Sababu zinazopelekea Jasusi (Spy) kuisaliti nchi yake

hapa namkumbuka @EdwardSnowden alipowachuuza NASA kwa kutoa siri zao za udukuzi kwa viongozi wa mataifa mengine,japo si wa kumwamini kwa sababu spy-agent yeyote si rahisi kutambua anatumika upande ule ule au la
 
his excellency Magufuli anashangaa kwa nini hakuna wakulima hewa, bali kuna wafanyakazi hewa.........
wakulima hewa wapo wengi sana kwa nje wanafanya kilimo ila kwa ndani wanabiashara za hatari sana kwa taifa wanapenyeza mizigo yao bandarini kwa vibali vya kilimo hawalipi kodi na biashara zinaendelea wakulima hewa wapo sana
 
wakulima hewa wapo wengi sana kwa nje wanafanya kilimo ila kwa ndani wanabiashara za hatari sana kwa taifa wanapenyeza mizigo yao bandarini kwa vibali vya kilimo hawalipi kodi na biashara zinaendelea wakulima hewa wapo sana
daaaaaaaaahhh............hii ni noma sana mkuu.........na kuna watu watakuwa wanajua sana sema wapo wametuliaaaaaaa kama sio wao vile.
 
Mkuu Mngony, kuna movie moja itafute inaitwa "The Double" ya 2011.

Kuna jamaa Mrusi humo anaitwa code name yake -Cassius ambae ilidhaniwa na CIA kwamba alikuwa amekufa na alikuja kumuua mbunge au senator na kukawa na mtafutano.

Sasa kazi ya kumtafuta Cassius inakolea pale bosi wa CIA anapompa kazi hiyo jasusi aliestaafu Richard Gere ambae anaungana na binti kutoka FBI na wenzie kumsaka Cassius.

Hii ni moja ya movie nzuri za kazi ya ujasusi ulotukuka pamoja na ile ya The Good Sherpard ambayo inasisitiza zoezi la kutafuta majasusi hodari.

Pia zipo movie zingine nzuri tu za kujifunza na kuelewa mbinu mbalimbali za kazi hii ngumu.

Kuna ingine inatwa Tinker, Taylor, Solder, Spy pia ya 2011.
 

Mkuu, imeeleza vizuri sana katika huo ulimwengu wa ujasusi.

Lakini kila sehemu ni lazima pawepo na hii counter intelligence yaani ujasusi kinzani.

Hii ni kwa sababu kama taarifa zisizo sahii zinapatikana ni lazima pawepo na double agent ili azipitie na kuhakiki kisha kuthibitisha kwa wakubwa.

Mfano ili kufahamu kinachoendelea TRA basi ni lazima TRA wawe na majasusi wao lakini wanaweza kuwa wanafanya kazi moja na majasusi kutoka nje ya TRA.

Lakini pia hali hii ya kufanya kazi sehemu mbili tofauti inapelekea majasusi kuja kuwa double agents kwa kubadili kabisa waajiri yaani "vice-versa" na hii ndio hali inatokea wachina wananyonga au Iran na kwingine wasipopenda upuuzi huo.

Hivyo kuna counterintelligence yaani kuchunguza majasusi kutoka nje waliopo ndani ya nchi ambao wana nia ya kuharibu kwenye uchumi, kufanya mauaji kwa niaba ya nchi au taasisi za nje.


Halafu kuna counter-espionage ambapo majasusi wa ndani pia wanalinda taarifa maalum au za siri kuhusu nchi kama vile miundo mbinu, mitambo ya mawasiliano zisidukuliwe na majasusi wa kutoka nje mbao wanawakilisha nchi zao.

Nilikuwa nasikitika sana pale nilipoona wachina wanauza karanga, mitumba na CDs mitaani nikasema kweli vijana wenzetu wapo kazini kweli, lakini nina imani sasa hivi wapo imara.

Hawa walikuwa hawauzi tu hivyo vitu mitaani walikuwa na malengo yao.

Sasa ni double agents wangapi wameisaliti nchi yetu maana situ kwenye kusaliti kutoa taarifa bali hata kusafirisha nje ya nchi wanyama kama Twiga, meno ya tembo, na Tumbili ni nyara za serikali.

Je wanastahili adhabu gani hawa?

