Sababu zilizonifanya niiamini Quran juu ya biblia

Mcqueenen

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
6,843
Reaction score
11,702
Sayansi ni somo kuhusu ulimwengu ulivyo na unavyofanya kazi, kwahyo ningetarajia mungu aliyeuumba ulimwengu ndio awe baba wa sayansi.
Na kitabu chake kiwe kimejaa sayansi za kutosha.
Mimi kama mfuasi wa sayansi nikaanza kufuatilia sayansi kwenye vitabu vya dini. nilipoanza kufuatilia s Quran na Biblia., nikagundua Quran ndio imeonesha upeo mkubwa zaidi wa sayansi.

Quran inajulikana kuwa na maelezo ambayo yanalingana na masomo ya kisayansi katika maeneo mengi, hizi ni chache:

1. Uumbaji wa ulimwengu: Quran inazungumzia kuhusu uumbaji wa ulimwengu na asili yake. Aya kadhaa zinataja kuwa ulimwengu ulianza kwa mlipuko mkubwa (Big Bang) na inaelezea kuenea kwake na kuunda vitu vyote.

2. Uumbaji wa binadamu: Quran inatoa maelezo ya kina kuhusu maendeleo ya mwanadamu katika tumbo la uzazi. Inaelezea hatua za uumbaji wa kijusi na maendeleo yake kutoka damu iliyoganda hadi mtoto aliyeumbika kabisa.

3. Maji kama chanzo cha uhai: Quran inasisitiza umuhimu wa maji kwa uhai. Inaeleza kuwa Mwenyezi Mungu ndiye aliyeviumba visima vya maji na inatoa maelezo juu ya mzunguko wa maji duniani.

4. Sayansi ya astronomia: Quran inazungumzia mada za anga na nyota. Inaeleza kuwa nyota zina jukumu la kuongoza na kuelekeza katika njia, na inataja pia kuwepo kwa sayari na mzunguko wao.

5. Sayansi ya jiografia: Quran inazungumzia ardhi na milima. Inaeleza kuwa Mwenyezi Mungu ameifanya ardhi kuwa imara ili watu waweze kuishi juu yake, na inataja pia kuwepo kwa milima kama alama za ardhi.

Hizo ni baadhi tu ila zipo nyingi mno...hizi ndiyo zilinofanya niamini kweli Allah ndiye Mung aliyeumba ulimwengu na Muhamad ndiye mtume wake.

Nadiriki kusema La illah ila Allah Muhammad rasul Allah
Takbir.
 
Hakuna sayansi yoyote hapo zaidi ya kujitekenya.
Hiyo mistari umejaribu kuelezea ni sayansi ya zamani.

Halafu kuna kitu inabidi ufahamu.
Siyo kwamba miaka hiyo watu hawakujua kabisa sayansi. Sayansi ilikuwepo japo ilikuwa ni duni. Habari ya uzazi ilikiwa inaeleweka, kuhusu nyota (mamajuso) watu walikuwa wanajua...
Na kama ni kweli huyo Allah na sifa alizonazo, asingeshindwa kujua umbo la dunia,
Huyo Allah mjuzi wa yote asingeshindwa kujua movement ya dunia kuzunguka jua.

Hapo mbona alifyata?
Alifyata kwasababu ndiyo ilikiwa sayansi ya kale iliyotengenezwa na wanafalsafa kama Aristotle.

Kwahyo, sayansi ilikuwepo, issue ya kujua uzazi kumbuka wakunha walikuwepo. Huyo Muhammad alikuwepo tena miaka iliyoenda sana.

Kwahyo hakuna Allah wala nini kwenye reality.
Zaidi ni utaunganisha vidoti tu vya ile sayansi ya kale alivyovitumia kuandika quran.

Jiulize kwanini aligail kwenye shape ya dunia.
 
