Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 25,252
- 36,513
Wanahaha kutunga sheria za hovyo hovyo kujilimbikizia madaraka wakiamini watajilinda.Huu upuuzi unao endelea nchini, ni kiashiria tosha hii serikali imeshakataliwa duniani na mbinguni. Na siku zake za kujifia kifo cha mende, zinahesabika.
Mungu ameshaikataa CCM. Watafurukuta na kutafuta manabii wa giza kutengeneza maigizo lakini anguko lipo palepale