exaud morrey
JF-Expert Member
- May 22, 2017
- 1,024
- 977
kama haya nikweli naanaweza nikwanini ala anaua watu kila siku ila anashindwa kuwahudia chakula?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haujajibu swali imeandika utumbo kibaositaki kukuchoresha wala kukufanya uonekane msukule,lakini nataka unihakikieshie kwamba wataalam wa uzazi na maumbile wamepatikana karne ya 16,17,18
usichojua wewe mzee wa maulid ni kwamba science na utaalam wa uzazi umekuwepo kabla hata Yesu hajaja duniani.
kapekue vyema historia.
Alichofanya Allah hapa ni kuja kumwambia muhammad kitu ambacho watu wamezoea kukiona,hakuna jambo la kitaalam aliliongea Allah.
kwahiyo Zygoy ya kwanza imegundulika karne ya 19 huko nyuma Allah na watu wake waliiona ni kama pande la damu[emoji23][emoji23][emoji23],umenielewa sasa si ndio??
wewe unaamini hilo ni pande la damu iliyoganda???
whatever,hakuna kati yao anayesema haya yalikuwa mapande ya damu ama mapande ya nyama.
ni ujinga wa Allah aliyeamua kumfunulia Muhammad kitu cha hivyo.
sasa yupi kati ya oscar na malphigi amethibitisha madai ya Allah kwamba binaadam huzaliwa kwa pande la damu iliyoganda na kisha kuwa pande la nyama!!!!
Onyesha sehemu Quran imetaja zygote.
Quran imetaja pande la damu na pande la nyama,zygote sio pande la nyama muhamadan.
hakukuwa na zygote 500AD,hata Allah alikuwa hajui zygote ni nini alikuwa anaita ni pande la damu ambalo linabadilika na kuwa pande la nyama.
hakuna swali ulilouliza wala mleta mada hajauliza swali,hapa swala ni kmpiga spanner Allah.Haujajibu swali imeandika utumbo kibao
swali sasa hapa.Process za fertilization zipo enzi na enzi tokea Dunia imeumbwa
Quran hii hii inasema pande hilo la nyama linageuka mfupa,lakini wewe mtetezi wa Quran hujatueleza ni hatua ipi katka biology ambayo hili pande la nyama linakuwa mfupa.Miaka ya 600 AD Quran ikasema mbegu ya mwanamume ikikutana na yai la mwanamke inatengeneza pande la damu baadae hilo pande la damu linabadirika kuwa pande la nyama
na ili pande la nyama ligeuke kuwa fupa linatakiwa lipitie hatua ipi,ukizingatia hiyo ya damu kuganda kabla ya kuwa pande la nyama!!!!Waislam hatuna shida na hilo maana tumeliona hilo pande ni kweli Lina rangi ya damu na limeganda ndio maana Lina shape ya duara maana kimiminika Ili kutengeneza shape lazima ukigandishe
kwahiyo Allah aliona pande la nyama au rangi ya nyama??tuwekane sawa hapa kwanza.Pia tumeliona hilo pande la nyama ni kweli pande la nyama maana halina mfupa na Lina rangi ya nyama
kwa kielelezo hiki tunaona kabisa Oscar na wenzake walikuwa wakijua vyema kinachofanyika kuliko hao wanaomtukuza Allah mbele ya muhamad,nakujiita sisi.Miaka ya 1600 AD na 1900 AD Oscar na mwenzake wakasema hilo pande la langi ya damu ni Zygote na hilo pande la rangi ya nyama ni Embryo
sifahamu walikuwa wanaitaje,labda umuulize Allah neno pande la Damu alilitoa wapi???Jibu swali wagalatia wenzako wa miaka ya 500 AD , 700 AD na 1200 AD hivyo vitu walikuwa wanaviitaje?
Umesema kweli wagalatia wenzako wa miaka ya 500 AD kabla ya Qurani na wa miaka 700 AD Baada ya Qurani na wa miaka 1200 AD walikuwa hawajui chochote kuhusu haya mambohakuna swali ulilouliza wala mleta mada hajauliza swali,hapa swala ni kmpiga spanner Allah.
swali sasa hapa.
kama Allah ndiye muumbaji wa hiyo fertilization kwanini aitolee maelezo kama layman???tunakuja kuelewa ni kitu gani carne 12 baadae!!!!
wewe unakubaliana naye kwamba embryo ni pande la damu iliyoganda????