Hakuna sayansi yoyote hapo zaidi ya kujitekenya.
Hiyo mistari umejaribu kuelezea ni sayansi ya zamani.
Weka ushahidi kuwa hayo yalijulikana kabla Quran...Bigbang imekuja kugundulika miaka ya kuzi tu na James hubble miaka ya 90s
Halafu kuna kitu inabidi ufahamu.
Siyo kwamba miaka hiyo watu hawakujua kabisa sayansi. Sayansi ilikuwepo japo ilikuwa ni duni. Habari ya uzazi ilikiwa inaeleweka, kuhusu nyota (mamajuso) watu walikuwa wanajua...
Sawa ila kipindi hiko Hakuna mtu aliyewahi kuelezea step za reproduction kinagaubaga kama Quran...wewe ukiwa mkunga ndio utajua jinsi yai linavyoungana na mbegu na mtoto anavyoumbika? Ukiwa mkunga ndio utaona jinsi nyama na mifupa kwa mtoto tumboni vinavyojitengeneza step by step?
Na kama ni kweli huyo Allah na sifa alizonazo, asingeshindwa kujua umbo la dunia,
Huyo Allah mjuzi wa yote asingeshindwa kujua movement ya dunia kuzunguka jua.
Hayo yote Allah aliyajua na Quran imeyaeleza...Quran inasea Dunia ina umbo la yai na pia inesema dunia inaelea hewani watu hawakujua haya
Hapo mbona alifyata?
Alifyata kwasababu ndiyo ilikiwa sayansi ya kale iliyotengenezwa na wanafalsafa kama Aristotle.
Aristotle hakuwa hata na robo ya ujuzi wa Quran.
 
Madai yako yote ni batili, embu weka hiyo mistari ili nijue kweli unayoyasema. Weka hiyo mistari tuisome hapa anzia namba moja.
Weka ushahidi kuwa hayo yalijulikana kabla Quran...Bigbang imekuja kugundulika miaka ya kuzi tu na James hubble miaka ya 90s
Lete hapa huo mstari wenye kusema ilikuwa ni bigbang. Leta hapa tuzicompare kama zinaweza hata kufanana.
Najua ni uongo Usihubiri quote mstari.
Sawa ila kipindi hiko Hakuna mtu aliyewahi kuelezea step za reproduction kinagaubaga kama Quran...wewe ukiwa mkunga ndio utajua jinsi yai linavyoungana na mbegu na mtoto anavyoumbika? Ukiwa mkunga ndio utaona jinsi nyama na mifupa kwa mtoto tumboni vinavyojitengeneza step by step?
Wewe jamaa unazingua, unataka kisema hadi mwaka 600 kuhusu shahawa na mwanamke mbegu ilikuwa haijulikani? Hadi alipokuja Mohammed ndo akawapa hyo science?

Mkuu hiyo kitu usijidanganye, hyo inajulilana hata kabla ya yesu yaani before common era (BCE) usidhani kuwa kabla ya hapo hakukuwa na watu wenye akili. Kumbuka akina archmedes na Pythagoras wameishi before common era.

Kwenye hoja hii hii ukiweka quote hapa jinsi alivyoandika huyo Muhammad utaona alikuwa ni mbabaishaji na alikuwa na ile science ya kale.
Usiwe brainwashed kias hiki.
Hayo yote Allah aliyajua na Quran imeyaeleza...Quran inasea Dunia ina umbo la yai na pia inesema dunia inaelea hewani watu hawakujua haya
Kwenye hili leta huo mstari watu wauome. Lete hilo andiko lenye kusema dunia ni kama yai.

Japo dunia haina umbo kama la yai.
Leta mstari tuusome humu.
Aristotle hakuwa hata na robo ya ujuzi wa Quran.
Mkuu, Aristotle huyo ndiye mwenye mawazo ya Flat earth, huyo Mohhamad wako jua kuwa alicopy idea za hao akina Aristotle, unanielewa?
 
Weekend na mada Kama hizi mbona tunaleteana usiku jamani
 
Madai yako yote ni batili, embu weka hiyo mistari ili nijue kweli unayoyasema. Weka hiyo mistari tuisome hapa anzia namba moja.

Lete hapa huo mstari wenye kusema ilikuwa ni bigbang. Leta hapa tuzicompare kama zinaweza hata kufanana.
Najua ni uongo Usihubiri quote mstari.

Wewe jamaa unazingua, unataka kisema hadi mwaka 600 kuhusu shahawa na mwanamke mbegu ilikuwa haijulikani? Hadi alipokuja Mohammed ndo akawapa hyo science?

Mkuu hiyo kitu usijidanganye, hyo inajulilana hata kabla ya yesu yaani before common era (BCE) usidhani kuwa kabla ya hapo hakukuwa na watu wenye akili. Kumbuka akina archmedes na Pythagoras wameishi before common era.

