Sababu zilizonifanya niiamini Quran juu ya biblia

Acha uongo wewe biology gani inayosema katika fertilization process haipitii stage ya kuwa donge la damu na donge la nyama

Sijui mnazungumzia Nini mmeshaona mimba zinazoharibika chini ya miezi 3

mimba iliyoharibika ndio hilo donge lililoandikwa na Quran!!!

mimba iliyoharibika inakuwaje pande la nyama sasa???usichoelewa hilo donge la damu la mimba changa ndicho nilichokuandikia hapo kwamba ni mfumo wa damu na moyo wake vikiwa vimeharibika,ungepata nafasi ya kuona vikiwa hai ndani ya tumbo haviwi donge la damu iliyoganda kama Allah anavyompanga mtume wake.
 
Acha uongo wewe biology gani inayosema katika fertilization process haipitii stage ya kuwa donge la damu na donge la nyama

Sijui mnazungumzia Nini mmeshaona mimba zinazoharibika chini ya miezi 3?
😂😂😂🤣😂. Sema damu iliyoganda (dead blood)
 
mimba iliyoharibika ndio hilo donge lililoandikwa na Quran!!!

mimba iliyoharibika inakuwaje pande la nyama sasa???usichoelewa hilo donge la damu la mimba changa ndicho nilichokuandikia hapo kwamba ni mfumo wa damu na moyo wake vikiwa vimeharibika,ungepata nafasi ya kuona vikiwa hai ndani ya tumbo haviwi donge la damu iliyoganda kama Allah anavyompanga mtume wake.
Utaelewa tu angalia picha Kisha jibu maswali

Ukiangalia hapo Baada ya sperm kuingia katika ovum hapo unaona Nini sio madonge hayo yalioganda?

Au wewe unaona hapo Kuna kimiminika?

Tokea LIni kimiminika kikawa. Na umbo la yai?
Screenshot_20230729-193537.jpg
 
Utaelewa tu angalia picha Kisha jibu maswali

Ukiangalia hapo Baada ya sperm kuingia katika ovum hapo unaona Nini sio madonge hayo yalioganda?

Au wewe unaona hapo Kuna kimiminika?

Tokea LIni kimiminika kikawa. Na umbo la yai?View attachment 2702376
Twende taratibu

Unajua maana ya damu kuganda ?
 
Ndo wale tunasema dubai ilikuwa haraka kuzidi marekani.

Kaka yako na wewe nani mkubwa
 
Kuruani ndo ulisema Mariam Mama Wa Yesu Ni yule Mariam dada wa Haruni na Musa na haikuweza kuwatofautisha?

Pia hiyo ndo inayotudanganya kuwa Ishmael ndo alitakiwa kutolewa sadaka?
 
Utaelewa tu angalia picha Kisha jibu maswali

Ukiangalia hapo Baada ya sperm kuingia katika ovum hapo unaona Nini sio madonge hayo yalioganda?

Au wewe unaona hapo Kuna kimiminika?

Tokea LIni kimiminika kikawa. Na umbo la yai?View attachment 2702376

katika series za uumbaji ndani ya biology tunakwenda hivi.

cell-tissue-organ-system

embu tuambie tissue ni damu iliyoganda ama ni pande la nyama??
 
Kuruani ndo ulisema Mariam Mama Wa Yesu Ni yule Mariam dada wa Haruni na Musa na haikuweza kuwatofautisha?

Pia hiyo ndo inayotudanganya kuwa Ishmael ndo alitakiwa kutolewa sadaka?

ndio hiyo hiyo pia iliyosema wakristo wanaabudu utatu kwa kumweka Yesu,na mama ake katika utatu huo[emoji28][emoji28].

Allah huyu ndio msimamo wa wakristo anaoujua.
 
Sayansi ni somo kuhusu ulimwengu ulivyo na unavyofanya kazi, kwahyo ningetarajia mungu aliyeuumba ulimwengu ndio awe baba wa sayansi.
Na kitabu chake kiwe kimejaa sayansi za kutosha.
Mimi kama mfuasi wa sayansi nikaanza kufuatilia sayansi kwenye vitabu vya dini. nilipoanza kufuatilia s Quran na Biblia., nikagundua Quran ndio imeonesha upeo mkubwa zaidi wa sayansi.

