Sababu za ndani kabisa 'nilizopenyezewa' ambazo ndizo 'zimemfukuzisha' Kazi Kocha wa Yanga SC Zlatko ni hizi hapa....

Wazungu ndio huita blacks ni nyani, ukiona wewe ni black na unashabikia kauli za hivi jua kichwa hakikusaidii vizuri zaidi ya kubeba meno ya kutafuna chakula. Akina Eto, Balotteli walikuwa wanatupiwa ndizi kabisa.
Wakat anachukyliwa haya hayakujulkna? Hapo ndipo UNYANI ulipo
 
1. Zlatko amewakataa baadhi ya Wachezaji ambao Yanga SC imewaleta kwa Mbwembwe nchini na kudai hawana Uwezo
2. Zlatko amekataa Klabu ya Yanga Kuendekeza sana Ushirikina katika Mechi zake na kusema kuwa hakuzoea Upumbavu huo
3. Zlatko ameomba atafute Kocha Msaidizi kwakuwa ameona Kocha Juma Mwambusi hana mbinu za Kumsaidia
4. Zlatko hamtaki Kiungo Haruna Niyonzima akisema haendani na Kasi yake ila Uongozi unamlazimisha aendelee Kumpanga
5. Zlatko mara kwa mara amekuwa akiisifia Klabu ya Simba na kuutaka Uongozi uige Jinsi Simba SC inavyowajali Wachezaji wake
6. Zlatko amekataa Yanga SC kucheza Mechi za Kirafiki katikati ya Wiki huku Ligi ikiendelea kwa Kudai huo ni Ushamba wa Karne
7. Zlatko bila Uwoga kawaambia Viongozi kuwa atakachoweza kufanya akicheza na Simba Oktoba 18 ni Kupunguza tu Magoli ila Watafungwa

Kuna wale Watu wenye sijui 'Viblogu' na 'Vitovuti' vyenu mpaka na baadhi ya Vyombo vya Habari huwa mna tabia ya 'Kukopi' haya 'Mabandiko' yangu hapa na 'Kuyaweka' huko mkijifanya ni yenu na mmeyatafuta nyie. Chonde chonde leo 'mkiikopi' hii tafadhali tajeni 'Source' wenu kuwa ni GENTAMYCINE na Mtandao huu huu wa JamiiForums.
Inaonekana unapenda Sana kupenyezewa. Nipe na Mimi nikupenyezee basi.
 
Habari za kibarua chake kuota nyasi zilijulikana mapema sana,timu wananchi wa jangwani tunafeli wapi?
IMG-20200930-WA0010.jpeg
 
Morrison anaendeleaje huko??
Mchezaji yeyote wa kikosi cha kwanza cha Yanga akija Simba anaanzia benchi.
Ref. Niyonzima, Gadieli, Ajibu, Morrisoni, Kakolanya, Moro alishindwa majaribio Simba.
Nk.
Mwamnyeto alilijua hili akakimbilia Yanga mapema la naye angeanza na Benchi.
Au wewe mtaje yoyote aliyepo sasa hivi anayeweza kuanza kikosi cha kwanza cha Simba.
Ni kwamba hayupo.
 
Mtu mweusi kushangilia neno hilo ni ujuha ws hali ya juu. Hili ni tudi la kibaguzi kwa WATU WEUSI, kwa sababu ya umbumbumbu wako unadhani wametukanwa wanayanga tu. Hivyo kabisa
ndio maana nikasema ushabiki wa simba na yanga umekuwa wa kipumbavu.... fikiria mtu mweusi anamwita mweusi mwenzake nyani.....imagine... huu ni upumbavu wa hali ya juu.......kisa mpira tu unafanya waafrika tunadhalilishana na kutukanana... huu ni upumbavu wa kiwango cha juu.
 
Mtu mweusi kushangilia neno hilo ni ujuha ws hali ya juu. Hili ni tudi la kibaguzi kwa WATU WEUSI, kwa sababu ya umbumbumbu wako unadhani wametukanwa wanayanga tu. Hivyo kabisa
ndio maana wazungu wanatudharau sana. mzungu katukana waafrika wote, halafu kuna miafrika mipumbavu inasapoti, mambo mengine yanasikitisha sana.
 
Mchezaji yeyote wa kikosi cha kwanza cha Yanga akija Simba anaanzia benchi.
Ref. Niyonzima, Gadieli, Ajibu, Morrisoni, Kakolanya, Moro alishindwa majaribio Simba.
Nk.
Mwamnyeto alilijua hili akakimbilia Yanga mapema la naye angeanza na Benchi.
Au wewe mtaje yoyote aliyepo sasa hivi anayeweza kuanza kikosi cha kwanza cha Simba.
Ni kwamba hayupo.
Umejichanganya kwa Mwamnyeto....wakati anakuja Yanga hakuwa mchezaji wa Yanga...fikiri kabla ya kuandika
 
Back
Top Bottom