Sababu zilizopelekea niache kuvuta Crack

Huku bongo wengi wanakula hzo cracks they can't afford real cocaine ni expensive Sana hyo ndo Mana mateja wengi I assure madawa ya Tizii ni low grade Tena sumu tu
 
Ngada inaondoa stress kwa mtindo wa raha.
Ngada inakupa kujiamini.
Ngada inakupa nguvu za mwili.
Ngada inakupa heshima.

Zitoshe kwa sasa hizi boss
Mkuu usitafute unafuu wa kutetea hayo madubuwasha, Ngada imeharibu wengi sana kiakili, kiafya na kiuchumi. Hata wewe ulikuwa unaenda kupotea ulipoanza kusahau sahau ungeendelea ungekuwa ndo basi tena, hayo madudu hamna kitu ndio maana mateja wanakwambia zinawafanya wafikirie haraka ila unaweza kumuuliza swali akajibu baada ya muda wakati swali jepesi tu. Ngada inakitengenezea tu uongo kwenye akili uaminj kwamba inakuongezea confidence, kufikiria, n.k kumbe ni kinyume kabisa.

Hizo ngada zenyeww zikifika hapa bongo zimechanganywa na vitu kibao kama fethanyl ambayo ina nguvu mara mia kuliko heroin, supplier anachotaka ni kumgeuza mtumiaji mteja wa milele ili yeye afaidike huku wewe ukiangamia.

Hata cocaine za huko colombia ambazo ni original hazijachanganywa, watu wa huko wanashangaa sana watu wanaozitumia maana kuna documentary niliicheki kuna chemicala kibao sana zinachanganywa na hata sumu ya panya na cement vinawekwa humo wakiamini ya kwamba quality inaongezeka huku wao hawatumii.

Hayo madudu yanaenda kinyume kabisa na utaratibu wa starehe za asili kama pombe, Ngono, chakula, n.k

Kwa ushauri tu kwa vijana starehe zipo kibao hapa tz zisizo na madhara endapo ukitumia kwa kiasi, Kunywa pombe, sikiliza mziki, cheki mpira, kuwa na demu wa kukupumzisha mwili na ukienda mbali basi choma nyasi

KIBAYA NI KIBAYA TU, HAKINA HAJA YA KUTETEWA ILI KIONEKANE NA NAFUU, TUSHAPOTEZA VIJANA KIBAO KWA HAYA MADUDE
 
Joe Crack The Don.
 
teja katika ubora wake... mzee sikupatii picha alosto inavyokutesa
 
Hahahaaa.....eti ni kweli ndumu ni dawa ya wanga?
 
Gigy, kaanza mapenzi siku nyingi mno na alikuwa hapendi sasa hivi ameanza kukua na kupenda kunamjia aisee ukijumlisha na mipombe anayotumia akifikiria jicho anavyoliwa she get mad
Aisee, jicho tena? M"popo" kakabidhiwa hadi jicho? 🤔







Let's meet at the top, cheers 🥂
 
Huku bongo wanalishwa takataka aisee nimefatilia jinsi cocaine inavotengenezwa huko America Hadi ifike huku I'm sure hamna anaye afford ile original yake maana hizo crack's tu zilivo ni shida na hatari kwa mtumiaji
 
Bange ni kama Pombe mzee itakuharibu endapo hautofuata masharti yake.

Kilichoanza kuniharibu si bange ni Crack, japo nafahamu kuwa wagonjwa wengi wa akili walioko Mirembe wengi walikuwa wavuta bange.
Lakini unavuta bange unaishi wapi?, unavuta bange unakula nini?, unavuta bange unajishughulisha na nini ili upate kipato chako?

For my side bange haijawahi kunidhuru hadi pale nilipoijua crack, na bila ya bange ningefeli vibaya sana shule.
NB; Sishauri yeyote avute.
 
Ngada inaondoa stress kwa mtindo wa raha.
Ngada inakupa kujiamini.
Ngada inakupa nguvu za mwili.
Ngada inakupa heshima.

Zitoshe kwa sasa hizi boss

Dope?? Hell no! That shit is way more addictive than herbs. Cannabis & Gambe are enough for me.







Let's meet at the top, cheers 🥂
 
for the sake of my daughters ( 4 cute she's) & age, nimeamua kuu -snitch 'mmea wa kondeni', kwani mabinti wameanza kuwa wakubwa siku wakijua baba yao ni 'mvuta bange' naona kabisa wataharibikiwa maisha, bora niache pole pole kabla halija sanuka! yatakayo bakia ni historia...
 
Kama umeamua kuacha acha vyote had na bangi usianze kujipa moyo et bangi inafaidia kumbuka hiyo bangi ndo bypass ya kurud hukohuko kwenye cocain, heroin.... Nk
 
Mheshimiwa pole sana ,upo south au bongo?improve your diet for regeneration of ur body,pia acha kabisa kuvuta bange,acha makundi,kama upo single oa ,jichanganye na watu smart
 
Mirembe pia wamejaa vijana kibao kwasababu ya hiyo dawa yako ya bangi.
Acha kuhusisha bange na mirembe, hakuna utafiti wowote kisayansi nana yeyote ile iliyo wahi kurithibitishia hilo.

Wengi wanarongwa akili zao kwa kupitia bange na jamii kuaminishwa sababu ni bange.

Tuna miaka kenda mpaka sasa mm na jamaa zangu tunaenjoy na hii kitu, fatilia miji iliyoruhusu bange kama kuna tatizo hilo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…