Quran inajulikana kuwa na maelezo ambayo yanalingana na masomo ya kisayansi katika maeneo mengi, hizi ni chache:

1. Uumbaji wa ulimwengu: Quran inazungumzia kuhusu uumbaji wa ulimwengu na asili yake. Aya kadhaa zinataja kuwa ulimwengu ulianza kwa mlipuko mkubwa (Big Bang) na inaelezea kuenea kwake na kuunda vitu vyote.

2. Uumbaji wa binadamu: Quran inatoa maelezo ya kina kuhusu maendeleo ya mwanadamu katika tumbo la uzazi. Inaelezea hatua za uumbaji wa kijusi na maendeleo yake kutoka damu iliyoganda hadi mtoto aliyeumbika kabisa.

3. Maji kama chanzo cha uhai: Quran inasisitiza umuhimu wa maji kwa uhai. Inaeleza kuwa Mwenyezi Mungu ndiye aliyeviumba visima vya maji na inatoa maelezo juu ya mzunguko wa maji duniani.

4. Sayansi ya astronomia: Quran inazungumzia mada za anga na nyota. Inaeleza kuwa nyota zina jukumu la kuongoza na kuelekeza katika njia, na inataja pia kuwepo kwa sayari na mzunguko wao.

5. Sayansi ya jiografia: Quran inazungumzia ardhi na milima. Inaeleza kuwa Mwenyezi Mungu ameifanya ardhi kuwa imara ili watu waweze kuishi juu yake, na inataja pia kuwepo kwa milima kama alama za ardhi.

Hizo ni baadhi tu ila zipo nyingi mno...hizi ndiyo zilinofanya niamini kweli Allah ndiye Mung aliyeumba ulimwengu na Muhamad ndiye mtume wake.

Nadiriki kusema La illah ila Allah Muhammad rasul Allah
Takbir.
Ni kweli jioni jua linazama Kwenye tope ?
 
Shida huweki sayansi ya upande wa pili
 
Majini wema!
 
katika series za uumbaji ndani ya biology tunakwenda hivi.

cell-tissue-organ-system

embu tuambie tissue ni damu iliyoganda ama ni pande la nyama??
Quran 23:14 -
Kisha tukaiumba tone kuwa damu iliyo ganda, na tukaiumba damu kuwa pande la nyama, kisha tukaliumba pande la nyama kuwa mifupa, na mifupa tukaivika nyama. Kisha tukamfanya kiumbe mwengine. Basi ametukuka Mwenyezi Mungu Mbora wa waumbaji.

1)MANII KUWA PANDE LA DAMU
A zygote is a cell formed by the union of the ovum (i.e., egg cell) or the female gamete, and the sperm or the male gamete.

Sperm cell na egg cell zinapoungana na kutengeneza Zygote Kunakuwa hakuna nyama wa mfupa wowote ukiangalia hapo Kwa naked aye unachokiona no pande la damu tu

2)PANDE LA DAMU KUWA NYAMA
in the embryo and placenta. Almost all organs are completely formed by about 10 weeks after fertilization

Imapoishia Zygote ndio mwanzo wa embryo katika wiki ya kwanza na ya pili katika embryo Kuna kuwa hakuna mfupa wowote wala organ yoyote hivyo ukiangalia Kwa naked aye unachokiona ni pande la nyama tu ila kadiri wiki zivyosogea nyama zinabadirika kuwa mifupa na organ nyingine

much of the skeleton initiates as a cartilaginous scaffold, which is progressively resorbed and replaced by bone.

3)PANDE LA NYAMA KUWA MIFUPA
The fetal stage of development begins around the ninth week and lasts until birth. This is when the embryo officially turns into a fetus. The fetus gets its assigned sex

4)MIFUPA KUVIKWA NYAMA
From week 10 of pregnancy, the fetus grows inside the uterus, fueled by nutrient-rich blood supplied by the umbilical cord. The placenta provides oxygen and nutrients to the fetus and removes waste products from the fetus’ blood. Bones, muscles, skin, and connective tissues form. Body systems develop.

