Sababu za Simba kushinda Jumamosi ni hizi hapa. Yanga acheni Polimi Lai!!

Sawa
 
Nunio homeless kaona unaleta Polimi Lai. Hebu weka hayo majina wajuvi wayadadavue!!
Hamna mmoja kati yetu aliyethibitisha madai yake. Kwakuwa mimi nimepiga Polimi lai, yeye angeweka vikosi hivyo viwili, ili tuweke kumbukumbu sawa!
 
Wydad alifungwq na Rivers United kule Nigeria. Hilo unabidi ukumbuke

Kufungwa na Wydad kuna asilimia nyingi ila haimaanishi wao hawawezekaniki kufungwa.

Na ishu hapa ni kufuzu, anaweza akafungwa ila sio katika viwango vya kumfanya asifuzu.

So sisi ambition yetu ni kushinda kwanza hapa home, huko kwao tutamuachia Allah
 
Namba 5 hapo ndo main point Simba inacheza kitimu zaidi.
Simba atashinda hii mechi na atafuzu Inshallah.
 
Namba 3 sijakuelewa, umeitoa wapi hiyo
 
Kombe la walio feri hilo, hata ukinya uwanjani sawa, hakuna heshima huko, CAFCL ndio kombe mengine ni utapeli tu
Na ndilo kombe ambalo linaifanya Simba ionekane kalabu yenye mambo ya kishirikina zaidi Kwa Africa na Tanzania.

Ndilo kombe ambalo kupitia Simba watanzania tumeonekana watu washirikina zaidi katika ukanda huu wa Africa.

Ndilo kombe Lililo hitimisha zile tetesi za kuwa ikiwa inacheza uwanja wa nyumbani Simba inatumia mbinu chafu Ili kupata matokeo katika mpira wa miguu.

Ndilo kombe linalo ifanya Simba iogopwe na wapinzani wake Kwa Ushirikina zaidi kuliko uwezo wa uwanjani katika soka.
 

Game inaweza isha kwa sare ya magoli au lunyasi akashinda magoli kiduchu
Trust me lunyasi anakwenda kufia Stade Mohammed V
 
Game inaweza isha kwa sare ya magoli au lunyasi akashinda magoli kiduchu
Trust me lunyasi anakwenda kufia Stade Mohammed V
Kitakachowaokoa labda labda labda mvua.
 
Ni mechi ya robo fainali...punguza mahaba, pia Simba atafungwa zaidi ya goli 3....

Ikae hivyo.
 
Timu ilijiandaa na Wydad ghafla akakatiza nzi, akala kibano.
Wazee wa Polimi Lai, bado wanakariri, semaji la zama za mawe za kale lilishawaasa ila hawasikiii

Guvu Moya.
 
Ungeweka na Sababu ya Simba kufungwa na Raja na vipi ambavyo vimerekebishwa kutoka kwenye hizo sababu.
 
Hizo point mbili umejichanganya. Kwenye namba 1 haina hofu, lakini kwenye namba 4 ina deni la kuzuia kuabika!
Hilo deni ndilo litawatia hofu - ila naamini wanaweza kushinda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…