Ukweli mchungu tunaishi in a pithole country, nchi ambayo mihimili ya judiciary na Bunge ipo mifukoni mwa mhimili wa magogoni, katiba mpya ndio nchi inahitaji ,kesi hii taasisi mbili huru zingeihusu, Human rights commission na PP,haki ya mlalamikaji ingepatilkana kihalali, na jeshi letu la police livunjwe na tuanze upya, all above 40yrs waondolewe maana wapo corrupted na systems, tuajiri young graduates ,watuwekee msingi mpya na bora,mfano tuchukue 1000 tuwapeleke pale Botswana wakajifunze kuwa traffic officer's bora na kuona wenzetu wamefanikiwa vipi kuwa na zero corruption kwenye utendaji wake hasa barabarani