Kwenye hoja hii hii ukiweka quote hapa jinsi alivyoandika huyo Muhammad utaona alikuwa ni mbabaishaji na alikuwa na ile science ya kale.
Usiwe brainwashed kias hiki.

Kwenye hili leta huo mstari watu wauome. Lete hilo andiko lenye kusema dunia ni kama yai.

Japo dunia haina umbo kama la yai.
Leta mstari tuusome humu.

Mkuu, Aristotle huyo ndiye mwenye mawazo ya Flat earth, huyo Mohhamad wako jua kuwa alicopy idea za hao akina Aristotle, unanielewa?
 
Lete hapa huo mstari wenye kusema ilikuwa ni bigbang. Leta hapa tuzicompare kama zinaweza hata kufanana.
Najua ni uongo Usihubiri quote mstari.
Quran tukufu 21:30 Je! Hao walio kufuru hawakuona kwamba mbingu na ardhi zilikuwa zimeambatana, kisha Sisi tukazibabandua? Na tukajaalia kwa maji kila kilicho hai? Basi je, hawaamini?

Hapo kuna bigbang na maelezo ya origin of life from water according to recent biological discoveries.
Wewe jamaa unazingua, unataka kisema hadi mwaka 600 kuhusu shahawa na mwanamke mbegu ilikuwa haijulikani? Hadi alipokuja Mohammed ndo akawapa hyo science?
Shahawa ilijulikana lakini zile steps za reproduction..yani shahawa ikshaingiq nini kinaendelea, mtoto anaumbikaje,mifupa inakujaje na nyama inaumbikaje...Hayo hayakujulikana before Quran..hakuna ushahidi wa hilo.
Mkuu hiyo kitu usijidanganye, hyo inajulilana hata kabla ya yesu yaani before common era (BCE) usidhani kuwa kabla ya hapo hakukuwa na watu wenye akili. Kumbuka akina archmedes na Pythagoras wameishi before common era.
Weka Evidence kuwa embryology, yani steps za fertilization na featus formation zilijulikana before 600AD
Kwenye hoja hii hii ukiweka quote hapa jinsi alivyoandika huyo Muhammad utaona alikuwa ni mbabaishaji na alikuwa na ile science ya kale.
Usiwe brainwashed kias hiki.
“ We have fashioned the thing which clings into a chewed lump of flesh and We fashioned the chewed lump of flesh into bones then We clothed the bones with intact flesh “ (23:14)

Hiyo “something which clings” ni fertilised egg which clings to the wall of the womb.

If you take a piece of meat and chew it once and then take it out of your mouth and look at it, it will look exactly to what the embryo will look like after three weeks of development. This has been shown by a renowned professor of embryology by the name of Keith L.Moore and is shown in his book entitled “The Developing Human” (3rd edition).

On the sixth week of development, the bone structure begins to develop inside the embryo or the “chewed lump of flesh” as the Qur'an calls it. This is called the mesenchyma. Haya yote hayakujulikana 600AD
Kwenye hili leta huo mstari watu wauome. Lete hilo andiko lenye kusema dunia ni kama yai.

Japo dunia haina umbo kama la yai.
Leta mstari tuusome humu.
Quran 79:30 Na juu ya hivyo ameitandaza ardhi.
Hapo ukifuatilia kiarabu kilichotumika (daha) kinamzizi wa neno yai.
Kwahyo Allah alikuwa anaielezea dunia kama Yai.
na yai usichukulie la kuku,kuna yai la mbuni pia linakaribiana na shape ya dunia
download.jpeg

Mkuu, Aristotle huyo ndiye mwenye mawazo ya Flat earth, huyo Mohhamad wako jua kuwa alicopy idea za hao akina Aristotle, unanielewa?
Muhamad hajacopy Idea za Aristotle..Muhamad hakujua kusoma wala kuandika angekopije mtu asiyeweza kumsoma???
Allah alimfunulia Muhamad sayansi ambayo hata Aristotle hakuijua.
 
leta huo mstari kwenye quran ambao mimi siujui unaosema dunia ni sphere ili nkubali madai yako,
failure to do so.. Utakuwa muongo, na dini yako nitaiconclude kuwa ya uongo.

