Sababu zilizopelekea niache kuvuta Crack

Umenikumbusha walter white na yule dogo wake kwenye breaking bad alivyokua anazimua na dem wake
 
sijafahamu tu vijana wenzangu hua mnatafuta nini mpaka mnatumia hivo vitu, aisee kiukweli mimi napenda kua real, sidhani kama nitaweza kutumia kitu cha ziada ili niwe kwenye hali flani. Tujitahidi kua real us.
kwanza anasema akikosa analala Sana...sijaona faida ya kulala had kalio kiume! Sijui wenzetu balehe inawakutaje kutake! Eti uvute weed ili uongeze kujiamini..khaaa🙌
 
kwanza anasema akikosa analala Sana...sijaona faida ya kulala had kalio kiume! Sijui wenzetu balehe inawakutaje kutake! Eti uvute weed ili uongeze kujiamini..khaaa🙌
Tatizo sio balehe tatizo ni who are your friends au una interact na watu wa aina gani sana.

Binafsi nimezaliwa katika familia yenye uwezo ila isiyojali sana kuhusu nini mtoto anafanya na nini hafanyi.
 
Pole Sana ulikuwa unakula cocaine chafu low grades mpaka urudi inachukua mda Bora hata bsnge kuliko cocaine,I think gigy money naye anatumia hyo
 
sijafahamu tu vijana wenzangu hua mnatafuta nini mpaka mnatumia hivo vitu, aisee kiukweli mimi napenda kua real, sidhani kama nitaweza kutumia kitu cha ziada ili niwe kwenye hali flani. Tujitahidi kua real us.
Kuiga IGA hasa ukiwa na company wanakushawishi usipokuwa unachaganya na zako lazima ile kwako
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bangi Ni salama pia Ni dawa ..achana na hayo madude mengine!
Kweli
nilihamia mahali nyumba za kupanga uswahilini, nikawa nahisi hapo nilipohamia inatakiwa nipabariki ili nikae kwa amani, Nikawa niko na kipande cha bangi, nikasubiri mpaka saa tano usiku hivi watu wote wameshalala, Nikawasha bangi nikiwa chumbani kwangu mwenyewe nikaivuta hivi kama dakika tano zikapita, Nikasikia watu kwenye hio nyumba kila mmoja anatoka nje ili mradi tu ametoka na kurudi ndani wengine wakaenda kuoga saa hio.nikajua hii ni kiboko
 
Mmmmmh hatari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole Sana ulikuwa unakula cocaine chafu low grades mpaka urudi inachukua mda Bora hata bsnge kuliko cocaine,I think gigy money naye anatumia hyo
Mmh gigy? Anakula poda nae???

Let's meet at the top, cheers 🥂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…