Quran hii hii inasema pande hilo la nyama linageuka mfupa,lakini wewe mtetezi wa Quran hujatueleza ni hatua ipi katka biology ambayo hili pande la nyama linakuwa mfupa.
na ili pande la nyama ligeuke kuwa fupa linatakiwa lipitie hatua ipi,ukizingatia hiyo ya damu kuganda kabla ya kuwa pande la nyama!!!!
kwahiyo Allah aliona pande la nyama au rangi ya nyama??tuwekane sawa hapa kwanza.
kwa kielelezo hiki tunaona kabisa Oscar na wenzake walikuwa wakijua vyema kinachofanyika kuliko hao wanaomtukuza Allah mbele ya muhamad,nakujiita sisi.
sifahamu walikuwa wanaitaje,labda umuulize Allah neno pande la Damu alilitoa wapi???
sijasema walikuwa hawajui,tafadhali soma taratibu usiwe na pupa kama mtume kaona demu mgeni,nimesema sijui walikuwa wanaitaje Maana swala la lugha ndio siifahamu,lakini hawakuiita Pande la damu iliyoganda kama alivyouita Allah.Umesema kweli wagalatia wenzako wa miaka ya 500 AD kabla ya Qurani na wa miaka 700 AD Baada ya Qurani na wa miaka 1200 AD walikuwa hawajui chochote kuhusu haya mambo
waislam wanajua vizuri halafu,miaka 1200 baadae anakuja mgalatia mwingine na kuwasahihisha waislam pamoja na Allah kwamba NO,this is tissue called zygote😅😅.Lakini waislam tokea miaka ya 500 AD wanayajua vizuri haya mambo ni Kwa sababu wamefundishwa na Mungu muumba mbingu na aridhi kupitia Qurani
unaona sasa hapa Anapuyanga tena,tone la manii ni sawa na mbegu bilioni ngapi??Allah pia hakujua mtu anaundwa kwa mbegu moja tu wala sio tone zima😅😅😅.Qurani 35:11
- Na Mwenyezi Mungu amekuumbeni kutokana na udongo. Kisha kwa tone la manii.
kiwanda cha mbegu za kiume kipo chini ya kibofu,kati ya mbavu na mfupa wa mgongo kuna mapafu,usiendelee kumvua kanzu Allah hajavaa boxer..Qurani 86:7
- Yatokayo baina ya mifupa ya mgongo na mbavu.
hapa kwenye miezi 30 Allah alikuwa anawafundisha ama alikuwa anaelezea wanachofanya watu siku zote😄😄Qurani 23:14
- Kisha tukaiumba tone kuwa damu iliyo ganda, na tukaiumba damu kuwa pande la nyama, kisha tukaliumba pande la nyama kuwa mifupa, na mifupa tukaivika nyama. Kisha tukamfanya kiumbe mwengine. Basi ametukuka Mwenyezi Mungu Mbora wa waumbaji.
Qurani 46:15
Na kuchukua mimba kwake hata kumwachisha ziwa ni miezi thalathini.
Hawa jamaa zetu wasikupotezee muda, tukishuka hapa na vifungu vya Quran yao wenyewe vinavyoonyesha upuuzi wa hicho kilichoandikwa wanachosema ni science wataanza kulia Lia kwa Modes afute comments kama walivyolia tulipo post Uzi wa MAJINA MATANO YA ALLAH yanayothibitisha Allah ni Shetani mwenyewe.leta huo mstari kwenye quran ambao mimi siujui unaosema dunia ni sphere ili nkubali madai yako,
failure to do so.. Utakuwa muongo, na dini yako nitaiconclude kuwa ya uongo.
Hakuna kuhubiri leta quote hapa nicheki
Ona sasa umeshakubali ilichosema Quran kuwa Zygote ni pande la damusijasema walikuwa hawajui,tafadhali soma taratibu usiwe na pupa kama mtume kaona demu mgeni,nimesema sijui walikuwa wanaitaje Maana swala la lugha ndio siifahamu,lakini hawakuiita Pande la damu iliyoganda kama alivyouita Allah.
waislam wanajua vizuri halafu,miaka 1200 baadae anakuja mgalatia mwingine na kuwasahihisha waislam pamoja na Allah kwamba NO,this is tissue called zygote[emoji28][emoji28].