Hakuna kuhubiri leta quote hapa nicheki
 
Quran tukufu 21:30 Je! Hao walio kufuru hawakuona kwamba mbingu na ardhi zilikuwa zimeambatana, kisha Sisi tukazibabandua? Na tukajaalia kwa maji kila kilicho hai? Basi je, hawaamini?

Hapo kuna bigbang na maelezo ya origin of life from water according to recent biological discoveries.

Shahawa ilijulikana lakini zile steps za reproduction..yani shahawa ikshaingiq nini kinaendelea, mtoto anaumbikaje,mifupa inakujaje na nyama inaumbikaje...Hayo hayakujulikana before Quran..hakuna ushahidi wa hilo.

Weka Evidence kuwa embryology, yani steps za fertilization na featus formation zilijulikana before 600AD

“ We have fashioned the thing which clings into a chewed lump of flesh and We fashioned the chewed lump of flesh into bones then We clothed the bones with intact flesh “ (23:14)

Hiyo “something which clings” ni fertilised egg which clings to the wall of the womb.

If you take a piece of meat and chew it once and then take it out of your mouth and look at it, it will look exactly to what the embryo will look like after three weeks of development. This has been shown by a renowned professor of embryology by the name of Keith L.Moore and is shown in his book entitled “The Developing Human” (3rd edition).

On the sixth week of development, the bone structure begins to develop inside the embryo or the “chewed lump of flesh” as the Qur'an calls it. This is called the mesenchyma. Haya yote hayakujulikana 600AD

Quran 79:30 Na juu ya hivyo ameitandaza ardhi.
Hapo ukifuatilia kiarabu kilichotumika (daha) kinamzizi wa neno yai.
Kwahyo Allah alikuwa anaielezea dunia kama Yai.
na yai usichukulie la kuku,kuna yai la mbuni pia linakaribiana na shape ya duniaView attachment 2660607

Muhamad hajacopy Idea za Aristotle..Muhamad hakujua kusoma wala kuandika angekopije mtu asiyeweza kumsoma???
Allah alimfunulia Muhamad sayansi ambayo hata Aristotle hakuijua.
Upuuzi mtupu
 
Sayansi ni somo kuhusu ulimwengu ulivyo na unavyofanya kazi, kwahyo ningetarajia mungu aliyeuumba ulimwengu ndio awe baba wa sayansi.
Na kitabu chake kiwe kimejaa sayansi za kutosha.
Mimi kama mfuasi wa sayansi nikaanza kufuatilia sayansi kwenye vitabu vya dini. nilipoanza kufuatilia s Quran na Biblia., nikagundua Quran ndio imeonesha upeo mkubwa zaidi wa sayansi.

Quran inajulikana kuwa na maelezo ambayo yanalingana na masomo ya kisayansi katika maeneo mengi, hizi ni chache:

1. Uumbaji wa ulimwengu: Quran inazungumzia kuhusu uumbaji wa ulimwengu na asili yake. Aya kadhaa zinataja kuwa ulimwengu ulianza kwa mlipuko mkubwa (Big Bang) na inaelezea kuenea kwake na kuunda vitu vyote.

2. Uumbaji wa binadamu: Quran inatoa maelezo ya kina kuhusu maendeleo ya mwanadamu katika tumbo la uzazi. Inaelezea hatua za uumbaji wa kijusi na maendeleo yake kutoka damu iliyoganda hadi mtoto aliyeumbika kabisa.

3. Maji kama chanzo cha uhai: Quran inasisitiza umuhimu wa maji kwa uhai. Inaeleza kuwa Mwenyezi Mungu ndiye aliyeviumba visima vya maji na inatoa maelezo juu ya mzunguko wa maji duniani.

4. Sayansi ya astronomia: Quran inazungumzia mada za anga na nyota. Inaeleza kuwa nyota zina jukumu la kuongoza na kuelekeza katika njia, na inataja pia kuwepo kwa sayari na mzunguko wao.

5. Sayansi ya jiografia: Quran inazungumzia ardhi na milima. Inaeleza kuwa Mwenyezi Mungu ameifanya ardhi kuwa imara ili watu waweze kuishi juu yake, na inataja pia kuwepo kwa milima kama alama za ardhi.

