dream yangu kuu ilikuwaga nikija kupata mkwanja basi kitu cha KWANZA kununua nitanunua gari ili niwa vutie mademu.
But meanwhile tangu kipindi hicho nilikuwaga naroga sana ( kuroga is a slang for KUPENDEZA ) So nilikuwa mwenye kuvaa mavazi mavazi ya KUPENDEZA.
Kitu ambacho nime ki experience kwa kipindi chote hicho kuanzia nikiwa teenager mpaka nafika chuo ni kwamba kwa sababu ya kuroga( kuvaa mavazi mazuri ya KUPENDEZA )mademu wengi sana wakali walikuwa wakini shobokea na KUNIPA. Infact nime wang'oa mademu wengi sana wakali with almost no effort courtesy of dressing nicely.
Interestingly, miongoni mwa mademu hao walikuwa wana watoa jasho jamaa wenye magari.
Katika kipindi chote ambacho sikuwa na gari sikuwahi ku experience any kind of inferiority to a guy who drives a car in as far as the issue of getting girls is concerned.
Hata baada ya kuanza kumiliki magari sijawahi kabisa kuacha kuroga ( kuvaa mavazi mazuri/ya thamani)
Hata baada ya kuanza kumiliki magari, mademu wengi sana wakali wamekuwa wakini shobokea but am sure as hell wana nishobokea kwa sababu ya kuroga ( kuvaa vizuri) na sio kwa sababu ya kuendesha gari kali.
Nataka nikupe sababu ya kisayansi kwanini wanawake wazuri huwakubali na kuwashobokea wanaume wanao vaa vizuri( based on my personal experience )
Attraction is something natural and never was it being an artificial thing.
Ukiwa unavaa vizuri na KUPENDEZA that's a natural attraction so women will just be attracted to you naturally.
Gari sio something natural.
A car is something artificial.
Driving a car no matter how nice it is can never make you look good before women kwa sababu that is an artificial thing and it has nothing to do with the law of attraction.
Kama una fikiri kuendesha gari ndio kuna wafanya wanawake wawe attracted to you jiulize kuhusu babu zetu walio ishi enzi za Pontyo wa Pilato wao wali endesha kitu gani kuwavutia wanawake ?
But Likud, what are u talking about mbona hata mavazi sio natural?
Swali hili nimesha lijibu mara nyingi sana hapa JF, or u want me to repeat?
Okay it is like this one, ukiona mtu anavaa mavazi mazuri tafsiri yake ni kwamba mtu huyo ANAJIPENDA, na kujithamini.
Wanawake wanampenda mwanaume ambae yeye mwenyewe ANAJIPENDA. Mind set ya mwanamke imekuwa designed kuamini kwamba yeye mwanamke is a natural receiver of which she is ( mwanamke ni wa kupewa) in addition to that mind set ya mwanamke imekuwa intuitively designed kuamini kwamba mtu ambae hana kitu hawezi kukupa kitu ( Nemo Dat quod None Habet/he who doesn't have can't give )
Kwa hiyo kama wewe mwenyewe hujipendi, mwanamke ana amini huwezi kumpenda yeye cause you yourself you lack self love so u can't give her love something which u have not.
Hii ni sentensi ya asie kua na gari...sasa umekutana na demu labda kwenye mall utalibeba hilo ndinga uingie nalo kwenye mall au ndo utaweka funguo ining'inie kwenye luksi? Gari hua attract gold diggersUkiwa na ndinga Mzee wng hata kama una mchecheto kama wa Gotabaya utakula madem mpk nyota akonde
Mmmmh,hizi story za kwenye muvi!reality??yaani unalinganisha landcruiser GX V8 na pamba,kadet,shati kali na kiatu!kweliii!!!tell me ur kidding my young bro!!!!!
Acha kabisa kitu ndinga,ukikatiza nayo tu,hata mama mkwe atakupiga ukope
Kutembea na funguo kama muhaya😂😂😂😂Hii ni sentensi ya asie kua na gari...sasa umekutana na demu labda kwenye mall utalibeba hilo ndinga uingie nalo kwenye mall au ndo utaweka funguo ining'inie kwenye luksi? Gari hua attract gold diggers
Mkuu nilianza kukuelewa mwanzo ila shida inakuja hapo kwenye lugha.