unaona sasa hapa Anapuyanga tena,tone la manii ni sawa na mbegu bilioni ngapi??Allah pia hakujua mtu anaundwa kwa mbegu moja tu wala sio tone zima[emoji28][emoji28][emoji28].
kiwanda cha mbegu za kiume kipo chini ya kibofu,kati ya mbavu na mfupa wa mgongo kuna mapafu,usiendelee kumvua kanzu Allah hajavaa boxer..
hapa kwenye miezi 30 Allah alikuwa anawafundisha ama alikuwa anaelezea wanachofanya watu siku zote[emoji1][emoji1]
Qurani 86:6 -sijasema walikuwa hawajui,tafadhali soma taratibu usiwe na pupa kama mtume kaona demu mgeni,nimesema sijui walikuwa wanaitaje Maana swala la lugha ndio siifahamu,lakini hawakuiita Pande la damu iliyoganda kama alivyouita Allah.
waislam wanajua vizuri halafu,miaka 1200 baadae anakuja mgalatia mwingine na kuwasahihisha waislam pamoja na Allah kwamba NO,this is tissue called zygote[emoji28][emoji28].
unaona sasa hapa Anapuyanga tena,tone la manii ni sawa na mbegu bilioni ngapi??Allah pia hakujua mtu anaundwa kwa mbegu moja tu wala sio tone zima[emoji28][emoji28][emoji28].
kiwanda cha mbegu za kiume kipo chini ya kibofu,kati ya mbavu na mfupa wa mgongo kuna mapafu,usiendelee kumvua kanzu Allah hajavaa boxer..
hapa kwenye miezi 30 Allah alikuwa anawafundisha ama alikuwa anaelezea wanachofanya watu siku zote[emoji1][emoji1]
wapi nimekubali unanilisha maneno sasa😁😁.Ona sasa umeshakubali ilichosema Quran kuwa Zygote ni pande la damu
kwahiyo Allah anajua mpaka leo Zygote ni pande la damu??au nayeye amebadili msimamo ameelimika kwamba si pande jekundu linaloonekana kama damu iliyoganda ila ni zygote???Mda wote ulikuwa hautaji Zygote ni Nini nahisi ulikuwa unajua na ndio maana ulikuwa unakwepa ukawa usema Zygote Embryo ukilizwa hiyo Zygote ni Nini na Embryo Nini unakwepa Ilala umesema kuwa Zygote ni TISSUE japo umekosea kido ila sio shida elimu itafika
Yess wanasayansi wameeleza vyema sana,kwamba hii ni hatua ya awali ya ukuaji ambapo cell nyekundu za damu husambaza hewa katika tissu ambazo tayari zina mfumo wa mishipa ya damu.Sikia wanasayansi wako Sasa wanasemaje
Blood cell development begins as early as the seventh day of embryonic life. [1] Red blood cells are essential in delivering oxygen to tissues and the development of vascular channels during embryogenesis
unapishana na mwenzako na kauli zako za mwanzo kwamba damu huganda kutengeneza pande la nyama.Wanasema damu inatengenezwa mwanzano mwa Embryonic stage
kwahiyo kuna damu na mishipa ya damu ama pande la damu iliyoganda???kuwa makini katika majibu yako.Ukisema mwanzoni mwa Embryonic stage inamaana unazungumzia Zygote inayo ishia na kubadirika kuwa Embryo Kwa hiyo hapo damu inatengezwa katika Zygote stage
haya ni maelezo ya wataalam wagalatia.Pia wanasema hiyo damu ni muhimu katika mabadiriko ya Embryo kuendelea na safari yake Kwa sababu kazi ya damu kusambaza oxygen katika tishu zinazotemgezwa katika Embryo
toa maelezo kutoka katika Quran yanayosema pande la damu lina oxygen ambayo ni muhimu kulifanya kuwa pande la nyama.Ndio maana Qurani ilianza kutaja pande la damu Kisha pande la nyama Kwa sababu hilo pande la nyama litahitaji oxygen Kwa hiyo ni lazima damu itengenezwe kwanza
mgalatia hajifunzi kwa Allah asiye na akili wala mfuasi wake ambaye hana uwezo wa kuelewa.Nafikili wenye akili wameelewa maana wewe ni kama ubao tunaandika Ili wagalatia wenzako wenye akili wasome na waelewe
maji ya kuchupa ikimaanisha maji ya shahawa si ndio😂😂😂Qurani 86:6 -
Ameumbwa kwa maji yatokayo kwa kuchupa,
kasome biology tafuta baina ya mifupa ya mgongo na mbavu kuna organ gani inayohusika na sperm production.Qurani 86:7 -
Yatokayo baina ya mifupa ya mgongo na mbavu.