By the way nimeona umezungumzia

Cell-Tissue-organ- System

Cell zimegunduliwa karine ya 16 Yani 1600AD Baada ya kugunduliwa Darubini

Qurani ni kitabu Cha karine ya 6 miaka ya 600AD hivyo Quran ilipokuwa inazungumzia haya mambo ni kwamba ni ni kitu gani binadamu atakiona Kwa kutumia macho yake ya kawaida na akili yake ya kawaida Kwa sababu hizo Darubini azikuwepo zimekuja miaka 1000 Baada ya Qurani
Screenshot_20230729-230132.jpg
 
Sayansi ni somo kuhusu ulimwengu ulivyo na unavyofanya kazi, kwahyo ningetarajia mungu aliyeuumba ulimwengu ndio awe baba wa sayansi.
Na kitabu chake kiwe kimejaa sayansi za kutosha.
Mimi kama mfuasi wa sayansi nikaanza kufuatilia sayansi kwenye vitabu vya dini. nilipoanza kufuatilia s Quran na Biblia., nikagundua Quran ndio imeonesha upeo mkubwa zaidi wa sayansi.

Quran inajulikana kuwa na maelezo ambayo yanalingana na masomo ya kisayansi katika maeneo mengi, hizi ni chache:

1. Uumbaji wa ulimwengu: Quran inazungumzia kuhusu uumbaji wa ulimwengu na asili yake. Aya kadhaa zinataja kuwa ulimwengu ulianza kwa mlipuko mkubwa (Big Bang) na inaelezea kuenea kwake na kuunda vitu vyote.

2. Uumbaji wa binadamu: Quran inatoa maelezo ya kina kuhusu maendeleo ya mwanadamu katika tumbo la uzazi. Inaelezea hatua za uumbaji wa kijusi na maendeleo yake kutoka damu iliyoganda hadi mtoto aliyeumbika kabisa.

3. Maji kama chanzo cha uhai: Quran inasisitiza umuhimu wa maji kwa uhai. Inaeleza kuwa Mwenyezi Mungu ndiye aliyeviumba visima vya maji na inatoa maelezo juu ya mzunguko wa maji duniani.

4. Sayansi ya astronomia: Quran inazungumzia mada za anga na nyota. Inaeleza kuwa nyota zina jukumu la kuongoza na kuelekeza katika njia, na inataja pia kuwepo kwa sayari na mzunguko wao.

5. Sayansi ya jiografia: Quran inazungumzia ardhi na milima. Inaeleza kuwa Mwenyezi Mungu ameifanya ardhi kuwa imara ili watu waweze kuishi juu yake, na inataja pia kuwepo kwa milima kama alama za ardhi.

Hizo ni baadhi tu ila zipo nyingi mno...hizi ndiyo zilinofanya niamini kweli Allah ndiye Mung aliyeumba ulimwengu na Muhamad ndiye mtume wake.

Nadiriki kusema La illah ila Allah Muhammad rasul Allah
Takbir.
hayo yote yalishatajwa kwenye Biblia na mood aliiba vifungu vya kwenye Bible akajaribu kupotosha hadi akashindwa. vipi ile kukamata kichwa cha binadamu mwenzio unayemwita kafiri na kukikata ili ukapate mabikira 72 huko peponi? na ile kusema majini ni mashetani but still kuna jini mazuri na mabaya, na mnayafuga. na suna zenu za pwani pia usisahau kuliongelea.
 
Quran 23:14 -
Kisha tukaiumba tone kuwa damu iliyo ganda, na tukaiumba damu kuwa pande la nyama, kisha tukaliumba pande la nyama kuwa mifupa, na mifupa tukaivika nyama. Kisha tukamfanya kiumbe mwengine. Basi ametukuka Mwenyezi Mungu Mbora wa waumbaji.
haya ndio maelezo ya Quran.hakuna sayansi yoyote hapa kutoka kwenye maneno ya Allah zaidi ya story za kawaida zinazotokana na uzoefu wa kuona mimba zilizoharibika kutoka kwa watu kama ulivyoona wewe,hakuna msomi atakubaliana na haya maelezo kama proof za kisayansi.
ni kama kusema nyota zimewekwa kupamba anga.
1)MANII KUWA PANDE LA DAMU
A zygote is a cell formed by the union of the ovum (i.e., egg cell) or the female gamete, and the sperm or the male gamete.
zygote ndio tone ama pande la damu ama damu iliyodanga??
Sperm cell na egg cell zinapoungana na kutengeneza Zygote Kunakuwa hakuna nyama wa mfupa wowote ukiangalia hapo Kwa naked aye unachokiona no pande la damu tu
sasa haya ni maelezo ya layma aliyeona mimba iliyoharibika kama ulivyoona wewe mimba zikianguka.ile sio damu damu iliyoganda wala sio pande la nyama.
2)PANDE LA DAMU KUWA NYAMA
in the embryo and placenta. Almost all organs are completely formed by about 10 weeks after fertilization
organ zaidi ya moja tayari hii ni system,hii ni hatua nyingine muhimu sana iliyohitaji maelezo kutoka kwa mtaalam Allah sio tu kuita “pande la nyama” kama mzee wa kijiwe cha kahawa.
Imapoishia Zygote ndio mwanzo wa embryo katika wiki ya kwanza na ya pili katika embryo Kuna kuwa hakuna mfupa wowote wala organ yoyote hivyo ukiangalia Kwa naked aye unachokiona ni pande la nyama tu ila kadiri wiki zivyosogea nyama zinabadirika kuwa mifupa na organ nyingine
haya ni macho ya Allah au ya mtu aliyeona mimba mbovu??kumbuka ni Allah anaongea hapa sio Muhammad wala bi aisha.
much of the skeleton initiates as a cartilaginous scaffold, which is progressively resorbed and replaced by bone.

