Sababu za Papa Fransis Kubariki Ndoa za Jinsia Moja

Siyo kweli. Kanisa Katoliki lina utajiri mkubwa sana kama Taasisi kuliko taasisi yeyote unayoifahamu duniani.

Matamko ya Pope Francis ni ya kwake binafsi na tafsiri zake zinapotoshwa na vyombo vya habari.

Maamuzi au mabadiliko ya Kanisa hufanywa na Vatican Vatican Council au Mtaguso Mkuu wa Vatican.

Mtaguso Mkuu wa pili na wa mwisho hadi leo ulifanyika mwaka 1959 wakati wa Pope John XXIII
 
Mkuu hivi unajua ulichokiandika?
 
Namsikiliza hapa dw Bab Methodius anamtetea kbsa Papa kuwa Yuko sahih na anabariki watu wote plbila kubaguwa
 
Acha kupotosha, Papa hajabariki ndoa za jinsia moja, ameruhusu kubariki wanaojihusisha sio kubariki mahusiano hayo, kama jinsi majambazi,wezi, mafisadi wanavyokaribishwa kanisani ili waokoke, ndivyo nao wanakaribishwa kanisani.
Uko sahih nimemsikia Happ baba Methodius kilaine akilifafanua Jambo Hilo kupitia dw ulichosema ni kile kile Cha baab Methodius
 
Najiuliza tu hivi ni nani mfadhili wa mambo haya ya ushoga? Na kwa faida gani mhusika anapata ili iweje kwa mfano.
 
Yeye anaangalia maslahi hana muda na ufirauni wenu kikubwa apate sadaka

Yani unataka kupata mambo mazuri (sadaka) kwa uovu. Anyway sishangai maana hata bongo benki yenu ya Mkombozi ilishatakatisha fedha
 
Kwahiyo kanisa linaendeshwa kwa fedha haramu. Okay nimeelewa
siyo kanisa tu. Hakuna mahali mtu anaenda kutoa sadaka, zaka, zawadi, msaada nk anaanza kuulizwa fedha hizi umezipata wapi au umezipataje. Wapokeaji hawana hatia
 
Sababu kubwa sii hiyo peke yake fikiri pia kuwa kuna dayosisi ya jimbo katoliki huko USA iliwahi filisika kwa kulipa fidia familia za watoto waliolawitiwa na mapadre.
Maana yake ni kwamba muunganiko wa mashoga na wengi wa mapadre ni obvious.

Sasa kama dume amepumuliwa na kasisi aliyejificha kwenye kichaka cha utumishi wa kanisa, kasisi huyo anapata wapi ujasiri wa kukataa kubariki wahanga wa ushoga uliosababishwa na wao?

Jumuia hizi za kitheologia zimeficha wasomi wengi walio wanachama wa freemason na kwa msingi huo ni wanakamati katika vikao vikuu vya maamuzi ndani ya dini hizi kubwa zinye ushawishi katika serikali nyingi duniani.

Haiingii akilini hata kwa zile akili za kawaida kubariki jambo ambalo unaamini linapaswa kutubiwa. Dhamira haiwezi kushtaki nafsi iliyoungwa mkono wa shirika na wakuu kwa baraka zote.
 
siyo kanisa tu. Hakuna mahali mtu anaenda kutoa sadaka, zaka, zawadi, msaada nk anaanza kuulizwa fedha hizi umezipata wapi au umezipataje. Wapokeaji hawana hatia
Utasemaje hawana hatia na tayari washawatambua na wanawakaribisha na kuwapa support.

Mtoto akienda kuiba pesa akakuletea ukapokea, kesho ataenda kuiba tena. Ila ukioneshwa kuchukizwa na kukataa kile anachokupa. Basi atajitafakari na huenda akabadilika.
 
Asante sana mkuu kwa reference nzuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…