kabisa,kama inasema jua huzama kwenye matope,nyota ni mapambo ya anga😅😅😅.Quran Kila itakachosema lazima kafiri ashangae na kubisha
seminal vesicle unajua zinapatikana wapi???au unaandika tu??mkiambiaa nendeni shule mnakomaa na madrasa ona sasa😂😂😂.Sasa wasikilize wanasayansi wako katika
The prostate and seminal vesicles are special glands present in the male reproductive system which produce different secretions. These secretions mix with the sperm and form semen. Semen provides better mobility and nutrition to the sperm, as they have to cover some distance inside the female body for fertilization.
Wanasayansi wako wanakubaliana na Qurani kuwa sperm zinazorushwa kwenda katika Ike zinatokea katika seminal vesicles na sio korodani
misuli ya seminal vesicle inapatikana kati ya mfupa wa mbavu na mgongo😂😂😂.Korodani inatengena sperm cell na kupelekwa katika seminal vesicles hapo katika seminal vesicles zinatiwa virutubisho na kuwekwa tayari Kwa ajili ya kurusha kwenda katika uke
Na hile nguvu inayo rusha sperm ni kazi ya misuli ya seminal vesicles
😂😂😂😂😂.JE serminal vesicles ipo wapi?
Qurani inasema ipo kati ya mifupa ya uti wa mgongo na mbavu
nadhani kiswahili unaelewa vyema,au tafsiri ya Quran imekosewa!!!Angalia picha Kisha jibu swali
Ukitoka hapo katika serminal vesicles ukielekea ju utakutana na mfupa gani?
Sasa mbona wengi hampendi shule?Sayansi ni somo kuhusu ulimwengu ulivyo na unavyofanya kazi, kwahyo ningetarajia mungu aliyeuumba ulimwengu ndio awe baba wa sayansi.
Na kitabu chake kiwe kimejaa sayansi za kutosha.
Mimi kama mfuasi wa sayansi nikaanza kufuatilia sayansi kwenye vitabu vya dini. nilipoanza kufuatilia s Quran na Biblia., nikagundua Quran ndio imeonesha upeo mkubwa zaidi wa sayansi.
Quran inajulikana kuwa na maelezo ambayo yanalingana na masomo ya kisayansi katika maeneo mengi, hizi ni chache:
1. Uumbaji wa ulimwengu: Quran inazungumzia kuhusu uumbaji wa ulimwengu na asili yake. Aya kadhaa zinataja kuwa ulimwengu ulianza kwa mlipuko mkubwa (Big Bang) na inaelezea kuenea kwake na kuunda vitu vyote.
2. Uumbaji wa binadamu: Quran inatoa maelezo ya kina kuhusu maendeleo ya mwanadamu katika tumbo la uzazi. Inaelezea hatua za uumbaji wa kijusi na maendeleo yake kutoka damu iliyoganda hadi mtoto aliyeumbika kabisa.
3. Maji kama chanzo cha uhai: Quran inasisitiza umuhimu wa maji kwa uhai. Inaeleza kuwa Mwenyezi Mungu ndiye aliyeviumba visima vya maji na inatoa maelezo juu ya mzunguko wa maji duniani.
4. Sayansi ya astronomia: Quran inazungumzia mada za anga na nyota. Inaeleza kuwa nyota zina jukumu la kuongoza na kuelekeza katika njia, na inataja pia kuwepo kwa sayari na mzunguko wao.
5. Sayansi ya jiografia: Quran inazungumzia ardhi na milima. Inaeleza kuwa Mwenyezi Mungu ameifanya ardhi kuwa imara ili watu waweze kuishi juu yake, na inataja pia kuwepo kwa milima kama alama za ardhi.
Hizo ni baadhi tu ila zipo nyingi mno...hizi ndiyo zilinofanya niamini kweli Allah ndiye Mung aliyeumba ulimwengu na Muhamad ndiye mtume wake.
Nadiriki kusema La illah ila Allah Muhammad rasul Allah
Takbir.
