Ni kweli madam, lakini hata vijana wa kike na hata wanawake watu wazima wameingia katika janga hili.Hilo ni janga la vijana/wanaume wengi na madhara ni makubwa sana
Mkuu una anza leo kufanyaje? Una acha au una anza kutazama? 🤣Hili bandiko lako limenihamasisha...ngoja nianze leo
Naanza kutazamaMkuu una anza leo kufanyaje? Una acha au una anza kutazama? 🤣
Ila mpenzi tukiangalia wote kuna shida?Hilo ni janga la vijana/wanaume wengi na madhara ni makubwa sana
🤣🤣🤣Vijana aliotabiri Nyerere ,Naanza kutazama
Ndo wa hovyo au? 😅🤣🤣🤣Vijana aliotabiri Nyerere ,
Sawa mkuu. Safari njemaNaanza kutazama
Shida ipo ndio.Ila mpenzi tukiangalia wote kuna shida?
Rejea Rasimu ya Warioba utajua uko kundi gani!!😃Ndo wa hovyo au? 😅
Kwa ujumla binadamu anatakiwa kufanya sex na siyo kuangalia watu wengine wakifanya sex na kuishia kujichua. Nature ndivyo inavyotaka. Kuangalia wengine wakifanya sex na kuishia kujichua ni kuvunja kanuni ya asili. Hivyo haitakiwi kwa binadamu yeyote awaye.Sawa sawa mkuu ,na wanawake unawashauri nn wanaojichua kunako maeneo
Wanawake nao hatuko nyuma kwenye hili, ila ni kujiharibu tu sio vitu vya kushabikia hivyo.Ni kweli madam, lakini hata vijana wa kike na hata wanawake watu wazima wameingia katika janga hili.
Hili niliwahi shuhudia wanawake wengi wanataka kutumiwa connection fulani.
Mkuu nature inataka watu wafanye sex na siyo kuangalia wengine wakifanya sex na kuishia kujichua. Kufanya hivyo ni kinyume na kwenda na natureWacha tuangalie bwana...hayo madhara naona ni madogo ukilinganisha na kuungwa kwenye grid ya taifa au kupata gono.
Ni fact mkuu, and I have experienced it and from what others have experienced it.
Sawa ni kinyume lakini bora hiyo kinyume kuliko kuumwa ngoma au kupata gono.Mkuu nature inataka watu wafanye sex na siyo kuangalia wengine wakifanya sex na kuishia kujichua. Kufanya hivyo ni kinyume na kwenda na nature
Kumbe ndo zako uache Sasa unipigie ukipata ugumu😄Wanawake nao hatuko nyuma kwenye hili, ila ni kujiharibu tu sio vitu vya kushabikia hivyo.
Mkuu hakuna cha unafuu. Effects zake ni very detrimental mkuu.Sawa ni kinyume lakini bora hiyo kinyume kuliko kuumwa ngoma au kupata gono.
Hii ya kuangalia inanihakikishia usalama wa afya yangu kwa asilimia 💯 na hilo ndio muhimu