Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
SubiriManeno hayo yamezoeleka ila watanzania tuna mapenzi na nchi yetu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SubiriManeno hayo yamezoeleka ila watanzania tuna mapenzi na nchi yetu
Mfumo upi mzuri Africa ambao ungetufikisha?, toa mfano wa nchi 20 za Afrika zenye mifumo mizuri.Bibi anashabikia uovu hajui hata kinachoendelea
Huku ni kuishiwa hojaRais Samia anasumbua bara anajua siyo nchi yake akimaliza kuuza atarudi Unguja kula maisha
Ghana, Malawi, Botswana, Zambia, Lesotho, Algeria, Cape Verde.Mfumo upi mzuri Africa ambao ungetufikisha?, toa mfano wa nchi 20 za Afrika zenye mifumo mizuri.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
[emoji28][emoji28]usisahau na wale jamaa walioficha zile pesa za ruzukuEti wazee wa Africa hayo matapeli ndiyo wazee wa Africa, yameibia nchi na kujilimbikizia mali za umma hovyo eti unaita wazee wa Africa. Jinga kabisa
Kuuza nchi kwa wajomba zake.Wewe uliyeenda shule umeleta mawazo gani chanya kwa maslahi mapana ya taifa lako kama sio kusubiri wale mabwana zenu wapinge au wasifie nanyi mjumuike nao.
Kuna watu wapuuzi sana katika hii nchi
samia hasani suluhu tuna imani kubwa na wewe kulifikisha hili taifa pahala salama
Kwahiyo una maana bunge la Tanzania na rais wa Tanzania waliotunga sheria ya kuruhusu maandamano ni wajinga?, Kama hayana faida kwanini wasiyafute katika katiba ya nchi?.jana wazee wa Afrika huko Arusha, wamekemea sana Afrika kuiga mambo ya uvunjifu wa amani kwa jina la maandamano.
N nashukuru Polisi ya Tanzania wameliona hilo na wameisoma dunia na kuona madhara ya maandamano ya kijinga. Wamewapiga marufuku hata uvCCM.
Wamefanya la maana sana.
Hata mimi sikubaliani na maandamno ya kijinga, tena mwendazake alifika mbali mpka kupiga marufuku hata mikutano ya kisiasa, waste of time for nothing.
Wewe uliyeenda shule umeleta mawazo gani chanya kwa maslahi mapana ya taifa lako kama sio kusubiri wale mabwana zenu wapinge au wasifie nanyi mjumuike nao.
Kuna watu wapuuzi sana katika hii nchi
samia hasani suluhu tuna imani kubwa na wewe kulifikisha hili taifa pahala salama
Umekaa kabisa ukaona hichi ndiyo kitu cha kuja kutuambia unatuona kama wanao wa darasa la nneMnamo mwaka 2020 Wakili Peter Madeleka alikamatwa na kufunguliwa kesi ya Uhujumu Uchumi no. 40 (Economic case no 40/2020) katika Mahakama ya Hakimu Mkazi ya Arusha. Katika kesi hiyo alishtakiwa kwa makosa mbalimbali ikiwemo kughushi (forgery) kinyume na Sheria ya Mwenendo wa Adhabu (Penal Code) kifungu cha 337 cha sheria hiyo.
Pia alishtakiwa chini ya kifungu cha 12 cha Sheria ya Makosa ya Uhujumu Uchumu (Anti Money Laundering Act).
Wakati shauri lake linaendelea aliomba kufanya makubaliano na Serikali (Pre Bargaining) na taratibu zote za kufanya makubaliano zilifuatwa na ndipo aliachiwa huru.
Mara baada ya kuachiwa huru kupitia vyombo mbalimbali vya habari na mitandao ya kijamii Wakili Madeleka aliendelea kuchapisha habari kuwa alilazimishwa kukiri kosa na aliekuwa Mkurugenzi wa Mashtaka.
Baadaye alifungua kesi katika Mahakama Kuu akipinga taratibu hizo lakini maombi hayo madogo yalitupwa nje kwa kuwa Mahakama haikuwa na mamlaka ya kusikiliza shauri hilo.
Ndipo alifungua shauri hilo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha kupinga maamuzi hayo lakini Mahakama ilitoa maamuzi kuwa taratibu zote za makubaliano (Plea Bargaining) zilifanyika sawa.
