Sababu za kuacha kutazama video za utupu

Sababu za kuacha kutazama video za utupu

Kuna kijana hapo utaskia ngoja nipige ndo nisome hili bandiko😆🤣🤣🤣
BTW Hili janga limefika hadi kwa Bi Mkubwa, si umeskia amewaambia wizara ya Afya "wakalitizame" suala la "Udongo wa Congo", source ni nyeto tuu
Ha ha ha ha ha mkuu. Lakini nashangaa kuna watu bado wanapinga. Hawajui kuwa hilo tatizo lina athiri taratibu na madhara huwa makubwa baada ya muda fulani.
 
Kuangalia picha za utupu hupelekea mtu kukosa hali ya kujiamini.

Watu wengi wanaotazama video za utupu hukosa hali ya kujiamini kwao wenyewe na kwa jinsia tofauti. Hii ni kwa sababu wengi huwa ni watu wa ndani sana na siyo watu wa kutoka nje, kuchangamana na watu wengine. Hata hivyo uwezo wa kuongea na jinsia tofauti hujawa na wasiwasi mkubwa kwa watu hawa.
Hii ni uongo mtupu.
 
naangalia kila nikiji'chua',

naji'chua' kwa siku mara 5, asubuhi-viwili, mchana, jioni na usiku kabla kulala
Sawa mkuu, endelea kutazama hizo video na endelea kujichua, ila napenda kukuambia kuwa madhara yake huwa hayaji mara moja. Madhara huja kidogokidogo. Ila utakuja kukumbuka ushauri huu. Ukitaka kujua hilo waulize watu waliowahi kuwa na matendo kama yako
 
Kuangalia picha za utupu hupelekea mtu kukosa nidhamu binafsi.

Nidhamu binafsi niyuwezo wa mtu kujiamulia kufanya jambo fulani na muda ukifika wa kufanya jambo hilo mtu ana anza kufanya jambo hilo. Ana anza kufanya jambo hilo bila kujali kama anajisikiaje au kuna hali gani. Mtu anaye tazama video hizo hukosa nidhamu ya kuacha kutazama video hizo. Hata kama atapanga kuwa kesho ata acha tabia hiyo, lakini kesho ikifika utakuta ana tazama tena. Hii ni kwa sababu ya kukosa nidhamu. Na mtu akikosa nidhamu kwenye eneo mojawapo, basi na maeneo mengine hukosa nidhamu
Conclusion yako kwenye hii point umegeneralize, kuwa ukikosa nidhamu kwenye uangaliaji wa hizo video basi utakosa nidhamu kwenye maeneo mengine SIO KWELI.
 
yanakuja mara ngapi ?

kama yapi ? huna facts aisee unabwabwaja na hisia

kwa lipi hasa ?

nimuulize yupi ?
Mkuu daktari ndiye anayejua taarifa za ugonjwa na wagonjwa wake. Huwezi kujua ugonjwa ni mkubwa kiasi gani kama wewe siyo daktari. Ila ni kawaida ya watu kupinga kitu wasichokijua. Pia kwa muda ambao umekuwa ukifanya hicho bado kupata madhara yenyewe
 
aisee, una umri gani ?
 
yanakuja mara ngapi ?

kama yapi ? huna facts aisee unabwabwaja na hisia

kwa lipi hasa ?

nimuulize yupi ?
Mkuu, umesema wewe mwenyewe hivi "naji'chua' kwa siku mara 5, asubuhi-viwili, mchana, jioni na usiku kabla kulala". Sasa nashangaa bado hujaona madhara mkuu? Kwa maelezo haya tayari madhara unayo. Madhara yapo kwenye komenti yako hiyo hapo juu. Nadhani umesha ona madhara yake
 
una umri gani ? elimu yako je ?
 
Nafikiri ni kwa wachache mno. Haya mambo ya uangaliaji hizo video ni ya siri mno, sijui unazungmzia kujiamini kwa namna gani?
Mkuu ni kwa wengi sana. Unajua aibu ni moja ya kuto kujiamini? Mtu ambaye amekuwa mlevi wa kutazama video hizo na kujichua, hawezi kujieleza kwa jinsia tofauti sawasawa na mtu ambaye ana energy ya kutosha mwilini mwake. Unajua uanaume upo kwenye ile energy ya sex. Na mtu kama anaharibu ile energy kinyume na kanuni za asili ata underperform?
 
una umri gani ? elimu yako je ?
Mkuu achana na umri wangu na elimu yangu. Ila unajijua tayari wewe umesha kuwa mlevi wa kutazama hizo video za utupu na kujichua sawasawa na mlevi wa pombe na madawa ya kulevya? Unajijua kuwa wewe umelost control ya akili yako na hisia zako badala yake akili yako na hisia zako zinakuendesha?
 
huna facts mzee, unaruka ruka, mara huku mara kule
maswali juu hapo umeshindwa jibu
 
Back
Top Bottom