Allah alikuwa hajui kitu anabaatisha tuUmeshaelewa tayari ila Sasa kinachokusumbua ni ukafiri ulio nao maana sifa kubwa ya kafiri ni kupinga maandiko ya Allah
Na sijawahi kumfundisha kafiri asielewe wewe ndio ungekuwa wa kwanza
By the way
Qurani ni kitabu Cha kiimani na mawaidha Kwa waislam yanayotoka Kwa Mungu muumba mbingu na aridhi na Wala sio kitabu Cha biology hivyo haya mambo sijui ya cell, plasma, nuclear hayakuwa na nafasi ndani ya Quran na ndio maana ilikuwa inaeleza mambo ambayo yanapnekana direct Kwa macho Ili watu wapate mawaidha
Kwa mfano
Qurani 86:5
- Hebu naajitazame mwanaadamu ameumbwa kwa kitu gani?
86:6
- Ameumbwa kwa maji yatokayo kwa kuchupa,
86:7
- Yatokayo baina ya mifupa ya mgongo na mbavu.
Hayo ni mawaidha Kwa binadamu kuwa hauna sababu ya kujiona wewe ndio wewe hapa duniani Kwa sababu umetokana na kitu dhalili sana Yani ni maji maji tu
Hapo zinazungumziwa sperm jinsi zinavyotoka na appearance yake ukizitazama Kwa naked aye hiyo ni karine ya 6 hakuna mtu yoyote anayeweza kuziangalia sperm zaidi ya hapo
Na Aya ikaende mbali zaidi kuwa zinatoka baina ya mifupa ya mgongo na mbavu Kwa kuwa binadamu kipindi hicho hakuwa na uwezo wa kuona huko ndani ya mwili akaamimi Moja Kwa Moja Kwa sababu Qurani ni kitabu Cha kiimani
Miaka 1000 baadae binadamu akagundua Darubini akaziangalia sperm kiundani akaona Kuna vimbegu vina mkia na vinatoka vingi Kwa bao Moja zaidi ya milioni Moja
Pia akaangalia zinatokea wapi akagundua zinatoka katika sehemu inaitwa seminal vesicles na seminal vesicles ipo kati ya mifupa ya mgongo na mbavu
Allah alikuwa anawafundisha binadamu kutokana na upeo wao wa kipindi walichopo
Na ndio maana Allah hakuongea na Musa mambo kama haya Kwa sababu kutoka na upeo wao walitakiwa wamjue Mungu tu na msisitizo mkubwa katika Taurati ulikuwa ni kumjua Mungu na kufuata sheria zake
Nyinyi wagalatia Jahannam inawasubiri hamuna pa kutokea
Mara mbegu zinatoka mgongoni mwa mwanaume na mbavu za mwanamke 😂😂😂🤣