Sababu za Msingi kwanini Bomba la mafuta Uganda lipite Bandari ya Tanga

Basi Mkuu, nimekuelewa! Tumuache tu Mzee wa watu ale A/c ofisini kwake Mdogo Mdogo! Hapa TAIFA kwanza!
 
Sasa mnakubali kwamba Ex President Mkapa alitumia lugha isiyopendeza kushambulia wapinzani lakini mlikuwa busy kumtetea au sio.... DOUBLE STANDARDS
Hiyo M ni akina nani? mbona unazungumza kiujumla? Msimamo wangu siku zote umekuwa hivyo na hata hivi leo sikumwita Pasco mbumbumbu bali nilimuuliza jee wewe ni mbumbumbu kiasi hicho? lakini yeye kanitusi na mimi sikurudishia kwani kwa kufanya hivyo tunakuwa sawa.
 
nenda kasoma press release iliyotolea na gerson msigwa au ile iliyotolewa siku wamekutana magufuli na mseven kule arusha kila kitu kimeelezwa
Mkuu nimesoma ile article nimegundua hili ni bonge la deal. Kwenye hatua za ujenzi ni muhimu kama fedha nyingi itabaki hapa. Yan hiyo project ni 4bn usd sio mchezo. Serikali iwe makin sasa kuanzia kwenye makubaliano ya ujenzi sababu unakuta kwenye miradi iliyokwisha fanyika 80% ya hiyo hela inarudi nje. Lakin pia baada ya project kukamilika tuuumize vichwa zaid kujua tutanufaikaje.
 


WEWE NI KIAZI.
 
safi sana kwa walio Fanya robbing kwenye hii issue mpaka inafikia hapo inatia matumaini
 
kazi nzuri kwa team mzima iliyo Fanya robbing mpaka hii issue inafikia hapo inatia matumaini kwa kwrli
 
 

..OK, inaelekea Tanga iko vizuri vs Lamu.

..vipi kuhusu Tanga vs Mombasa? Unaweza kutueleza kwanini Tanga inafaa dhidi ya Mombasa? kwasababu wa-Ky wanatoa option ya Mombasa na Lamu.

..pia sijaona maelezo kuhusu njia ambayo bomba hilo litapita. kuna uvumi kwamba litakatiza ktk mbuga ya Serengeti. Je, ni kweli?

..zaidi, inabidi ueleze kwanini njia litakapopita bomba hilo kwa upande wa Tz ni bora kuliko upande wa Kenya. wenzetu Kenya wametoa option mbili kwa njia bomba hilo litakapopita.

..eneo lingine ni fedha za mradi huo zitatoka wapi? Je, Tanzania itachangia kiasi gani?

..Tanzania tunatarajia kupata mapato kiasi gani kwa kupitisha bomba hilo kwetu?

..Je, kuna hasara zozote zile zinazoweza kutokana na mradi huu kwa upande wa uchumi[kurudisha fedha za mradi] au mazingira[ajali na uharibifu]? Je, kama taifa tumejiandaa vipi ktk ku-deal na risks za mradi huo?

..binafsi nataka nijiridhishe kwanza kuhusu maswali yangu hapo juu, kabla ya kuvaa joho la UZALENDO kutetea mradi huu uje ktk ardhi yetu.

cc Geza Ulole, The Boss, MsemajiUkweli, Tetty, salaama, Bukyanagandi, DAR si LAMU
 
Kwa Mombasa tatizo ni compensation! Bomba litapita Eldoret, Nairobi na Mombasa! Pata picha mpunga utakaotolewa kupisha bomba! Na pia kumbuka kuna storage facilities zitahitajika Mombasa meaning more land acquisition! Gharama za compensation kupitia Mombasa ni zaidi ya kupitia Lamu japokuwa kuna accusation za land grabbing hata route ya Lamu pia
 
Ndo uniambie ww sasa, nachojua mm Uganda ni land locked kwa vyovyote lazima atumie Kenya au Tanzania kufanya export zake, usiniambie vitu vidogo vidogo nataka nijue faida kubwa na risk za sis kukubali kufacilitate potential export za Uganda
Business is a win win arrangement, so dont think of gaining while the other loses. That doesnt work, so for once can you put TZ first instead of petty politics?
 
Uzalendo haupimwi dakika za mwisho Bali mwanzoni , huzalendo hupimwa kwa kutetea maslahi ya taifa yawe madogo au makubwa

Lakini maswali yako , yanaonekana hayana uzalendo Bali ni aibu ya kuona mradi unakuja Tanzania kwa mtu mwenye exposure kama wewe hayo sio maswali Bali ni aibu ya kimasomaso maana nyie na kundi lenu huwa hakuna jema katika nchi hii utafikiri sio watanzania

Kila kitu kinajulikana na kila kitu kiko wazi sijui kwanini? Mnashindwa kuwa wazalendo

Tanzania ni yetu sote , watoto wenu wako Tanzania na kama hawapo bado ndugu zenu wako Tanzania , hizi drama za check and balance katika maandiko yenu katika taifa na taifa hazina uzalendo wowote zaidi ya unafiki

Kubalini , kushirikiana na uongozi uliopo na msijifanye mnajua sana , wakati wajuvi wapo wanawaangalia tu,

Fake ID , zisiwafanye kuondoa uzalendo

Badilikeni ,
 
Bado ni zaidi ya hapo, kama ulimaanisha Domestic revenue, kwa mwezi tu karibia 1.5Tril. Refe (Wazir wa Fedha)Kama ulimaanisha GDP ni karibu Trilion 100. (IMF)
Wewe mwongo!! Domestic revenue haiwezi fika trilion 1.5 kwa mwezi!.. domestic revenue huwa haijumuishwi na mapato ya customs collection.. customs collection ni pa1 na bandari...
 
Mkuu, kuna trip down effect chungu mzima, na buckward linkage za kutosha labda tuanzishe topic nyingine ya kukuelewesha faida ya huu mradi ila najua wakenya wanaweza wakafa kwa kihoro.
Trip down= trickle down
 

..asante kwa mchango wako.

..lakini naona kama umenijadili mimi binafsi badala ya kujadili/kujibu maswali yangu.

..haya mambo hayakowazi kwangu kama unavyofikiri, ndiyo maana nikayaleta hapa.

..nakubaliana na wewe kwamba ni lazima kutetea MASLAHI YA TAIFA hata kama ni madogo.

..lakini sidhani kama nitakuwa mtetezi mzuri wa taifa langu kama hata sijui au sina uhakika na kile ninachokitetea.
 
Wewe mwongo!! Domestic revenue haiwezi fika trilion 1.5 kwa mwezi!.. domestic revenue huwa haijumuishwi na mapato ya customs collection.. customs collection ni pa1 na bandari...
Haya basi tuyaite mapato ya ndani kwa mwezi, ili ufurahi.
 
Swala sio technical analysis kwa nin bomba lipite kwetu,issue ni economic benefit gani tutapata kama nchi? hii issue imebebewa bango sana sasa cjui ni kusahaulisha watu mambo ya zanzibar au kuna ukweli wowote.
Ficha upumbavu wako we dada...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…