mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 31,415
- 38,761
ndio uhalisia huu.Qurani 86:7 -
Yatokayo baina ya mifupa ya mgongo na mbavu.
First:
ukikubali kuwa kweli Seminal vesicles ipo jirani na Sacrum ambao ni uti wa mgongo
so??Maelezo yako ni haya post no 185
""mifupa iliyo jirani na seminal vesicles ni,pelvic bones(left & right) na sacrum(kiguku)""
kwa mujibu wa Allah na Quran yako.Second
Ikabaki kuzitafuta mbavu
hili swala halipo,tumia Quran kufunga tu huku kwenye biology Allah atabaki bila nguo.Nikakuambia weka ushahidi wako kama seminal vesicles haipo baina ya mifupa ya uti wa mgongo na mbavu
sasa wapi hujaelewa!!!Ukaweka ushahidi hu post no 207
ushahidi nilio nao ni huu hapa chini.
kwa case ya kuelezea kwa kutumia mifupa,seminal vesicles zinazungukwa na mfupa wa miisho ya uti wa mgongo na mifupa ya nyonga.mfupa wa mbavu haupo kabisa kwenye maelezo hapo.
wewe ulisema,sababu unatumia Quran kama rejea yako,wakati Quran hakuna kitu cha maana imeandika.Mimi nikakuambia umetoa ushahidi wa uongo Kwa sababu
narudia tena uwe unasoma kwa ajili ya kuelewa sio unasoma ili ukariri kama Quran hiyo ni mbaya kwa afya ya akili yako,maelezo kwamba Seminal vesicle inazungukwa na mfupa wa miisho ya mgongo pamoja na Mfupa wa nyonga ni ambatanifu,hayaishii kwenye uti wa mgongo peke yake.Unasema serminal vesicles inazungukwa na mifupa ya uti wa mgongo sio kweli
kwamba seminal vesicle iko katikati ya aina mbili za mifupa,unabisha kwasababu umeshiba na huna kazi ya kufanya sasa hivi sio kwa sababu ulichoandikiwa hakieleweki.
😅😅umesahau kwamba ni wewe uliandika kiguku kina shepu ya kiganja!!!akili unatumia kusikia njaa peke yake,kumbu kumbu umeiachia simu.Hakuna sehemu yoyote ya uti wa mgongo yenye uwazi wa kuhifadhi organ
2sec earlier hapo juu umesema uti wa mgongo hauna uwazi,kama nilivyokuandikia ni kwamba unabisha sababu umeshiba sio kwamba hakina ukweli ulichoakisoma.Huo mfupa wa Sacrum shape yake ni kama kiganja Cha mkono na upo Kwa nyuma huku mbele pako wazi na ndio Kuna organ kama blaader na hizo grand tena serminal vesicles ipo Kwa juu kabisa ya usawa wa mfupa wa Sacrum
umeanza kuelewa sasa,soon utamuelekeza na Allah,kwamba baada ya uti wa mgongo seminal vesicle haitazamani na mbavu ya aina yoyote labda mbavu ya mbwa😂😂😂Na mfupa wa nyonga upo kama bakuli huku mbele pako wazi na pia zumejaa Organ mbali mbali
vyema sana,kwahiyo huu mfupa wa mbavu tunautoa wapi katka uwazi huu uliukiri kwamba upo!!!Hivyo basi sehemu ya mbele ya nyonga na Sacrum ipo wazi hakuna mfupa wowote zimejaa organ tupu pamoja na hiyo serminal vesicles
ni kuzunguka huko,ungekuwa na idea namba gani vita zinapiganwa ungeelewa kuzunguka kitu kwa 180* ni kukizunguka pia.Narudia tena sehemu ya mbele ipo wazi kabisa hiyo mifupa ya uti wa mgongo upo nyuma na mfupa wa nyonga upo nyuma na pembeni
kama utaweka kijiti wapi??cha nini hicho kijiti??unakiweka kwa lengo lipi hasa???Kama utaweka kijiti hapo kitatoka katika mbavu kitatoboa serminal vesicles na kuenda kugota katika uti wa mgongo
huu ni uongo mweupe,wacha kutafuta pepo ya 72 bikras kwa kusakafia uongo.Ndio maana Qurani ikasema Seminal vesicles ipo kati ya mifupa ya mbavu na mifupa ya uti wa mgongo
naifahami vyema kuliko Allah mungu wako,ndio maana niliposoma hiyo aya nikaona huyu Allah ni kiazi kabisa.Nikakuwekea na picha kukuonyesha
Sehemu ya mbele ya Sacrum hakuna mfupa pako wazi Kuna organ tupu
labda kuna mfupa wa mbavu wewe umeuona.sio organi peke yake.Nikakuwekea picha kukuonyesha sehemu ya nyonga ya mbele ipo wazi pia Kuna organ tupu
ukasahau kuweka mfupa wa mbavu.Nikakuwekea picha inayoonyesha hizo organ zilizopo hapo mbele ya Sacrum na nyonga
mwalimu wetu umefeli kudhibitisha pasi na shaka kwamba mbegu za kiume zinatoka kifuani.zaidi umeleta picha nyingi ambazo zimeishia kukuongezea elimu zaidi ya huo utumbo unaoufahamu kutoka kwenye Quran.Picha hizo apo chini
Broo Mimi nimemaliza maana ilibidi nikufundishe kama umtoto wa chekechea ila Kwa kuwa wewe ni mgalatia sikuona shida
vyema kama umeamua ukapumzike,ukiona bado naendelea kumtia adabu Allah na hujapenda nimekaa palee njoo uendelee kumsaidia.