Sababu za kuacha kutazama video za utupu

Faida yake ni ipi?
 
Sahihi kabisa. Ila kwa kua ni kizazi kile Yohana alikua akisema ni cha nyoka tutapinga.
 
Nimewahi sikia kwamba ukizikomalia hizo "vidio" utaanza kupenda kula "ndogo" af then utaanza kutamani "kuliwa" ndogo pia, naskia pia ndo chanzo vijana wengi kuwa "mapunga".

JF Naombeni clarification juu ya hayo.🙏🙏
 
Mimi ninachojua kuangalia ni dhambi na husababisha mtu kujichua ambayo pia ni dhambi. Kiujumla ni dhambi tu

Hizi nyingine ni hadithi tu
 
Je ulipiga kwa muda gani na uliathirika kwa kiasi gani? Na uliwezaje kuacha?
Isaidie jamii
Mkuu madhara yalikuja kama niliyo ainisha hapo juu, kuacha niliweza kwa sababu inahitaji maamuzi na nidhamu. Mtu anaweza kuacha vizuri tu kama atapewa mwongozo.
 
Yah ama ukiacha mfumo unarudi kama Kawaida bila madhara?
Madhara yanategemea na muda, na vitu unavyofanya kurudisha mwili kwenye hali ya kawaida. Ila inahitaji nidhamu ya hali ya juu kwa mtu kuweza kukaa kwenye mfumo wa mwanzo na kuacha hiyo tabia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…