3)PANDE LA NYAMA KUWA MIFUPA
The fetal stage of development begins around the ninth week and lasts until birth. This is when the embryo officially turns into a fetus. The fetus gets its assigned sex
bado maelezo ni wakati gani pande la nyama kuwa mfupa hayajajitosheleza.
4)MIFUPA KUVIKWA NYAMA
From week 10 of pregnancy, the fetus grows inside the uterus, fueled by nutrient-rich blood supplied by the umbilical cord. The placenta provides oxygen and nutrients to the fetus and removes waste products from the fetus’ blood. Bones, muscles, skin, and connective tissues form. Body systems develop.
maelezo haya ni ya ya kijusi kuanza kupewa mahitaji na mama,lakini umeyahusisha na maelezo ya Allah ya “fupa kuvikwa nyama”makusudi kabisa sijui kwa lengo gani!!!
By the way nimeona umezungumzia

Cell-Tissue-organ- System

Cell zimegunduliwa karine ya 16 Yani 1600AD Baada ya kugunduliwa Darubini
Allah si ndiye kaumba cell??tuseme Cell zilikuwepo wanasayansi wamezipa majina tu,Allah hakujua kwamba kuna singe smallest unit of life inayoanzisha maisha ya kiumbe!!!
Qurani ni kitabu Cha karine ya 6 miaka ya 600AD hivyo Quran ilipokuwa inazungumzia haya mambo ni kwamba ni ni kitu gani binadamu atakiona Kwa kutumia macho yake ya kawaida na akili yake ya kawaida Kwa sababu hizo Darubini azikuwepo zimekuja miaka 1000 Baada ya Qurani View attachment 2702493
kwahiyo Quran haikuleta kitu kipya,ilikuwa ineleza kitu ambacho kimekuwa kikionekana na watu na kujulikana kabisa.
ni kama kuwaambia watu nyota ni mapambo ya anga,halafu karne ya 16 tunakuja kuambiaa nyota si mapambo kama tunavyoambiwa na Qurani ila ni majua makubwa kuliko letu,yana uhusiano na uhai wetu lakini si mapambo.

kwanini mtaalam Allah asiseme wazi hayo karne ya 6??
 
haya ndio maelezo ya Quran.hakuna sayansi yoyote hapa kutoka kwenye maneno ya Allah zaidi ya story za kawaida zinazotokana na uzoefu wa kuona mimba zilizoharibika kutoka kwa watu kama ulivyoona wewe,hakuna msomi atakubaliana na haya maelezo kama proof za kisayansi.
ni kama kusema nyota zimewekwa kupamba anga.

zygote ndio tone ama pande la damu ama damu iliyodanga??

sasa haya ni maelezo ya layma aliyeona mimba iliyoharibika kama ulivyoona wewe mimba zikianguka.ile sio damu damu iliyoganda wala sio pande la nyama.

organ zaidi ya moja tayari hii ni system,hii ni hatua nyingine muhimu sana iliyohitaji maelezo kutoka kwa mtaalam Allah sio tu kuita “pande la nyama” kama mzee wa kijiwe cha kahawa.

haya ni macho ya Allah au ya mtu aliyeona mimba mbovu??kumbuka ni Allah anaongea hapa sio Muhammad wala bi aisha.

bado maelezo ni wakati gani pande la nyama kuwa mfupa hayajajitosheleza.

maelezo haya ni ya ya kijusi kuanza kupewa mahitaji na mama,lakini umeyahusisha na maelezo ya Allah ya “fupa kuvikwa nyama”makusudi kabisa sijui kwa lengo gani!!!