Hizo ni baadhi tu ila zipo nyingi mno...hizi ndiyo zilinofanya niamini kweli Allah ndiye Mung aliyeumba ulimwengu na Muhamad ndiye mtume wake.

Nadiriki kusema La illah ila Allah Muhammad rasul Allah
Takbir.
Allah is great
 
Hapo kwenye red ni kichekesho... Hapo kwenye kutoka Shahawa kugeuka Mapande ya damu ni ujinga hamna sayansi and pia Damu ikishageuka kama pande basi hiyo ni damu iliyoganda ni sawa na damu mfu so Allah ni muongo hamna sayansi anayojua... kisha mifupa anaifunika na nyama yaani no moyo no chochote mtoto anakuja zaliwa... Darasani wewe abdul ushafail.

23:14
Kisha tukaifanya manii kuwa pande la damu, kisha tukaliumba pande la damu kuwa pande la nyama, kisha tukaliumba kiinitete kutokana na mfupa, kisha tukaivisha mifupa ya nyama, kisha tukamuumba kuwa ni kiumbe kingine. Ametukuka Mwenyezi Mungu Mbora wa waumbaji
Kuiita best katika waumbaji it mean Kuna another Creator ndo maana anajivunia sifa enh?

23:14
then We developed the drop into a clinging clot ˹of blood˺, then developed the clot into a lump ˹of flesh˺, then developed the lump into bones, then clothed the bones with flesh, then We brought it into being as a new creation.1 So Blessed is Allah, the Best of Creators.

ثُمَّ خَلَقْنَا ٱلنُّطْفَةَ عَلَقَةًۭ فَخَلَقْنَا ٱلْعَلَقَةَ مُضْغَةًۭ فَخَلَقْنَا ٱلْمُضْغَةَ عِظَـٰمًۭا فَكَسَوْنَا ٱلْعِظَـٰمَ لَحْمًۭا ثُمَّ أَنشَأْنَـٰهُ خَلْقًا ءَاخَرَ ۚ فَتَبَارَكَ ٱللَّهُ أَحْسَنُ ٱلْخَـٰلِقِينَ ١٤

22:5 Enyi watu, ikiwa nyinyi mna shaka ya kufufuliwa, basi nimekuumbeni kutokana na udongo, kisha kwa tone la manii, kisha kwa pande la pande la damu, kisha kutokana na kiinitete kilichoumbwa au kisicho na sura, ili tukubainishieni na turuzuku. Tutakalo matumboni mwa matumboni mpaka muda uliowekwa, kisha tutawatoa nyinyi kama watoto wachanga, kisha mtawafikia walio pema katika nyinyi, na baadhi yenu watauawa, na baadhi yenu watarejeshwa Umri mdogo sana, ili asije akajifunza kwetu baada ya kujua chochote, na unaiona ardhi imeharibika, na tulipoiteremsha maji ilitikisika.

يَـٰٓأَيُّهَا ٱلنَّاسُ إِن كُنتُمْ فِى رَيْبٍۢ مِّنَ ٱلْبَعْثِ فَإِنَّا خَلَقْنَـٰكُم مِّن تُرَابٍۢ ثُمَّ مِن نُّطْفَةٍۢ ثُمَّ مِنْ عَلَقَةٍۢ ثُمَّ مِن مُّضْغَةٍۢ مُّخَلَّقَةٍۢ وَغَيْرِ مُخَلَّقَةٍۢ لِّنُبَيِّنَ لَكُمْ ۚ وَنُقِرُّ فِى ٱلْأَرْحَامِ مَا نَشَآءُ إِلَىٰٓ أَجَلٍۢ مُّسَمًّۭى ثُمَّ نُخْرِجُكُمْ طِفْلًۭا ثُمَّ لِتَبْلُغُوٓا۟ أَشُدَّكُمْ ۖ وَمِنكُم مَّن يُتَوَفَّىٰ وَمِنكُم مَّن يُرَدُّ إِلَىٰٓ أَرْذَلِ ٱلْعُمُرِ لِكَيْلَا يَعْلَمَ مِنۢ بَعْدِ عِلْمٍۢ شَيْـًۭٔا ۚ وَتَرَى ٱلْأَرْضَ هَامِدَةًۭ فَإِذَآ أَنزَلْنَا عَلَيْهَا ٱلْمَآءَ ٱهْتَزَّتْ وَرَبَتْ وَأَنۢبَتَتْ مِن كُلِّ زَوْجٍۭ بَهِيجٍۢ ٥

