Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Simba Jumamosi saa 10 jioni itacheza mchezo wake wa Nusu Fainali dhidi ya Wydad. Simba itashinda mechi hiyo kwa sababu zifuatazo.
1. Simba haina cha kupoteza kwenye mechi hiyo kwa ivo itacheza kwa kila njia bila ya kuwa na hofu ya kufungwa.
2. Simba haina tena shinikizo kwenye Ligi ya ndani kwani kwa vyovyote vile mwakani tena itashiriki kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika.
3. Wachezaji wa Simba wengi sana sasa hivi wana dhamira ya dhati kabisa kupambana kwa ajili ya timu yao.
4. Kucheza uwanja wa Nyumbani kunawapa Simba deni la kuzuia kuaibika mbele ya Mashabiki wake.
5.Kocha wa Simba ameonekana kuwa na uwezo mkubwa sana wa kutumia mbinu kucheza kitimu kuliko kumtegemea mchezaji mmoja mmoja.
6. Simba ndiyo Klabu Pekee ya Soka Tanzania ambayo ina rekodi nzuri sana ya kuzishinda timu ngumu za Uarabuni kwenye wakati wa shinikizo. Kadri shinikizo linavyokuwa kubwa ndivyo simba inavyokuwa imara zaidi kupambana na timu toka Afrika ya Kaskazini.
Maneno meengi! Dakika 90 ndizo zitakazo amua mchezo. Relax bro.Simba Jumamosi saa 10 jioni itacheza mchezo wake wa Nusu Fainali dhidi ya Wydad. Simba itashinda mechi hiyo kwa sababu zifuatazo.
1. Simba haina cha kupoteza kwenye mechi hiyo kwa ivo itacheza kwa kila njia bila ya kuwa na hofu ya kufungwa.
2. Simba haina tena shinikizo kwenye Ligi ya ndani kwani kwa vyovyote vile mwakani tena itashiriki kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika.
3. Wachezaji wa Simba wengi sana sasa hivi wana dhamira ya dhati kabisa kupambana kwa ajili ya timu yao.
4. Kucheza uwanja wa Nyumbani kunawapa Simba deni la kuzuia kuaibika mbele ya Mashabiki wake.
5.Kocha wa Simba ameonekana kuwa na uwezo mkubwa sana wa kutumia mbinu kucheza kitimu kuliko kumtegemea mchezaji mmoja mmoja.
6. Simba ndiyo Klabu Pekee ya Soka Tanzania ambayo ina rekodi nzuri sana ya kuzishinda timu ngumu za Uarabuni kwenye wakati wa shinikizo. Kadri shinikizo linavyokuwa kubwa ndivyo simba inavyokuwa imara zaidi kupambana na timu toka Afrika ya Kaskazini.
Wachezaji wake tisa wamecheza nusu fainali ya WC.Ni Wydad unayoizungumzia hapa lakini! Wachezaji wake tisa wamecheza nusu fainali ya WC.
Timu iliyofika 5 bora klabu bingwa dunia.
Mi nadhani historia ina nguvu kati ya timu zinazolingana au kukaribiana uwezo, sio kwa Wydad na Simba.
Simba haina deni msimu huu, kila la kheri.
Ila hata kuwa na watatu ni big deal kwa hiyo hoja yake ni kama bado iko pale pale.Wachezaji wake tisa wamecheza nusu fainali ya WC.
Naomba unionyeshe hao tisa. Hao waliopo walipata nafasi ya kuanza kucheza?????????????
Morocco World Cup 2022 squad: The final 26-man team
- GK: Yassine Bounou (Sevilla)
- GK: Munir El Kajoui (Al Wehda)
- GK: Ahmed Reda Tagnaouti (Wydad Casablanca)
- DF: Nayef Aguerd (West Ham United)
- DF: Yahia Attiat Allah (Wydad Casablanca)
- DF: Badr Benoun (Qatar SC)
- DF: Achraf Dari (Stade Brest)
- DF: Jawad El Yamiq (Real Valladolid)
- DF: Achraf Hakimi (Paris Saint-Germain)
- DF: Noussair Mazraoui (Bayern Munich)
- DF: Romain Saiss (Besiktas)
- MF: Sofyan Amrabat (Fiorentina)
- MF: Selim Amallah (Standard Liege)
- MF: Bilal El Khannouss (Racing Genk)
- MF: Yahya Jabrane (Wydad Casablanca)
- MF: Azzedine Ounahi (Angers)
- MF: Abdelhamid Sabiri (Sampdoria)
- FW: Zakaria Aboukhlal (Toulouse)
- FW: Soufiane Boufal (Angers)
- FW: Ilias Chair (Queens Park Rangers)
- FW: Walid Cheddira (Bari)
- FW: Youssef En-Nesyri (Sevilla)
- FW: Abde Ezzalzouli (Osasuna)
- FW: Abderrazak Hamdallah (Al Ittihad)
- FW: Amine Harit (Olympique Marseille)
- FW: Hakim Ziyech (Chelsea)
Hii co WCHawajacheza acha uongo weka kikosi cha morroco World Cup ambacho kina wachezaji tisa wa wydad