Umeanza kupingana na Qurani na Sasa unapingana na wanasayansi wakomaji ya kuchupa ikimaanisha maji ya shahawa si ndio[emoji23][emoji23][emoji23]
kasome biology tafuta baina ya mifupa ya mgongo na mbavu kuna organ gani inayohusika na sperm production.
ukiipata leta na picha kabisa.
kabisa,kama inasema jua huzama kwenye matope,nyota ni mapambo ya anga[emoji28][emoji28][emoji28].
kwanini tusishangae!!!
seminal vesicle unajua zinapatikana wapi???au unaandika tu??mkiambiaa nendeni shule mnakomaa na madrasa ona sasa[emoji23][emoji23][emoji23].
misuli ya seminal vesicle inapatikana kati ya mfupa wa mbavu na mgongo[emoji23][emoji23][emoji23].
nikuletee mchoro ili uelewe vyema???
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
nadhani kiswahili unaelewa vyema,au tafsiri ya Quran imekosewa!!!
imesema kati ya mfupa wa mbavu na mgongo,wewe unasema nipandishe juu,unaongeza maeelzo kutoka katika mfuko wako ambayo hayapo kwenye Quran.
ukielekea kulia au kushito ni mifupa ya nyonga,usiparamie fani za watu watakushangaa.
hapo Allah anaposema kati kati ya mbavu na mfupa wa mgongo hata hakuna ukaribu huo na zilipo tezi hizi za uzazi.
Na ukitoka hapo katika serminal vesicles ukieleke. kulia au kushoto utakutana na mfupa gani?
View attachment 2704777
😄😄unajitekenya na kucheka mwenyewe,wapi ninepingana na wanasayansi!!!Umeanza kupingana na Qurani na Sasa unapingana na wanasayansi wako
seminal vesicle zinapatikana kati ya mfupa wa mgongo na mbavu ipi??leta picha ya sayansi inayokubaliana na maelezo haya ya Quran yako.Wanasayansi wako wanasema sperm zinazorushwa kwenda katika uke Kwa ajili ya fertilization zinatoka katika seminal vesicles
baina ya mfupa wa mgongo na mbavu ni katik mfupa wa nyonga kwa mujibu wa science ya msikitini si ndio!!!!Na Qurani inasema hilo eneo lipo baina ya mifupa ya mgongo na mbavu
wewe hujui kama hizo glands zote ziko kwenye mfupa wa nyonga,ambao ni mfupa wa kiunoni,uliza tu utaelekezwa na watoto wa standard 6 sio mwalimu wako wa madrasa.Sasa kama wewe unapinga
jibu swali ni mifupa ipi utakayokutana nayo kwanza ukitokea hapo katika serminal vesicles View attachment 2704951
Uko serious kweli au umekuja kwa njia ya kufedhehesha Waislam kama kawaida yako!?Sayansi ni somo kuhusu ulimwengu ulivyo na unavyofanya kazi, kwahyo ningetarajia mungu aliyeuumba ulimwengu ndio awe baba wa sayansi.
Na kitabu chake kiwe kimejaa sayansi za kutosha.
Mimi kama mfuasi wa sayansi nikaanza kufuatilia sayansi kwenye vitabu vya dini. nilipoanza kufuatilia s Quran na Biblia., nikagundua Quran ndio imeonesha upeo mkubwa zaidi wa sayansi.
Quran inajulikana kuwa na maelezo ambayo yanalingana na masomo ya kisayansi katika maeneo mengi, hizi ni chache:
1. Uumbaji wa ulimwengu: Quran inazungumzia kuhusu uumbaji wa ulimwengu na asili yake. Aya kadhaa zinataja kuwa ulimwengu ulianza kwa mlipuko mkubwa (Big Bang) na inaelezea kuenea kwake na kuunda vitu vyote.
2. Uumbaji wa binadamu: Quran inatoa maelezo ya kina kuhusu maendeleo ya mwanadamu katika tumbo la uzazi. Inaelezea hatua za uumbaji wa kijusi na maendeleo yake kutoka damu iliyoganda hadi mtoto aliyeumbika kabisa.
3. Maji kama chanzo cha uhai: Quran inasisitiza umuhimu wa maji kwa uhai. Inaeleza kuwa Mwenyezi Mungu ndiye aliyeviumba visima vya maji na inatoa maelezo juu ya mzunguko wa maji duniani.
4. Sayansi ya astronomia: Quran inazungumzia mada za anga na nyota. Inaeleza kuwa nyota zina jukumu la kuongoza na kuelekeza katika njia, na inataja pia kuwepo kwa sayari na mzunguko wao.
