Sababu za Papa Fransis Kubariki Ndoa za Jinsia Moja

Hizo taarifa ya kwamba wanaenda kuambiwa waendelee na maovu yao umezipata kijiwe gani
 
Kiongozi wa wakristo kashaunga mkono ushoga na ni ruksa kanisani , we upo kwenu huko kazulamimba unajidai unaujua ukristo kuliko papa
 
Ndugu tajiri hatosheki
 
Acha kupotosha, Papa hajabariki ndoa za jinsia moja, ameruhusu kubariki wanaojihusisha sio kubariki mahusiano hayo, kama jinsi majambazi,wezi, mafisadi wanavyokaribishwa kanisani ili waokoke, ndivyo nao wanakaribishwa kanisani.
Tofauti waizi, mafisadi hawajitangazi mimi ni mwizi.. tukubali tu hapa Papa kachemka vibaya sana. sasa hajabariki halafu unasema ameruhusu kubariki una maana gani? kama unafananisha na waizi na wengine wangekuja kanisani kimya kimya na kufanya ibada hayo ya huyu shoga au sio hakuna mtu angeongea. Ila hawa jamaa wanataka rasmi watambuliwe na Papa kachemka vibaya sana. Ukimjuwa huyu mtu mwizi utamwambia acha wizi, mafisadi wanyongwe sasa mashoga utawaambia nini? karibuni tu fanyeni tu shauri yenu.
 
Mi ndio maana haya mambo ya makanisa yenu nilishaachana nayo toka nilipokuwa na miaka 14. Uongo uongo tu.

Mtu anasimama mbele kutuhubiria anatudanganyaaa, unatuonaje bro! 😏🗑️🚮
 
Sasa unajuaje hili tamko lake binafsi au hili la RC, yeye kiongozi wa RC akitamka hakuna lake binafsi. Toka lini Rais wa nchi akiwa madarakani akasema hili langu binafsi hili la Rais. Papa aombe msamaha hili limeripotiwa dunia nzima kuwa kasema sasa atoke hadharani na kusema hapana ushoga kwetuni haramu kwa mujibu wa maandiko yetu ila shauri yako ukiwa unayafanya ila kwentu kanisani hayana nafasi. Haya ni maneno ya Mungu wetu na hayana mjadala.
 
Amna kitu hapa istoshe kusema papa kazingua kwa namna mojaa tu na wala sio nyingine..

Mimi nasema goodbye my church, imani imenisaliti.

Kwanza kuwazunguamzia tu mashoga na ushoga afu church la kitambo Kama lile ni jau sana

F@ck papa..
True, ni lazima kila siku azue taharuki? Hata kama kweli hajasema kanisa lifungishe ndoa za jinsia moja ni lazima kila siku yeye azungumzie haya mambo? Kichwani kwake ndio mambo aliyoyajaza hayo. ?

Mi nashangaa sana wanaomuunga mkono huyu mzee. Wakatoliki mko in denial, mnashindwa kumpinga papa 🤣🤣🤣🤣
 
Haya mambo yako katika dini zote watu wanafanya lakini hakuna dini wakaja hadharani na kusema yaah tunaruhusu sasa, eeh imekuwa kama katiba ya nchi tena? kama unafanya uwe muislamu, mkristo au dini yoyote ni yako huko chumbani lakini usiyalete ukataka jamii iyakubali au dini, hapana. Papa ni mtu anaongoza waumini wa RC, imani za RC zinajulikana wewe ni binadamu tu japo kuwa ni Papa, leo upo kesho haupo dini inaendelea hakuwa na haja ya kuleta hizi kauli za kijinga. Na kama wameposha hakusema hivyo basi vita vya wazayuni wameanza juu ya Papa kwa kuwa amewakosoa juzi kuuwa watoto inawezekana wameanza kumshambulia, nasema labda.
 
Mashoga hao hao yanatoa sadaka pia
Wazungu wanafirana na kusagana sana na wapo wanaoishi kama wapenzi na wamefunga ndoa

Katoliki wameamua ku-modernize kanisa lao kwa kusema wanawabariki mashoga na wasagaji, ili wasiwakwaze waumini wao ambao ni mashoga na wasagaji na pia kuwavutia mashoga na wasagaji wengine wajiunge na kanisa
 
Excellent Mr Right 👍
 
Acha kupotosha, Papa hajabariki ndoa za jinsia moja, ameruhusu kubariki wanaojihusisha sio kubariki mahusiano hayo, kama jinsi majambazi,wezi, mafisadi wanavyokaribishwa kanisani ili waokoke, ndivyo nao wanakaribishwa kanisani.
Una point mkuu wakusikilize
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…