Artifact Collector
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 6,617
- 10,205
Waislamu anzisheni basi hata forum yenu sababu hii aliyeanzisha ni mkristoUngejua sayansi zote na mahesabu vimeanzishwa na waislam usingesema Hivyo.
Baba wa Sayansi(scientific method) ni muislam anaitwa Ibn al haytham ambaye kina Galileo na Newton ndo Walikuja kutembelea njia zake