5. Sayansi ya jiografia: Quran inazungumzia ardhi na milima. Inaeleza kuwa Mwenyezi Mungu ameifanya ardhi kuwa imara ili watu waweze kuishi juu yake, na inataja pia kuwepo kwa milima kama alama za ardhi.
Hizo ni baadhi tu ila zipo nyingi mno...hizi ndiyo zilinofanya niamini kweli Allah ndiye Mung aliyeumba ulimwengu na Muhamad ndiye mtume wake.
Nadiriki kusema La illah ila Allah Muhammad rasul Allah
Takbir.
Wenzio waliosoma Quran (sunnah.com) na kuielewa wana acha UislamSayansi ni somo kuhusu ulimwengu ulivyo na unavyofanya kazi, kwahyo ningetarajia mungu aliyeuumba ulimwengu ndio awe baba wa sayansi.
Na kitabu chake kiwe kimejaa sayansi za kutosha.
Mimi kama mfuasi wa sayansi nikaanza kufuatilia sayansi kwenye vitabu vya dini. nilipoanza kufuatilia s Quran na Biblia., nikagundua Quran ndio imeonesha upeo mkubwa zaidi wa sayansi.
Quran inajulikana kuwa na maelezo ambayo yanalingana na masomo ya kisayansi katika maeneo mengi, hizi ni chache:
1. Uumbaji wa ulimwengu: Quran inazungumzia kuhusu uumbaji wa ulimwengu na asili yake. Aya kadhaa zinataja kuwa ulimwengu ulianza kwa mlipuko mkubwa (Big Bang) na inaelezea kuenea kwake na kuunda vitu vyote.
2. Uumbaji wa binadamu: Quran inatoa maelezo ya kina kuhusu maendeleo ya mwanadamu katika tumbo la uzazi. Inaelezea hatua za uumbaji wa kijusi na maendeleo yake kutoka damu iliyoganda hadi mtoto aliyeumbika kabisa.
3. Maji kama chanzo cha uhai: Quran inasisitiza umuhimu wa maji kwa uhai. Inaeleza kuwa Mwenyezi Mungu ndiye aliyeviumba visima vya maji na inatoa maelezo juu ya mzunguko wa maji duniani.
4. Sayansi ya astronomia: Quran inazungumzia mada za anga na nyota. Inaeleza kuwa nyota zina jukumu la kuongoza na kuelekeza katika njia, na inataja pia kuwepo kwa sayari na mzunguko wao.
5. Sayansi ya jiografia: Quran inazungumzia ardhi na milima. Inaeleza kuwa Mwenyezi Mungu ameifanya ardhi kuwa imara ili watu waweze kuishi juu yake, na inataja pia kuwepo kwa milima kama alama za ardhi.
Hizo ni baadhi tu ila zipo nyingi mno...hizi ndiyo zilinofanya niamini kweli Allah ndiye Mung aliyeumba ulimwengu na Muhamad ndiye mtume wake.
Nadiriki kusema La illah ila Allah Muhammad rasul Allah
Takbir.
Jamani kuleni bia acheni mambo yenu kujifanya mnajua Kila mtu akiamini ya kwake Kuna shida gani?Hakuna sayansi yoyote hapo zaidi ya kujitekenya.
Hiyo mistari umejaribu kuelezea ni sayansi ya zamani.
Halafu kuna kitu inabidi ufahamu.
Siyo kwamba miaka hiyo watu hawakujua kabisa sayansi. Sayansi ilikuwepo japo ilikuwa ni duni. Habari ya uzazi ilikiwa inaeleweka, kuhusu nyota (mamajuso) watu walikuwa wanajua...
Na kama ni kweli huyo Allah na sifa alizonazo, asingeshindwa kujua umbo la dunia,
Huyo Allah mjuzi wa yote asingeshindwa kujua movement ya dunia kuzunguka jua.
Hapo mbona alifyata?
Alifyata kwasababu ndiyo ilikiwa sayansi ya kale iliyotengenezwa na wanafalsafa kama Aristotle.
Kwahyo, sayansi ilikuwepo, issue ya kujua uzazi kumbuka wakunha walikuwepo. Huyo Muhammad alikuwepo tena miaka iliyoenda sana.
Kwahyo hakuna Allah wala nini kwenye reality.