Allah si ndiye kaumba cell??tuseme Cell zilikuwepo wanasayansi wamezipa majina tu,Allah hakujua kwamba kuna singe smallest unit of life inayoanzisha maisha ya kiumbe!!!

kwahiyo Quran haikuleta kitu kipya,ilikuwa ineleza kitu ambacho kimekuwa kikionekana na watu na kujulikana kabisa.
ni kama kuwaambia watu nyota ni mapambo ya anga,halafu karne ya 16 tunakuja kuambiaa nyota si mapambo kama tunavyoambiwa na Qurani ila ni majua makubwa kuliko letu,yana uhusiano na uhai wetu lakini si mapambo.

kwanini mtaalam Allah asiseme wazi hayo karne ya 6??
Umeshaelewa tayari ila Sasa kinachokusumbua ni ukafiri ulio nao maana sifa kubwa ya kafiri ni kupinga maandiko ya Allah

Na sijawahi kumfundisha kafiri asielewe wewe ndio ungekuwa wa kwanza

By the way
Qurani ni kitabu Cha kiimani na mawaidha Kwa waislam yanayotoka Kwa Mungu muumba mbingu na aridhi na Wala sio kitabu Cha biology hivyo haya mambo sijui ya cell, plasma, nuclear hayakuwa na nafasi ndani ya Quran na ndio maana ilikuwa inaeleza mambo ambayo yanapnekana direct Kwa macho Ili watu wapate mawaidha

Kwa mfano

Qurani 86:5
- Hebu naajitazame mwanaadamu ameumbwa kwa kitu gani?

86:6
- Ameumbwa kwa maji yatokayo kwa kuchupa,

86:7
- Yatokayo baina ya mifupa ya mgongo na mbavu.

Hayo ni mawaidha Kwa binadamu kuwa hauna sababu ya kujiona wewe ndio wewe hapa duniani Kwa sababu umetokana na kitu dhalili sana Yani ni maji maji tu

Hapo zinazungumziwa sperm jinsi zinavyotoka na appearance yake ukizitazama Kwa naked aye hiyo ni karine ya 6 hakuna mtu yoyote anayeweza kuziangalia sperm zaidi ya hapo

Na Aya ikaende mbali zaidi kuwa zinatoka baina ya mifupa ya mgongo na mbavu Kwa kuwa binadamu kipindi hicho hakuwa na uwezo wa kuona huko ndani ya mwili akaamimi Moja Kwa Moja Kwa sababu Qurani ni kitabu Cha kiimani

Miaka 1000 baadae binadamu akagundua Darubini akaziangalia sperm kiundani akaona Kuna vimbegu vina mkia na vinatoka vingi Kwa bao Moja zaidi ya milioni Moja

Pia akaangalia zinatokea wapi akagundua zinatoka katika sehemu inaitwa seminal vesicles na seminal vesicles ipo kati ya mifupa ya mgongo na mbavu

Allah alikuwa anawafundisha binadamu kutokana na upeo wao wa kipindi walichopo

Na ndio maana Allah hakuongea na Musa mambo kama haya Kwa sababu kutoka na upeo wao walitakiwa wamjue Mungu tu na msisitizo mkubwa katika Taurati ulikuwa ni kumjua Mungu na kufuata sheria zake

Nyinyi wagalatia Jahannam inawasubiri hamuna pa kutokea
 
Sayansi ni somo kuhusu ulimwengu ulivyo na unavyofanya kazi, kwahyo ningetarajia mungu aliyeuumba ulimwengu ndio awe baba wa sayansi.
Na kitabu chake kiwe kimejaa sayansi za kutosha.
Mimi kama mfuasi wa sayansi nikaanza kufuatilia sayansi kwenye vitabu vya dini. nilipoanza kufuatilia s Quran na Biblia., nikagundua Quran ndio imeonesha upeo mkubwa zaidi wa sayansi.

