Wewe nithibitishie tu kwamba Kuna stage katoto tumboni kanakuwa ka skeleton tupu bila nyama , ni silimu LeoKwahiyo wewe unasemaje?
Unataka kusema kuwa zilianza kuumbwa nyama baadae ikachukuliwa mifupa ikachomekwa Kwa ndani ?
Sio Kila kilichosemwa na Qurani upinge tu hata kama wewe ni kafiri