Mtasumbuka sana kwanini sasa kwani kabla ya hapo mlikuwa hamumwoni?
 
Kwani hata kama ni Bandari siyo sehemu ya Tanganyika? Kuuza Kipande cha nchi ni kuuza nchi.
Chadema jipangeni kupiga kampeni vizur mwakani Kwa vijana. Tunieni vijana kuwa fursa hasa kwenye ajira. Sio kuleta blah blah blah za bandari hamtoboi
 
Kumbe yalikuwa ni makosa yake ya nyuma, mwenyewe nikadhani ni maoni yake kuhusu bandari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…