Lakini dhamira kuu ni uroho na tamaa.
 
Ahsante Mkuu kwa maelezo
 
Ahsante Mkuu. TinkerTaylorSoldierSpy nimeiona.
 
hapa namkumbuka @EdwardSnowden alipowachuuza NASA kwa kutoa siri zao za udukuzi kwa viongozi wa mataifa mengine,japo si wa kumwamini kwa sababu spy-agent yeyote si rahisi kutambua anatumika upande ule ule au la
HIVI WAKUU HAWA WAJOMBA KWA NINI WANA VAA MIWANI NYEUSI?KWA TANZANIA NAWAONA SANA WAKIWA KATIKA HAFLA WAKIWA WAME VAA KAUNDA SUTI ZA MIKONO MIFUPI NA VEST NDANI....

JE WHAT IF UKIWA NA RAFIKI YAKO NI TISS NA UNA MFAHAMU KABISA(JE URAFIKI UNA UKWELI KATIKA SIRI ZA U BEST?)

JE HAWA VICHAA,WAUZA MAGAZETI,MAFUNDI VIATU NA WAUZA KAHAWA NI KWELI HUTUMIKA AS SPIES?

HONESTLY NAPENDA SANA KUWAONA mfano alipokuja Obana daaaahhhh!!!!"Kuna jamaa mmoja pale airport alikuwa kama Robbot,,Je yule hawaja mvalisha vifaa na kumuendesha wao?JE NI KWELI MIFUMO YETU YA MAWASILIANO WALI IKAMATA(C.I.A)?
NAHITAJI NIFAHAMU
 
d
ah mkuu hii hbr imenitachi sana ila umeficha vingi kweli......
funguka bas mkuu tujue
 
Hii makitu mie huwa nayapenda sana,i wish ningekuwa mmoja wao wa hao maspy


Sent from my iPhone using JamiiForums app
mkuu kwani mfano ukiwa nchi jirani lets say kenya/rwana nk ukaona wanapanga mipango mibaya kuhusu kudhuru au kuididimiza nchi yako hautatoa taarifa nchini mwako?

We ni jasus tayar na huo ndo uzalendo, ila huna mafunzo tu, israel wao kila raia anapita mafunzoni kumjengea uzalendo.
 
kamwe hauwezi kujua mipango ya ndani ya siri unless you are part of the inner cycle of their system. na hao sasa ndio huitwa "double agents" ama "moles". mipango ya hujuma kwamwe hauwezi kukuta ikijadiliwa hadharani kama kwenye vijiwe vya kahawa na kukuwezesha wewe kusikia.

Never ever.
 
ni sahihi ila pia sometimes hutokea vitu kuleak hasa kwa officials, unalijua hilo?
nlichozungumzia hapo sio tu vijiweni hata mtu upo ofisi flani may be ya umma,.nchi nyingine ukapata leaks kuhusu nchi yako nani mambo mabaya.

Lazima ulipoti nchini mwako
ndonlichomaanisha
 
ndugu sidhani......wale jamaa huwa ni wazelendo sana kwa nchi yao,..then wanalipwa vizuri sana
sidhani hiyo idea uliyoitoa kma inaezekana...........
hao central intelligence wananunulika sana tu tena kwa urahisi kweli kweli. mbona iran, north korea, china na hata russian moles wamajaa sana ndani ya CIA? issue inakuja sasa unamuingiaje kama unataka kumnunua moja kati ya hao mawakala wao!

Hapo sasa ndio wanapohitajika manguli wa taaluma hii kuweza kutufafanulia kwa undani zaidi.
 
mkuu, leakage ya mambo mazito si kitu kidogo ndugu yangu. kumbuka kuna kitu huwa wanaita cycle of information. idara nyingi sana za usalama (kama sio zote) huwa wanaweka limitations za ujuzi wa taarifa kwa kila mfanyakazi kulingana na security clearance aliyonayo. so the more clearance you score, the closer you get to the cycle. hata wanausalama wenyewe hawajuani wote kama hawapo unit moja na majukumu yao hayafanani.

Hivyo wapo very strict katika ujuzi wa mambo na usiri wa taarifa. afisa atafahamu yale yanayomuhusu tu baaaaaas, na mengine sio kazi yake kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…