Sio wote walioko humu wanajua lugha ya malkia. Wengine ndio sisi hatukupanda magari ya njano na university hatukwenda. O level tumesoma kata
This is what am talking aboutGentlemen are born not made.View attachment 2294486
Hii timberland bei ganiGentlemen are born not made.View attachment 2294486
Kipindi nasoma chuo flani kuna mkaka nilikua Kila nikimuona Yuko smart balaa..Muda wote kapendeza miguuni anavaa soksi na asipovaa mguu ni msafi sana. Yaan alikuaga Kama hakanyagi chini Wala hanyi..Alikua anajipenda sana Kila ukikutana nae ni Kama ametoka kuoga anaenda mahali.When I was a lil bow wow ( a very young boy) I was thinking just like you.
Nilikuwa nafikiri kwamba ukitaka kung'oa mademu wakali lazima umiliki gari.
So tangu enzi hizo dream yangu kuu ilikuwaga nikija kupata mkwanja basi kitu cha KWANZA kununua nitanunua gari ili niwa vutie mademu.
But meanwhile tangu kipindi hicho nilikuwaga naroga sana ( kuroga is a slang for KUPENDEZA ) So nilikuwa mwenye kuvaa mavazi mavazi ya KUPENDEZA.
Kitu ambacho nime ki experience kwa kipindi chote hicho kuanzia nikiwa teenager mpaka nafika chuo ni kwamba kwa sababu ya kuroga( kuvaa mavazi mazuri ya KUPENDEZA )mademu wengi sana wakali walikuwa wakini shobokea na KUNIPA. Infact nime wang'oa mademu wengi sana wakali with almost no effort courtesy of dressing nicely.
Interestingly, miongoni mwa mademu hao walikuwa wana watoa jasho jamaa wenye magari.
Katika kipindi chote ambacho sikuwa na gari sikuwahi ku experience any kind of inferiority to a guy who drives a car in as far as the issue of getting girls is concerned.
Hata baada ya kuanza kumiliki magari sijawahi kabisa kuacha kuroga ( kuvaa mavazi mazuri/ya thamani)
Hata baada ya kuanza kumiliki magari, mademu wengi sana wakali wamekuwa wakini shobokea but am sure as hell wana nishobokea kwa sababu ya kuroga ( kuvaa vizuri) na sio kwa sababu ya kuendesha gari kali.
Nataka nikupe sababu ya kisayansi kwanini wanawake wazuri huwakubali na kuwashobokea wanaume wanao vaa vizuri( based on my personal experience )
Attraction is something natural and never was it being an artificial thing.
Ukiwa unavaa vizuri na KUPENDEZA that's a natural attraction so women will just be attracted to you naturally.
Gari sio something natural.
A car is something artificial.
Driving a car no matter how nice it is can never make you look good before women kwa sababu that is an artificial thing and it has nothing to do with the law of attraction.
Kama una fikiri kuendesha gari ndio kuna wafanya wanawake wawe attracted to you jiulize kuhusu babu zetu walio ishi enzi za Pontyo wa Pilato wao wali endesha kitu gani kuwavutia wanawake ?
But Likud, what are u talking about mbona hata mavazi sio natural?
Swali hili nimesha lijibu mara nyingi sana hapa JF, or u want me to repeat?
Okay it is like this one, ukiona mtu anavaa mavazi mazuri tafsiri yake ni kwamba mtu huyo ANAJIPENDA, na kujithamini.
Wanawake wanampenda mwanaume ambae yeye mwenyewe ANAJIPENDA. Mind set ya mwanamke imekuwa designed kuamini kwamba yeye mwanamke is a natural receiver of which she is ( mwanamke ni wa kupewa) in addition to that mind set ya mwanamke imekuwa intuitively designed kuamini kwamba mtu ambae hana kitu hawezi kukupa kitu ( Nemo Dat quod None Habet/he who doesn't have can't give )
Kwa hiyo kama wewe mwenyewe hujipendi, mwanamke ana amini huwezi kumpenda yeye cause you yourself you lack self love so u can't give her love something which u have not.
This is what i am talking aboutKipindi nasoma chuo flani kuna mkaka nilikua Kila nikimuona Yuko smart balaa..Muda wote kapendeza miguuni anavaa soksi na asipovaa mguu ni msafi sana. Yaan alikuaga Kama hakanyagi chini Wala hanyi..Alikua anajipenda sana Kila ukikutana nae ni Kama ametoka kuoga anaenda mahali.
Alikuaga ananibamba sana.
Urudi mapema tunakusubiri halafu tunakupendaNimesima taito kwanza..
Nitarudi