Quran 23:14 -
Kisha tukaiumba tone kuwa damu iliyo ganda, na tukaiumba damu kuwa pande la nyama, kisha tukaliumba pande la nyama kuwa mifupa, na mifupa tukaivika nyama. Kisha tukamfanya kiumbe mwengine. Basi ametukuka Mwenyezi Mungu Mbora wa waumbaji.
1) Manii kuwa pande la damu
2) pande la damu kuwa nyama
3) Pande la nyama kuwa mifupa
4) mifupa kuvikwa nyama
Wasikie wazungu na biology Yao labda utawaelewa maana nyinyi wagalatia kitu akisema mzungu ndio mnaamini hata kama ni uongo na ndio maana amekuambieni Yesu ndio Mungu wenu mmekubali
BIOLOGY
Uti wa mgongo hutengenezwa mara tu baada ya mimba kutungwa, ikiwa kuna kasoro katika utengenezaji wa uti huu basi sehemu fulani ya uti wa mgongo itabaki bila kuzibwa.
Biology inasema kitu Cha kwanza kutengenezwa Baada ya mimba kutungwa ni uti wa mgongo na ukishatengenezwa huo uti wa mgongo kitu kinachofuta ambacho ni muhimu kuufunika huo uti wa mgongo na ikitokea shida hapa katika kuufunika mtoto atazaliwa mgongo wazi
Biology inakubaliana na Qurani kuwa Baada ya pande la nyama kinachofuata ni uti wa mgongo uti wa mgongo ni mifupa na ukisha tengenezwa uti wa mgongo kinachofuata ni kufunikwa Yani kuvikwa nyama
Sio wewe Mokiti hakuna kafiri yoyote katika Dunia hii anayeweza kuthibitisha kuwa Kuna sehemu Quran imesema uongo