O humanity! If you are in doubt about the Resurrection, then ˹know that˺ We did create you1 from dust, then from a sperm-drop,2 then ˹developed you into˺ a clinging clot ˹of blood˺,3 then a lump of flesh4—fully formed or unformed5—in order to demonstrate ˹Our power˺ to you. ˹Then˺ We settle whatever ˹embryo˺ We will in the womb for an appointed term, then bring you forth as infants, so that you may reach your prime. Some of you ˹may˺ die ˹young˺, while others are left to reach the most feeble stage of life so that they may know nothing after having known much. And you see the earth lifeless, but as soon as We send down rain upon it, it begins to stir ˹to life˺ and swell, producing every type of pleasant plant.

16:4 He created humans from a sperm-drop, then—behold!—they openly challenge ˹Him˺.
16:4 Amewaumba watu kutokana na tone la manii, basi tazama, wanampinga waziwazi.

18:37 His ˹believing˺ companion replied, while conversing with him, “Do you disbelieve in the One Who created you from dust,1 then ˹developed you˺ from a sperm-drop, then formed you into a man?

18:37 Mwenzake Muumini akamjibu alipokuwa anazungumza naye: “Je, unamkufuru aliyekuumbeni kutokana na udongo, kisha akakutoeni kutokana na manii, kisha akakufanya mtu?

Contradicted Aya nyingine aliandika Binadamu alimuumba kwa kusema iwe na ikawa and huku anajidai kuunga unga kwa Udongo... Aya ilisema mkiona Koran ina aya ambazo haziendani basi mjue haijatoka kwa al lah
 
Sayansi ni somo kuhusu ulimwengu ulivyo na unavyofanya kazi, kwahyo ningetarajia mungu aliyeuumba ulimwengu ndio awe baba wa sayansi.
Na kitabu chake kiwe kimejaa sayansi za kutosha.
Mimi kama mfuasi wa sayansi nikaanza kufuatilia sayansi kwenye vitabu vya dini. nilipoanza kufuatilia s Quran na Biblia., nikagundua Quran ndio imeonesha upeo mkubwa zaidi wa sayansi.

Quran inajulikana kuwa na maelezo ambayo yanalingana na masomo ya kisayansi katika maeneo mengi, hizi ni chache:

1. Uumbaji wa ulimwengu: Quran inazungumzia kuhusu uumbaji wa ulimwengu na asili yake. Aya kadhaa zinataja kuwa ulimwengu ulianza kwa mlipuko mkubwa (Big Bang) na inaelezea kuenea kwake na kuunda vitu vyote.

2. Uumbaji wa binadamu: Quran inatoa maelezo ya kina kuhusu maendeleo ya mwanadamu katika tumbo la uzazi. Inaelezea hatua za uumbaji wa kijusi na maendeleo yake kutoka damu iliyoganda hadi mtoto aliyeumbika kabisa.

3. Maji kama chanzo cha uhai: Quran inasisitiza umuhimu wa maji kwa uhai. Inaeleza kuwa Mwenyezi Mungu ndiye aliyeviumba visima vya maji na inatoa maelezo juu ya mzunguko wa maji duniani.

4. Sayansi ya astronomia: Quran inazungumzia mada za anga na nyota. Inaeleza kuwa nyota zina jukumu la kuongoza na kuelekeza katika njia, na inataja pia kuwepo kwa sayari na mzunguko wao.

5. Sayansi ya jiografia: Quran inazungumzia ardhi na milima. Inaeleza kuwa Mwenyezi Mungu ameifanya ardhi kuwa imara ili watu waweze kuishi juu yake, na inataja pia kuwepo kwa milima kama alama za ardhi.

Hizo ni baadhi tu ila zipo nyingi mno...hizi ndiyo zilinofanya niamini kweli Allah ndiye Mung aliyeumba ulimwengu na Muhamad ndiye mtume wake.

Nadiriki kusema La illah ila Allah Muhammad rasul Allah
Takbir.
quran inasema jua linazama matopeni.hapo hukufika au umeiacha kwa bahati mbaya?
 
Back
Top Bottom