Zaidi ni utaunganisha vidoti tu vya ile sayansi ya kale alivyovitumia kuandika quran.
Jiulize kwanini aligail kwenye shape ya dunia.
Wagalatia wagumu kuelewaUmeshaelewa tayari ila Sasa kinachokusumbua ni ukafiri ulio nao maana sifa kubwa ya kafiri ni kupinga maandiko ya Allah
Na sijawahi kumfundisha kafiri asielewe wewe ndio ungekuwa wa kwanza
By the way
Qurani ni kitabu Cha kiimani na mawaidha Kwa waislam yanayotoka Kwa Mungu muumba mbingu na aridhi na Wala sio kitabu Cha biology hivyo haya mambo sijui ya cell, plasma, nuclear hayakuwa na nafasi ndani ya Quran na ndio maana ilikuwa inaeleza mambo ambayo yanapnekana direct Kwa macho Ili watu wapate mawaidha
Kwa mfano
Qurani 86:5
- Hebu naajitazame mwanaadamu ameumbwa kwa kitu gani?
86:6
- Ameumbwa kwa maji yatokayo kwa kuchupa,
86:7
- Yatokayo baina ya mifupa ya mgongo na mbavu.
Hayo ni mawaidha Kwa binadamu kuwa hauna sababu ya kujiona wewe ndio wewe hapa duniani Kwa sababu umetokana na kitu dhalili sana Yani ni maji maji tu
Hapo zinazungumziwa sperm jinsi zinavyotoka na appearance yake ukizitazama Kwa naked aye hiyo ni karine ya 6 hakuna mtu yoyote anayeweza kuziangalia sperm zaidi ya hapo
Na Aya ikaende mbali zaidi kuwa zinatoka baina ya mifupa ya mgongo na mbavu Kwa kuwa binadamu kipindi hicho hakuwa na uwezo wa kuona huko ndani ya mwili akaamimi Moja Kwa Moja Kwa sababu Qurani ni kitabu Cha kiimani
Miaka 1000 baadae binadamu akagundua Darubini akaziangalia sperm kiundani akaona Kuna vimbegu vina mkia na vinatoka vingi Kwa bao Moja zaidi ya milioni Moja
Pia akaangalia zinatokea wapi akagundua zinatoka katika sehemu inaitwa seminal vesicles na seminal vesicles ipo kati ya mifupa ya mgongo na mbavu
Allah alikuwa anawafundisha binadamu kutokana na upeo wao wa kipindi walichopo
Na ndio maana Allah hakuongea na Musa mambo kama haya Kwa sababu kutoka na upeo wao walitakiwa wamjue Mungu tu na msisitizo mkubwa katika Taurati ulikuwa ni kumjua Mungu na kufuata sheria zake
Nyinyi wagalatia Jahannam inawasubiri hamuna pa kutokea
umekuja na kanzu mpya??
alichopost jamaa,na walichoandika kwenye science hakiungani na Allah wala mawazo ya mujahdeen,Allah anasema tuliumba tulimfanya mtu kutoka katika damu iliyoganda,ikawa pande la damu halafu likageuka kuwa mfupa nao mfupa tukaufunika nyama.
hakuna damu iliyoganda wala pande la nyama katika huo mchoro usilazimishe.
aliyepita nimemkaba aeleze kama yeye anaona kama Allah anavyoona ama Allah anajua kuliko biology!!!!akaingia mzima mzima kwamba ukiangalia hii picha unaona kitu kinachofanania na damu iliyoganda na pande la nyama😂😂😂.
kwa maana hiyo Allah anatoa maelezo kwa kitu kama jinsi unavyokiona wewe na yeye sio jinsi anavyokijua zaidi kama muumbaji.
ndio sababu nikamkumbusha ni Quran hii pia inasema nyota ziliumbwa kuwa mapambo ya anga😅😅,hivi ndivyo unavyoona wewe muislam na ndivyo jinsi Allah anavyoona pia😂😂.
hivi ndivyo Allah anavyojua,na ilibidi atoe maelezo ya jinsi kitu anavyokiona,sasa mimi nakwambia rasmi,hakuna maisha ya kiumbe binaadam yanaanzia katika damu iliyoganda inayogeuka kuwa pande la nyama.hatua zote unazoziona zinaeleweka.
bado tunasuburi pande la nyama kwenye uterus ya mwanamke.tumekaa paleeeee