Baada ya maamuzi hayo alikata rufaa tena na kuja na sababu tofauti ambapo Mahakama ilisikiliza hoja zake na kutoa amri kuwa taratibu za makubaliano hazikuzingatiwa hivyo kuamuru status ya kesi yake kurudi kama ilivyokuwa awali.
Baada ya maamuzi hayo Wakili Madeleka alikamatwa tena ili kuweza kuendelea na kesi yake ya msingi na kwa kuwa makosa anayoshtakiwa nayo hayana dhamana.
UPOTOSHAJI:
Jamii inapotoshwa na kuaminishwa kuwa mshtakiwa ameshikwa kutokana na kutoa maoni yake juu ya Mkataba wa DP world na Serikali ya JMT jambo ambalo si sahihi.
Ikumbukwe watu mbalimbali wametoa mawazo yao na hakuna yoyote alieshikwa. Hata katika kesi iliyofunguliwa na mawakili yeye si miongoni Mwao.
Hivyo ifahamike na itambulike mshtakiwa ameshikwa kwa makosa yake aliyoyafanya huko nyuma ambapo yeye mwenyewe alikiri na sasa ameomba Mahakama ifute maamuzi hayo hivyo kesi yake ya msingi inaendelea.
Pia soma Wakili Peter Madeleka akamatwa na polisi baada ya Mahakama Kuu kufuta Plea Bargain aliyoingia na DPP
Sikulaumu mkuu tuna tatizo kubwa hasa kwenye education systems yetu, watu hawajui to read to understand!,wewe ni mmoja wao ila usichukie mpo wengi, mtaji wa ccm ni upumbavu wa middle class!,policeman A anatuhumiwa kwa kuua raia, then ni police ndio watakaochonguza tuhuma hizo!!,hapa tulitakiwa tuwe na IPID, hawa ni police wanaochunguza,arrest, prosecute women's &men's in uniforms wanaokiuka utendaji wao,upumbavu wako hili hulioni!,hii mada inapojadiliwa inapanuka zaidi mkuu,usitulie tu na heading yakeMadeleke amekuwa taffic police tena?
Kuna kipi Cha ziada katika hizo nchi chenye maslahi ya kiuchumi, kimaendeleo na kijamii ambacho hizo nchi zimeizidi Tanzania?, tuanze na majirani zetu wa Zambia na MalawiGhana, Malawi, Botswana, Zambia, Lesotho, Algeria, Cape Verde.
DemokrasiaKuna kipi Cha ziada katika hizo nchi chenye maslahi ya kiuchumi, kimaendeleo na kijamii ambacho hizo nchi zimeizidi Tanzania?, tuanze na majirani zetu wa Zambia na Malawi
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Endelea kujitekenya mkuuMtu mpunbavu aliye kilaza mbobevu ndiye pekee anayeweza kusema/kuandika "tuna imani kubwa na wewe" ilhali hayo ni maoni/mawazo/imani yake binafsi mtu mmoja.
Mnamo mwaka 2020 Wakili Peter Madeleka alikamatwa na kufunguliwa kesi ya Uhujumu Uchumi no. 40 (Economic case no 40/2020) katika Mahakama ya Hakimu Mkazi ya Arusha. Katika kesi hiyo alishtakiwa kwa makosa mbalimbali ikiwemo kughushi (forgery) kinyume na Sheria ya Mwenendo wa Adhabu (Penal Code) kifungu cha 337 cha sheria hiyo.
Pia alishtakiwa chini ya kifungu cha 12 cha Sheria ya Makosa ya Uhujumu Uchumu (Anti Money Laundering Act).
Wakati shauri lake linaendelea aliomba kufanya makubaliano na Serikali (Pre Bargaining) na taratibu zote za kufanya makubaliano zilifuatwa na ndipo aliachiwa huru.
Mara baada ya kuachiwa huru kupitia vyombo mbalimbali vya habari na mitandao ya kijamii Wakili Madeleka aliendelea kuchapisha habari kuwa alilazimishwa kukiri kosa na aliekuwa Mkurugenzi wa Mashtaka.
Baadaye alifungua kesi katika Mahakama Kuu akipinga taratibu hizo lakini maombi hayo madogo yalitupwa nje kwa kuwa Mahakama haikuwa na mamlaka ya kusikiliza shauri hilo.
