katika series za uumbaji ndani ya biology tunakwenda hivi.
cell-tissue-organ-system
embu tuambie tissue ni damu iliyoganda ama ni pande la nyama??
Quran 23:14 -
Kisha tukaiumba tone kuwa damu iliyo ganda, na tukaiumba damu kuwa pande la nyama, kisha tukaliumba pande la nyama kuwa mifupa, na mifupa tukaivika nyama. Kisha tukamfanya kiumbe mwengine. Basi ametukuka Mwenyezi Mungu Mbora wa waumbaji.
1)MANII KUWA PANDE LA DAMU
A zygote is a cell formed by the union of the ovum (i.e., egg cell) or the female gamete, and the sperm or the male gamete.
Sperm cell na egg cell zinapoungana na kutengeneza Zygote Kunakuwa hakuna nyama wa mfupa wowote ukiangalia hapo Kwa naked aye unachokiona no pande la damu tu
2)PANDE LA DAMU KUWA NYAMA
in the embryo and placenta. Almost all organs are completely formed by about 10 weeks after fertilization
Imapoishia Zygote ndio mwanzo wa embryo katika wiki ya kwanza na ya pili katika embryo Kuna kuwa hakuna mfupa wowote wala organ yoyote hivyo ukiangalia Kwa naked aye unachokiona ni pande la nyama tu ila kadiri wiki zivyosogea nyama zinabadirika kuwa mifupa na organ nyingine
much of the skeleton initiates as a cartilaginous scaffold, which is progressively resorbed and replaced by bone.
3)PANDE LA NYAMA KUWA MIFUPA
The fetal stage of development begins around the ninth week and lasts until birth. This is when the embryo officially turns into a fetus. The fetus gets its assigned sex
4)MIFUPA KUVIKWA NYAMA
From week 10 of pregnancy, the fetus grows inside the uterus, fueled by nutrient-rich blood supplied by the umbilical cord. The placenta provides oxygen and nutrients to the fetus and removes waste products from the fetus’ blood. Bones, muscles, skin, and connective tissues form. Body systems develop.
By the way nimeona umezungumzia
Cell-Tissue-organ- System
Cell zimegunduliwa karine ya 16 Yani 1600AD Baada ya kugunduliwa Darubini
Qurani ni kitabu Cha karine ya 6 miaka ya 600AD hivyo Quran ilipokuwa inazungumzia haya mambo ni kwamba ni ni kitu gani binadamu atakiona Kwa kutumia macho yake ya kawaida na akili yake ya kawaida Kwa sababu hizo Darubini azikuwepo zimekuja miaka 1000 Baada ya Qurani