Quran inajulikana kuwa na maelezo ambayo yanalingana na masomo ya kisayansi katika maeneo mengi, hizi ni chache:

1. Uumbaji wa ulimwengu: Quran inazungumzia kuhusu uumbaji wa ulimwengu na asili yake. Aya kadhaa zinataja kuwa ulimwengu ulianza kwa mlipuko mkubwa (Big Bang) na inaelezea kuenea kwake na kuunda vitu vyote.

2. Uumbaji wa binadamu: Quran inatoa maelezo ya kina kuhusu maendeleo ya mwanadamu katika tumbo la uzazi. Inaelezea hatua za uumbaji wa kijusi na maendeleo yake kutoka damu iliyoganda hadi mtoto aliyeumbika kabisa.

3. Maji kama chanzo cha uhai: Quran inasisitiza umuhimu wa maji kwa uhai. Inaeleza kuwa Mwenyezi Mungu ndiye aliyeviumba visima vya maji na inatoa maelezo juu ya mzunguko wa maji duniani.

4. Sayansi ya astronomia: Quran inazungumzia mada za anga na nyota. Inaeleza kuwa nyota zina jukumu la kuongoza na kuelekeza katika njia, na inataja pia kuwepo kwa sayari na mzunguko wao.

5. Sayansi ya jiografia: Quran inazungumzia ardhi na milima. Inaeleza kuwa Mwenyezi Mungu ameifanya ardhi kuwa imara ili watu waweze kuishi juu yake, na inataja pia kuwepo kwa milima kama alama za ardhi.

Hizo ni baadhi tu ila zipo nyingi mno...hizi ndiyo zilinofanya niamini kweli Allah ndiye Mung aliyeumba ulimwengu na Muhamad ndiye mtume wake.

Nadiriki kusema La illah ila Allah Muhammad rasul Allah
Takbir.
Kwa hiyo Quran na Monk house physical geography hakuna tofauti!!!!!!
 
Umeshaelewa tayari ila Sasa kinachokusumbua ni ukafiri ulio nao maana sifa kubwa ya kafiri ni kupinga maandiko ya Allah

Na sijawahi kumfundisha kafiri asielewe wewe ndio ungekuwa wa kwanza

By the way
Qurani ni kitabu Cha kiimani na mawaidha Kwa waislam yanayotoka Kwa Mungu muumba mbingu na aridhi na Wala sio kitabu Cha biology hivyo haya mambo sijui ya cell, plasma, nuclear hayakuwa na nafasi ndani ya Quran na ndio maana ilikuwa inaeleza mambo ambayo yanapnekana direct Kwa macho Ili watu wapate mawaidha

Kwa mfano

Qurani 86:5
- Hebu naajitazame mwanaadamu ameumbwa kwa kitu gani?

86:6
- Ameumbwa kwa maji yatokayo kwa kuchupa,

86:7
- Yatokayo baina ya mifupa ya mgongo na mbavu.

Hayo ni mawaidha Kwa binadamu kuwa hauna sababu ya kujiona wewe ndio wewe hapa duniani Kwa sababu umetokana na kitu dhalili sana Yani ni maji maji tu

Hapo zinazungumziwa sperm jinsi zinavyotoka na appearance yake ukizitazama Kwa naked aye hiyo ni karine ya 6 hakuna mtu yoyote anayeweza kuziangalia sperm zaidi ya hapo

Na Aya ikaende mbali zaidi kuwa zinatoka baina ya mifupa ya mgongo na mbavu Kwa kuwa binadamu kipindi hicho hakuwa na uwezo wa kuona huko ndani ya mwili akaamimi Moja Kwa Moja Kwa sababu Qurani ni kitabu Cha kiimani

Miaka 1000 baadae binadamu akagundua Darubini akaziangalia sperm kiundani akaona Kuna vimbegu vina mkia na vinatoka vingi Kwa bao Moja zaidi ya milioni Moja

Pia akaangalia zinatokea wapi akagundua zinatoka katika sehemu inaitwa seminal vesicles na seminal vesicles ipo kati ya mifupa ya mgongo na mbavu

Allah alikuwa anawafundisha binadamu kutokana na upeo wao wa kipindi walichopo

Na ndio maana Allah hakuongea na Musa mambo kama haya Kwa sababu kutoka na upeo wao walitakiwa wamjue Mungu tu na msisitizo mkubwa katika Taurati ulikuwa ni kumjua Mungu na kufuata sheria zake

Nyinyi wagalatia Jahannam inawasubiri hamuna pa kutokea
Jua huzama matopeni
 
Back
Top Bottom