permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 11,682
- 14,241
Wakat anachukyliwa haya hayakujulkna? Hapo ndipo UNYANI ulipo
Inaonekana unapenda Sana kupenyezewa. Nipe na Mimi nikupenyezee basi.1. Zlatko amewakataa baadhi ya Wachezaji ambao Yanga SC imewaleta kwa Mbwembwe nchini na kudai hawana Uwezo
2. Zlatko amekataa Klabu ya Yanga Kuendekeza sana Ushirikina katika Mechi zake na kusema kuwa hakuzoea Upumbavu huo
3. Zlatko ameomba atafute Kocha Msaidizi kwakuwa ameona Kocha Juma Mwambusi hana mbinu za Kumsaidia
4. Zlatko hamtaki Kiungo Haruna Niyonzima akisema haendani na Kasi yake ila Uongozi unamlazimisha aendelee Kumpanga
5. Zlatko mara kwa mara amekuwa akiisifia Klabu ya Simba na kuutaka Uongozi uige Jinsi Simba SC inavyowajali Wachezaji wake
6. Zlatko amekataa Yanga SC kucheza Mechi za Kirafiki katikati ya Wiki huku Ligi ikiendelea kwa Kudai huo ni Ushamba wa Karne
7. Zlatko bila Uwoga kawaambia Viongozi kuwa atakachoweza kufanya akicheza na Simba Oktoba 18 ni Kupunguza tu Magoli ila Watafungwa
Kuna wale Watu wenye sijui 'Viblogu' na 'Vitovuti' vyenu mpaka na baadhi ya Vyombo vya Habari huwa mna tabia ya 'Kukopi' haya 'Mabandiko' yangu hapa na 'Kuyaweka' huko mkijifanya ni yenu na mmeyatafuta nyie. Chonde chonde leo 'mkiikopi' hii tafadhali tajeni 'Source' wenu kuwa ni GENTAMYCINE na Mtandao huu huu wa JamiiForums.
Suruhu = suluhuHii team bwana sijui lini watakuwa na akili wao wanajua kufukuza kocha ndio suruhu la mafiongo yao
Dogo mimi sio mzaramo mwenzakoSuruhu = suluhu
Cool, but kwa ujinga wenu mnadhani Yanga wameitwa "nyani" kutokana na rangi za jezi zao. Malofa hawatokwisha.Sio tu minyani pia aliwaita mi mbwa. Kaz yenu kubwekabweka tu
KisiwagaDogo mimi sio mzaramo mwenzako
Anaendelea na kazi yake safi ya ukibaka wa magari.A k a yake Ni KAKA JAMBAZIMorrison anaendeleaje huko??
Habari za kibarua chake kuota nyasi zilijulikana mapema sana,timu wananchi wa jangwani tunafeli wapi?1. Zlatko amewakataa baadhi ya Wachezaji ambao Yanga SC imewaleta kwa Mbwembwe nchini na kudai hawana Uwezo
2. Zlatko amekataa Klabu ya Yanga Kuendekeza sana Ushirikina katika Mechi zake na kusema kuwa hakuzoea Upumbavu huo
3. Zlatko ameomba atafute Kocha Msaidizi kwakuwa ameona Kocha Juma Mwambusi hana mbinu za Kumsaidia
4. Zlatko hamtaki Kiungo Haruna Niyonzima akisema haendani na Kasi yake ila Uongozi unamlazimisha aendelee Kumpanga
5. Zlatko mara kwa mara amekuwa akiisifia Klabu ya Simba na kuutaka Uongozi uige Jinsi Simba SC inavyowajali Wachezaji wake
6. Zlatko amekataa Yanga SC kucheza Mechi za Kirafiki katikati ya Wiki huku Ligi ikiendelea kwa Kudai huo ni Ushamba wa Karne
7. Zlatko bila Uwoga kawaambia Viongozi kuwa atakachoweza kufanya akicheza na Simba Oktoba 18 ni Kupunguza tu Magoli ila Watafungwa
Kuna wale Watu wenye sijui 'Viblogu' na 'Vitovuti' vyenu mpaka na baadhi ya Vyombo vya Habari huwa mna tabia ya 'Kukopi' haya 'Mabandiko' yangu hapa na 'Kuyaweka' huko mkijifanya ni yenu na mmeyatafuta nyie. Chonde chonde leo 'mkiikopi' hii tafadhali tajeni 'Source' wenu kuwa ni GENTAMYCINE na Mtandao huu huu wa JamiiForums.
Mchezaji yeyote wa kikosi cha kwanza cha Yanga akija Simba anaanzia benchi.Morrison anaendeleaje huko??
Hawa hapa watopoloEymael alimaliza kazi: "Uneducated Manyani FC"
ushabiki wa simba na yanga sasa umeshafiki kwenye kiwango cha juu cha upumbavu.
ushabiki wa simba na yanga sasa umeshafiki kwenye kiwango cha juu cha upumbavu.
ndio maana nikasema ushabiki wa simba na yanga umekuwa wa kipumbavu.... fikiria mtu mweusi anamwita mweusi mwenzake nyani.....imagine... huu ni upumbavu wa hali ya juu.......kisa mpira tu unafanya waafrika tunadhalilishana na kutukanana... huu ni upumbavu wa kiwango cha juu.Mtu mweusi kushangilia neno hilo ni ujuha ws hali ya juu. Hili ni tudi la kibaguzi kwa WATU WEUSI, kwa sababu ya umbumbumbu wako unadhani wametukanwa wanayanga tu. Hivyo kabisa
ndio maana wazungu wanatudharau sana. mzungu katukana waafrika wote, halafu kuna miafrika mipumbavu inasapoti, mambo mengine yanasikitisha sana.Mtu mweusi kushangilia neno hilo ni ujuha ws hali ya juu. Hili ni tudi la kibaguzi kwa WATU WEUSI, kwa sababu ya umbumbumbu wako unadhani wametukanwa wanayanga tu. Hivyo kabisa
Umejichanganya kwa Mwamnyeto....wakati anakuja Yanga hakuwa mchezaji wa Yanga...fikiri kabla ya kuandikaMchezaji yeyote wa kikosi cha kwanza cha Yanga akija Simba anaanzia benchi.
Ref. Niyonzima, Gadieli, Ajibu, Morrisoni, Kakolanya, Moro alishindwa majaribio Simba.
Nk.
Mwamnyeto alilijua hili akakimbilia Yanga mapema la naye angeanza na Benchi.
Au wewe mtaje yoyote aliyepo sasa hivi anayeweza kuanza kikosi cha kwanza cha Simba.
Ni kwamba hayupo.
Hizo rekodi ndio mmeziona baada ya kumpa kazi? Watopolo hata hamjielewiRekodi ya kocha inajieleza, mule hakuna kocha. Tunahitaji kocha mwenye mbinu nzuri za ushindi
Tumia akili, " coaches are hired in order to be fired"Hizo rekodi ndio mmeziona baada ya kumpa kazi? Watopolo hata hamjielewi