Ndipo alifungua shauri hilo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha kupinga maamuzi hayo lakini Mahakama ilitoa maamuzi kuwa taratibu zote za makubaliano (Plea Bargaining) zilifanyika sawa.
Baada ya maamuzi hayo alikata rufaa tena na kuja na sababu tofauti ambapo Mahakama ilisikiliza hoja zake na kutoa amri kuwa taratibu za makubaliano hazikuzingatiwa hivyo kuamuru status ya kesi yake kurudi kama ilivyokuwa awali.
Baada ya maamuzi hayo Wakili Madeleka alikamatwa tena ili kuweza kuendelea na kesi yake ya msingi na kwa kuwa makosa anayoshtakiwa nayo hayana dhamana.
UPOTOSHAJI:
Jamii inapotoshwa na kuaminishwa kuwa mshtakiwa ameshikwa kutokana na kutoa maoni yake juu ya Mkataba wa DP world na Serikali ya JMT jambo ambalo si sahihi.
Ikumbukwe watu mbalimbali wametoa mawazo yao na hakuna yoyote alieshikwa. Hata katika kesi iliyofunguliwa na mawakili yeye si miongoni Mwao.
Hivyo ifahamike na itambulike mshtakiwa ameshikwa kwa makosa yake aliyoyafanya huko nyuma ambapo yeye mwenyewe alikiri na sasa ameomba Mahakama ifute maamuzi hayo hivyo kesi yake ya msingi inaendelea.
Pia soma Wakili Peter Madeleka akamatwa na polisi baada ya Mahakama Kuu kufuta Plea Bargain aliyoingia na DPP
.Ukweli mchungu tunaishi in a pithole country, nchi ambayo mihimili ya judiciary na Bunge ipo mifukoni mwa mhimili wa magogoni, katiba mpya ndio nchi inahitaji, kesi hii taasisi mbili huru zingeihusu, Human rights commission na PP, haki ya mlalamikaji ingepatilkana kihalali, na jeshi letu la police livunjwe na tuanze upya, all above 40yrs waondolewe maana wapo corrupted na systems, tuajiri young graduates, watuwekee msingi mpya na bora, mfano tuchukue 1000 tuwapeleke pale Botswana wakajifunze kuwa traffic officer's bora na kuona wenzetu wamefanikiwa vipi kuwa na zero corruption kwenye utendaji wake hasa barabarani.
Wanafiki tu ni sababu ya mwanzo kupiga marufuku maandamano yoyote ya kisiasa hasa ya wapindani. Ilikuwa mbinu tujana wazee wa Afrika huko Arusha, wamekemea sana Afrika kuiga mambo ya uvunjifu wa amani kwa jina la maandamano.
N nashukuru Polisi ya Tanzania wameliona hilo na wameisoma dunia na kuona madhara ya maandamano ya kijinga. Wamewapiga marufuku hata uvCCM.
Wamefanya la maana sana.
Hata mimi sikubaliani na maandamno ya kijinga, tena mwendazake alifika mbali mpka kupiga marufuku hata mikutano ya kisiasa, waste of time for nothing.
Demokrasia ni nini na unaipimaje?.Demokrasia
Ndiyo sisi watanganyika tunaamini hivyo, leo kesho na hata milele hadi mtakapomuachia huru sababu kawaambia ukweli kuhudu DP world.Jamii inapotoshwa na kuaminishwa kuwa mshtakiwa ameshikwa kutokana na kutoa maoni yake juu ya Mkataba wa DP world na Serikali ya JMT jambo ambalo si sahihi.
Usiwapangie Polisi namna ya kufanya kazi. Wangemkamata nyumbani kwake bado ungerudi kusema wamemdhalilisha mbele ya familia.Hizo taratibu zote za kesi mahakamani kama kweli zilikuwepo, iweje mkamvizie akiwa kwenye chumba cha mahakama mnamsubiri akitoka nje ndio mumkamate?
Kwani hampafahamu nyumbani au ofisini kwake? mliwahi kumtaka ajisalimishe kituo cha polisi kwa hayo mashtaka akakataa kutii wito?
Huu utetezi uliouleta hapa ni ujinga mtupu, kimsingi mmemkamata Adv. Madeleka kwa sababu ya msimamo wake kuhusu utoaji bure wa bandari zetu zote Tanganyika, lakini sio kwa hizo sababu nyepesi ulizotuandikia hapo.